Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,950
- 711
Hata huyo Ngeleja ana uadilifu gani? angekuwa muadilifu hasingeweza ku-push malipo ya DOWANS kama vile ana hisa ndani yake. Who knows, huenda bosi wake huyo RA alishampa kitu kidogo ili alazimishe malipo hata bila ya maridhio ya baraza la mawaziri.