Mawaziri Wasukuma

Ngeleja yuko radhi kuilipa Dowans mabilioni ya pesa lakini hawezi kuleta maendeleo kwenye jimbo lake.Huo sio uadilifu ni mkanganyiko wa uelewa finyu na kutokuwa na moyo wa kuwatumikia wananchi waliomchagua.
 
toka lini mwizi akawa na huruma kwa watu wa kwao?ebu nielezeni huyo mramba ni kipi hasa amekifanya huko kwao kiasi kwamba ROMBO watampenda daima? kumbukeni MRAMBA amefutwa kazi na wanarombo kwa kosa la UFISADI, angelikuwa amewakumbuka kwao leo ungekuta bado ni mbunge. Hongera wana rombo kwa kutuondolea huyu fisadi waacheni WASUKUMA wamkumbatie Chenge na Ngeleja.
haimaanishi kwamba namsifia Mramba, fisadi hapaswi kutawala walichofanya wanajimbo lake kumtema ni sawa kabisa ila juzi hapa nimesoma dailynews na wanasema shule za sekondari zimeongezeka toka 8 mpaka 41 na zote zinajitosheleza ndani ya kipindi cha 2005-2010 ! japokuwa pongezi ni kwa wanakijiji kwa muamko wao ila nathani Mramba pia alishirikiana na ma-DC , wakurugenzi na wadau wengine katika uchangaji huo!

Rombo ward sec schools are exemplary
By DEOGRATIAS MUSHI, 18th January 2011 @ 16:00, Total Comments: 0, Hits: 154

JOHN Mrosso (54), a resident of Shimbi village in Mkuu Division, Rombo district in Kilimanjaro region lauds the government for introducing ward secondary schools in his area.

Mrosso says that two of his children have studied at Kisali Secondary School, while the rest went to Matolo and Horombo secondary schools respectively, all located in Rombo.

The children later joined advanced secondary schools in other regions of the country, before they were admitted to various local universities and colleges for undergraduate studies.

These children could not have gone that far, because their father is a simple coffee and maize farmer, who could hardly afford fees charged by private-owned secondary schools in Kilimanjaro region.

Mr Mrosso is not alone in this jubilation; because a score of parents in Rombo district admit that ward secondary schools have been of great help to them, because they are almost free of charge.

John Mrema is another parent who says that his two children studied at Mkuu Secondary School, and they are now supporting him after graduating as teachers and nurses respectively.

"At the beginning I thought I could not manage but thank God I struggled and at the end I succeeded in educating my children. I thank district authorities for encouraging me in this endeavour," says Mrema.

Since parents in Rombo support the idea of erecting more schools, building of new classrooms and laboratories has smoothly been going on, simply because they (parents) respond positively when asked for different contributions.

Such efforts have enabled the government in conjunction with local people to build more secondary schools in Rombo district – from 8 in 2005 to 41 this year, all with enough classrooms, laboratories and desks.

"This is a great achievement because parents support government's efforts in building more schools equipped with enough teachers and classrooms," says Mr Peter Toima, Rombo District Commissioner.

Mr Toima compares his current role in Rombo to Ukerewe and Tunduru districts where he worked before, saying people in Rombo are development –conscious, compared to other districts he laboured before.

Rombo district has two advanced level secondary schools which are government owned, compared to three which are run by parents' wing of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) and the Catholic Church respectively.

According to Mr Toima, each secondary school in Rombo has an average of 10 teachers, and in total the district has 355 secondary school teachers. If the district could get more 365 teachers, then the district could have enough teachers for its schools in Rombo.

Despite this shortage, Mr Toima explains the immediate measures that have been undertaken by his district to solve the problem of teachers.

He says that his district has established a special agreement with some universities and teacher training colleges throughout the country, whereby the district gets Block Teaching Practices (BTP) teachers from such institutions every year.

"This year we had students from Dar es Salaam University College of Education (DUCE) who spent some months teaching in different secondary schools in Rombo" says Mr Toima, adding that they were very helpful to students and others have even promised to come and teach in Rombo after graduating.

The Rombo DC also says that there is a special arrangement whereby students from Rombo district who study in different colleges are engaged in teaching during their holidays, and this trend reduces the problem of teachers in ward secondary schools.

But why is Rombo district a step further in education than other districts? Certainly, the availability of teachers' houses helps a lot in making the teachers stay in that place.

Though ward schools struggle to erect teachers' quarters, private houses with good facilities like toilets can easily be hired at affordable rent.

"People from Rombo District who work in urban areas like Dar es Salaam, Arusha, Moshi, and Dodoma have constructed their good houses which they occupy only during Christmas time. These houses are hired by teachers and other civil servants working in the district," says Mr Toima.

The district's administration is pleased to see how ward secondary schools perform, compared to old secondary schools like Lyamungo, Old Moshi, Machame, Ashira, and Moshi Technical.

For example, in the 2009 national Form Four national examination results last year, Kisale -- a ward secondary school in Rombo district, led the chart in all government secondary schools. Almost half of the candidates were selected to join Form Five.

Mr Toima explains that the Kilimanjaro National Park (TANAPA) in conjunction with the Rombo District Council have entered into special agreement where the former will support the construction of a laboratory at Kisale Secondary School, and a social hall at Olele Secondary School.

Another area of concentration where Rombo District authorities have laid strong foundations is the improvement of primary schools.

Unlike other areas in the country, registration of Standard One pupils has gone down in Rombo district from 68,459 in 2005 to 57,040 in 2010, thanks to family planning education programme that has enabled an ordinary family to have 3 children this year compared to 5 in 2005.

So, primary school enrolment has gone down from 106 per cent in 2005 to 99 this year. Total number of teachers has gone up in Rombo district from 1,347 in 2005 to 1,460 this year. Teachers' houses have increased from 133 in 2005 to 230 this year.

What pleases many is that total number of students selected to join Form One has increased from 68 per cent in 2005, to 100 per cent in 2010, thanks to ward leaders that have constructed an average of two secondary schools in every ward.
Daily News | Rombo ward sec schools are exemplary
 
Mtu yeyote aliyesoma hii si hoja ya kujadili. Huu ni ukabila. Kwanini ngeleja hakuleta umeme kama Mbunge na si kama Waziri.Maana hata singida na Manyara wanamsubiri yeye apeleke umeme kule.
Mbona Hanang mpaka leo haina umeme wa kutosha bara bara ndo usiseme.Sumaye alikuwa waziri mkuu miaka kumi. Sisi hatulalamiki?

Hebu fikiria Hapa kunanini au kulikuwa na nini
1)Kiwanda cha kuchonga Almasi- kilipelekwa Iringa
2)kiwanda cha ngozi- Kilimanjaro ( population ya mifugo compared to usukumani)
3)Kiwanda cha nyuzi za pamba Tabora
4)Shule nyingi za secondary za serikali (Kilimanjaro):msela:
5)Umeme vijijini( Kilimanjaro)
6)Lami hadi vijijini (kilimanjaro)
7)Chuo cha mafundi wa migodini ,sponsored by Barrick (Kilimanjaro why not usukumani)

8)
 
Hebu fikiria Hapa kunanini au kulikuwa na nini
1)Kiwanda cha kuchonga Almasi- kilipelekwa Iringa
2)kiwanda cha ngozi- Kilimanjaro ( population ya mifugo compared to usukumani)
3)Kiwanda cha nyuzi za pamba Tabora
4)Shule nyingi za secondary za serikali (Kilimanjaro):msela:
5)Umeme vijijini( Kilimanjaro)
6)Lami hadi vijijini (kilimanjaro)
7)Chuo cha mafundi wa migodini ,sponsored by Barrick (Kilimanjaro why not usukumani)

8)
umeona enhee...? ila cha ajabu wakati hayo yakifanyika mawaziri walikuwa wahusika wa huko huko!
 
Hata mkurugenzi wa Takukuru, Hosea ni mwadilifu eeh?

Ukifuatilia huko nyuma, Hosea alikuwa mtendaji mzuri sana kipindi akiwa naibu Mkurungezi mkuu wa PCB enzi hinzo kiasi kwamba matamshi yake mengine yalimweka matatani kwa kuwakoromea vigogo akiwemo waziri mkuu wa wakati ule Sumaye. Baada ya kupewa ukurungenzi mkuu basi yupo pale akiendeshwa kama bendera kutiii anachoagizwa na mafisadi. Na hii inadhihirishwa na matamshi yake yalitolewa na wikileaks ya kuwa JK anamzuia kuwashughulikia wala rushwa wakubwa wanaoifilisi nchi yetu. Tunaweza kusema basi alipaswa kujiuzulu ila kwa upande mwingine huenda akawa anahofia maisha yake kwani atakuwa anajua siri nyingi za serikali.
 
Ukifuatilia huko nyuma, Hosea alikuwa mtendaji mzuri sana kipindi akiwa naibu Mkurungezi mkuu wa PCB enzi hinzo kiasi kwamba matamshi yake mengine yalimweka matatani kwa kuwakoromea vigogo akiwemo waziri mkuu wa wakati ule Sumaye. Baada ya kupewa ukurungenzi mkuu basi yupo pale akiendeshwa kama bendera kutiii anachoagizwa na mafisadi. Na hii inadhihirishwa na matamshi yake yalitolewa na wikileaks ya kuwa JK anamzuia kuwashughulikia wala rushwa wakubwa wanaoifilisi nchi yetu. Tunaweza kusema basi alipaswa kujiuzulu ila kwa upande mwingine huenda akawa anahofia maisha yake kwani atakuwa anajua siri nyingi za serikali.
Mbona Lyatonga alitumia vizuri tu nafasi yake ya waziri wa mambo ya ndani mpaka akapewa cheo cha naiba waziri mkuu ambacho hakipo kikatiba? na baadae alijiuzulu/kufukuzwa kazi na bado aliendelea kuishi? mbona Sitta anawafanyizia na yupo kwenye baraza la mawaziri na kazungukwa na wanafiki kibao? nafikiri ukiwa kiongozi kuna wakati unafikia unaamua, kuface the bull on it's horns. angalia odinga na serikali ya kenya toka wakati wa moi mpaka sasa na misuko suko aliyo pata mpaka watu wengine wafanikiwe lazima wadandie treni yake.
 
acheni ufinyu wa mawazo Rostam aziz naye mtasema ni msukuma au mnyamwezi??, tulikuwa na pius mwandu yeye alikuwa ni waziri wa maji lakini jimbo lake lilikuwa linaongoza kwa kukosa maji, tukawa tuna William Shija yeye alikuwa waziri wa sayansi technolojia na Elimu ya juu pia amewahi kuwa waziri wa nishati na madini , sasa wameleta nini usukumani zaidi ya porojo tu??,pia kwa wanyamwezi tulikuwa na Seleli amepiga kalele mramba kahamisha pesa za barabara ya nzega- tabora, na kuzipeleka tarakea rombo, sasa who is to blame
Dawa ni sera ya chadema tu nchi ijiendeshe kwa majimbo, dhahabu zetu na almasi zetu ( kama kweli ni zetu siyo za barrick na de beers) zitumike kujenga kanda yetu ya ziwa
peoples power
 
Harufu ya hii thread sio nzuri kwani kama tulitaka kujadili maendeleo ya mahali husika tungefanya hivyo huku tukieshimu umoja wetu watanzania.Sasa kama waziri hataangalia mambo ya kitaifa abaki kukodolea macho nyumbani tu sijui tutakuwa tunaelekea wapi.Lakini pia swala la wabunge kupigania upatikanaji wa mgao wa keki ya taifa kwa maeneo yao ni haki kabisa.Mtu kama Chenge na Hata Ngeleja bado kwa nafasi zao za ubunge wangeweza kabisa kupigania keki hiyo ya Taifa kwa manufaa ya wapiga kura wao.Ndio kazi waliyoiomba na ndo dhamana tuliyowakabidhi.Kwamba wanakuwa mabubu kusemea wa - nyumbani ni upunguwani.Tusiwachague tena. Pia halmashauri zetu tuzimulike na kujiuliza - Je ni safi kiasi gani? kwani hata katika maendeleo mengine mfano ujenzi wa barabara zipo ambazo zinashuhulikiwa na Halmashauri.Kiasi almashauri wanachopata kutoka kampuni za madini wanafanyia nini? Halmashauri ya Tarime walikuwa wanapewa takribani Mil 200 na wakati halmashauri iyo inaongozwa na Chadema waliweza kupeleka watoto wote Shule na mambo mengine mengi ya msingi.Sasa kabla hatujaenda kuwahukumu hawa mawaziri kwa nafasi zao za mawaziri ,tuwahukumu kwa nafasi zao za ubunge kwanza.Tuhoji ububu wao katika utetezi wa majimbo yao! Na kama Chenge hakufanya kitu mbona alivyorudi nyumbani baada ya kujiuzulu alipokewa na zulia jekundu kana kwamba alisingiziwa?
 
Rafiki mimi ni msukuma lakini naomba kutofautiana na wewe kidogo. Mawaziri wasukuma sio wote ambao ni waadilifu. Mfano Chenge huyu ni mwizi na mtovu wa nidhamu wa hali ya juu na wote tunajua hilo. Maghufuli japo si kwa 100 % ana nafuu na kazi zake zinaonekana na huko kwao kawapelekea barabara nzuri sijui mengine. Ngeleja sioni uadilifu wake hata kidogo zaidi ya kuwepo pale wizarani kuendesha miradi ya bosi wake Rostam Azizi aliyempa Ubunge na huo uwaziri. Maige sina data zake kamili.


angalia kumbukumbu zako Magufuli siyo msukuma pls
 
Hebu fikiria Hapa kunanini au kulikuwa na nini
1)Kiwanda cha kuchonga Almasi- kilipelekwa Iringa
2)kiwanda cha ngozi- Kilimanjaro ( population ya mifugo compared to usukumani)
3)Kiwanda cha nyuzi za pamba Tabora
4)Shule nyingi za secondary za serikali (Kilimanjaro):msela:
5)Umeme vijijini( Kilimanjaro)
6)Lami hadi vijijini (kilimanjaro)
7)Chuo cha mafundi wa migodini ,sponsored by Barrick (Kilimanjaro why not usukumani)

8)
shule nyingi za klm sio serikali imezijenga, nyingi imezikuta na nyingine zimejegwa na wazazi

kuhusu umeme vijijini, watu wa mikoa mingine walikuwa hawajengi vijijini na walikuwa hawapo tayari kulipia nguzo za tanesco kuvuta umeme. watu wa kilimanjaro walikuwa wamejenga vijijini na walikuwa wanalipia nguzo za tanesco

lami zipo barabara kuu ziendazo mpakani kenya na ziendazo mlimani

barrick walifuata dezo moshi technical kwa ajili walikuwa hawataki kujenga technical school kwa ajili ya madini, kwa hiyo barrick hawajajenga chuo chochote moshi

viwanda vya ngozi vipo vingi kilimanjaro karibu kila wilaya na hii ni juhudi ya watu binafsi
huduma za jamii klm nyingi zinatolewa na mission

tembelea karatu ndio utajua mbunge mchapa kazi maana yake ni nini sio lazima uwe waziri

mafanikio ya klm hayatokani na serikali bali juhudi za watu binafsi, kwa hiyo ukiwa mmbunge inabidi ufanye kazi kweli lasivyo hawakupi kura uchaguzi hujao. Mpaka wasukuma watakapojua chenge ni sawa na mramba itatuchukua mda sana, na mpaka sisi wagogo tutakapochoka na tshirt za bure itatuchukua mda sana
 
Pukudu, hii ni kweli kuhusu Wasukuma. Na mimi ni Msukuma kosa letu kubwa ni hatuna ukabila wala ubinafsi. Wasukuma wenye Nyadhifa kubwa serikani au kwenye mashirika na taasisi mbali mbali hawana upendeleo wa kujipendelea wao au kupendelea watu wa kabila lao.
Hii ni very fair. Fanya kajiutafiti ma bosi wa makabila fulani, kuanzia ofisini atajaza watu wa kabila lake na maendeleo kupeleka kwake. Huu ni ukabila na ubinafsi vitu ambavyo siyo hulka ya Wasukuma.

Kwa vile haya ni mapungufu kwa Kabila la Wasukuma sio vibaya tukayabainisha na mema machache ya Wasukuma.Kwanza ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri. Ndilo kabila lenye wanaume wanaaongoza kwa kupenda, hatuna wivu, husuda wala kijicho. Tuko very open na very co-oparative tuki work well in team spirit.

Udhaifu wetu ni ma spender wazuri, extra vagant tukipenda good time kupindukia, kinywaji kwa sana na zile starehe za yatokanayo.

Angalizo:There are always exceptional to the general rule, hivyo sio lazima Wasukuma wote ndio wako hivyo.

Msukuma Pasco.
umesahau mkuu pia tuna sifa ya kunyanyapaa hata kuua maalbino pia!
 
mimi mwenyewe ni msukuma wa hukohuko kwa ngeleja na namuunga mkono mtoa mada kwa kweli msukuma akishika nyadhifa kubwa serikalini hata ndugu zake kuwanyanyua ni ishu. utakuta anasaisia wa rafiki zake tu. yote hiyo yeye abaki kuwa juu na wengina waendelee kumsujudu
Ngeleja hajafanya lolote kule kama mbunge au waziri ni wakati sasa kutumia nafasi alonayo walau avutee umeme hata kwenye vijiji vinavyoelekea kwenye feri za busisi. Loo ukipita giza utafikiri sijui uko wapi. aliishia kuwapa mabibi zetu viredio vya voda vile vya kuzungusha then vinaanza kuongea!

shime wasukuma tupendane wajameni eish ngw'anangwa!
 
Hivi huwa najiuliza kwa nini mawaziri wasukuma wanakuwa waadilifu kwenye kazi zao wakitumikia serikali ipasavyo na kusahau majimbo yao?
Kwa nini hawatumii nafasi yao kuleta maendeleo majimboni? Utaona kama waziri Ngeleja yupo nishati na madini lakini miaka mitano ishapita kule kwao sengerema hata kusogeza umeme kidogo vijijini ameshindwa? kuna miji inakuwa sana kule mfano kutoka sengerema kuna nyehunge, nzela .katwe , kahunda kwa nini mawaziri wameshindwa kupeleka umeme kule wakati miji imepanuka imekuwa mikubwa kuliko hata sengerema mjini yenyewe?
Nilienda kikazi huko nilishangaa kama mbunge wao ni waziri wa nishati na madini. na ni hivyohivyo kwa hata aliyepita. hawaoni wenzao wa kilimanjaro umeme mpaka vijijini?
kwa kweli wana JF naomba kuwakilisha mada
gaga , Waziri ni wa Taifa siyo wa Jimbo, hivyo atatekeleza majukumu yake kulingana na Ilani ya CCM, kama hivyo vijiji havikubahatika kutajwa kwenye ahadi za JK za kusambaza umeme basi muwe na subira.
 
mimi mwenyewe ni msukuma wa hukohuko kwa ngeleja na namuunga mkono mtoa mada kwa kweli msukuma akishika nyadhifa kubwa serikalini hata ndugu zake kuwanyanyua ni ishu. utakuta anasaisia wa rafiki zake tu. yote hiyo yeye abaki kuwa juu na wengina waendelee kumsujudu
Ngeleja hajafanya lolote kule kama mbunge au waziri ni wakati sasa kutumia nafasi alonayo walau avutee umeme hata kwenye vijiji vinavyoelekea kwenye feri za busisi. Loo ukipita giza utafikiri sijui uko wapi. aliishia kuwapa mabibi zetu viredio vya voda vile vya kuzungusha then vinaanza kuongea!

shime wasukuma tupendane wajameni eish ngw'anangwa!
Acheni ukabila hapa JF. Mnyanyuane so what?
 
Ladies & Gents,

Maendeleo ya eneo fulani yanategemea zaidi utamaduni (aina fikra na namna ya kutenda) wa wakazi wenyewe. Kiongozi yeyote awe Rais, waziri, mbunge n.k. ni chachu tu ya maendeleo katika eneo husika.
Ni makosa makubwa kuwa na mawazo kwamba kiongozi wa kitaifa atatumia madaraka yake kuhamishia rasilimali za taifa kwenye eneo lake.
Lawama kubwa ziwaendee wananchi wa eneo husika kwao wenyewe kushindwa kujua kuwa maendeleo yao yatatokana na juhudi zao wenyewe, kuanzia mtu mmoja mmoja, kaya, ukoo, kabila hadi taifa!
 
dawa ya viongozi wabovu ni kuwapa muhula moja tu, mtu anashindwa ku-deliver piga chini, ni sisi wenyewe tunaowafanya baadhi ya viongozi kuwafanya nusu miungu, miaka 10, 15, 20 mbunge ni huyo huyo kwa kupewa visheti, kashata, t-shirt, radio nk nk, kama Gertrude Mongela, Ndassa, nk nk , pili ili kiongozi aweze kuleta maendeleo au kuchochea maendeleo kwake ni kuwapa elimu watu wake, na kufanya nao majadiliano, na maelekezo ya vitu wanavyo weza kufanya ili kuchochea maendeleo, lakini kuna viongozi baada ya kupata kura wanajitenga na wapiga kura wao na kuwasujudia majambazi na wadarisalama, wakati ukweli wa mambo pembeni wana chekwa. ndio yale ya merehemu dito aliosema wengine wamekuja mjini hata kula chapati hawajui, leo hii wao wanajiona ni zaidi ya hata hao waliowafundisha kula chapati. wengine kupiga picha na ma model ndio wanaona ni maendeleo ndio viongozi tunao wachagua. unategemea nini? wengine kucheza mziki na Asha Ngedere? wengine Asha Baraka, kuwa karibu na Khadija kopa etc
 
Nyie Wasukuma kwanini mnalialia sana, lakini mbona sisi wengine hatulalamiki kwamba Gamboshi kumeendelea kuliko sehemu zingine zote Tanzania!! Acheni ubinafsi jamani.
 
Back
Top Bottom