Future-Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 334
- 7
Future Tanzania na wengine,
Tusiwe na mawazo mafupi. PhD ni shahada yenye heshima yake. Kama umeipata kihalali na umefanya yanayotakiwa kufanywa mpaka ukaipata, nakuhakikishia hutakosa kazi. Ni cheti chenye heshima sana. na kwa upande wangu mtu mwenye PhD yake namheshimu sana.
Hivi kweli wewe unataka kuniambia mwenye PhD yake na wewe mwenye degree yako moja au Masters muombe kazi World Bank..watakuchukua wewe yeye wamuache? Unless kweli hiyo PhD haina relevance hapo...lakini ukweli ni kwamba he stands better chances than you and me. mashirika kama World Bank au UN..ukiwa na PhD yako una uhakika kabisa kwamba career progression yako iko assured maana una uwezo wa ku-compete na wengine vizuri. Hata wakitaka kupunguza..wewe utakuwa wa mwisho (ofcourse PhD lazima ireflect na utendaji-lol). Ndo maana wazee ambao wamekaa UN miaka mingi..wengi ni wale wenye shule zao. Na kwa sababu unashindana na watu wa mataifa mengine, kusurvive ni vyema uwe na shule ndefu. MAANA WENZETU HUKO MAJUU PhD siyo anasa..ni qualifications za kawaida.
Tuache old thinking kwamba ukisoma PhD basi wewe utakuwa mwalimu au hutapata kazi..my friend that kind of thinking is long dead! Kuna mashirika kama huna PhD ndugu yangu unajiona kabisa uko out of the system...utakuwa mtu wa kutegemea (affimative action ya waafrika kwenye kupandihwa vyeo) Unless if you only think Local basi PhD haina "maana" but if you think global? Ohhh PhD is the way to go. Naamini leo hata ukija kuomba kazi bongo serikalini..na PhD yako..Iam sure watakupa kazi tena ya maana. enzi za ukiwa na PhD eti hupati kazi..zilishakufa long time sana...
Kwa wale wenye nia ya kusoma PhD please do it! the rewards will be enormous. Utafanya kazi popote duniani if you want to. Na kama huna hiyo PhD siyo vyema kuwadiscourage wenzako. Watoto wa kizungu ukiomba kazi nao huko World Bank..mtu ana miaka 25 au 26 tayari ana PhD..wewe huyo miaka 40 hata masters ya kuunga unga..harafu unategemea kijana anyimwe kazi? By the way PhD speaks alot about inteleectual aptitude ya mtu..kumbuka hakuna shule ya experience.
Ofcourse PhD za kununua za akina Nagu and Co..HIZO tutazipinga mpaka kufa! Ila PhD kama ya ndugu yangu Kitila Mkumbo ambaye kaihangaikia..eti leo unasema haina maana? you must be kiding yourself!
....duuuhh....wewe inaelekea una mataizo makubwa sana...hata kusoma ni mvivu....duuhh!!......haya hebu angalia hapa Mwl Kichuguu alivyokujibu........
.......Ndio maana anaitwa "Kichuguu".......au hata na hilo inabidi uelimishwe........duuh
lol! i guess you are a joker! how am i suppose to know kichuguu inarepresent age ya uyo jamaa.. Ogal i think u are taking this as a joke. Ok then now kwi kwi kwi..... i am out of here.. as we are on different chapters darling..
Ogah!
nimekuuliza huyu kichuguu alifundisha Waikato university lini? maana tusiwe tunaonge vitu vya 90's 70's AMBAPO UDSM WAS WELL KNOW FOR ITS QUALITY.. NDIO MAANA NIKAULIZA ALIMALIZA DEGREE UDSM LINI NA ALIFANYA WAPI MASTERS MAANA THAT MATTERS AS WELL.. so miss/mr Ogah naomba uwe unafatilia maongezi sio kulipuka lipuka
Future-Tanzania kama umesomea chuo chenye hadhi na kina "quality" kama unavyodai...nina wasiwasi kama uliipata hiyo quality! By the way kuna watu wamemaliza UDSM miaka ya karibuni na wanafundisha kwenye vyuo unavyovitaja kuwa na "quality". Nakutakia wiki njema!
Sasa, kama TCU imesha-void hizi PhD feki za hawa waheshimiwa, then why does the public (and the Government in particular - both Parliament and Executive) still refer to them as Dr 's? Why do we still call this Kamala fellow Dr. Kamala or Mr. Nchimbi as Dr. Nchimbi?
Swali lingine ambalo ningependa tuwaulize Nchimbi na Kamala ni kwamba thesis za PhD zao zilihusu topics gani? What was the subject of their research and where or how can we get their PhD thesis reports and when did they present their reports and who (lecturer) supervised their respective research?
Thax that is what i ask myself. kwanini watu wanacare about who is Dr or not!
Pia sielewi kwanini watu wanakasirika kwamba New Zealand hawatambui degree ya Tanzania! Just like Tanzania kila inchi wana haki ya kutambua or not degree from a certain universities and countries. Good example medical degree ya Somalia haitambuliki sehemu yoyote duniani! Is that big deal? No. kama unafatilia immigration rules za nchi nyingi then utajua kwamba at the moment Australia na New Zealand ndio wanaongoza kuwa strict about immigration both for skilled and non-skilled immigrants na sasa hivi UK na nchi nyingine wanageza system ya Australia and New-Zealand maana they are so effectively.
From beginning I said clearly, PhD isnt like a ticket to good life. Education is not Civilization but it is knowledge. So people have to study because they want to ila sio kwa heshima za kipuuzi za watanzania. Kama watanzania hatutaanza kufungua macho na kuacha akili potofu kwamba kama mtu ana PhD then haeshimiwe then maendeleo hatutapata leo wala kesho. Ndio maana tunaendelea kudanganywa na watu wengi tuu maana tunaluck good business cultures kwa kuamini everything people with PhD says.. let start be argumentative and questionable.. that is a way forward.
Kweli we have a long way to go
[/COLOR]
Rather you have a long way to go. I am tempted to believe that you went to New Zealand to do casual labour, not to study, otherwise you wouldnt be saying the things you are saying. Nimesoma UDSM na nafahamu some of my colleagues who have excelled throughout the world. Ukienda kwenye standing ya Universities, UDSM is still the best university in East Africa. Wewe unayedai kusoma vyuo bora, tena kutoka nchi ambayo Kiingereza ni first language bado una matatizo ya kujieleza!!!! pole ndugu yangu.
Back to the topic, PhD is a respectable award, hawa akina Kamala wasitudanganye. Huwezi kupata PhD kwa kusoma kwa miezi mitatu let alone chini ya miaka mitatu. Ukimaliza phD unatarajiwa uwe master katika eneo ulilosomea. Muulize Kamala au Nchimbi au Mary Nagu wanamaster kitu gani.
Kubalini msikubali UDSM ya miaka before late 90's sio ya leo! Kiwango cha kutambulika kimataifa kimepungua. UDSM Wanafunzi wachache sana wanafauru kikweli. Wengi wanafauru kutokana na mtoto wa nani au kulala na leacturer gani. Mnabisha? Sasa kama watu wanafauru kwa namna hiyo How would you think they will survive in business world?
Kuhusu PhD, Bongo sasa hivi imekuwa fashion mtu kuitwa doctor etc.. kama mtu moja alivyosema hapa ni kwamba having a PhD or not it is very much depend on what you are doing as a career. If you are lecturer or researcher fair enough or if you are doing PhD for hobbies then its much better. ila ukweli unabaki PhD will never make you to survive in the Global business and it doesnt make you competent in the business world unless you have a well good work experience. Na ndio maana kuna watanzania wengi tuu Europe wanasoma kwa sifa kuitwa madoctor and at the end of the day kazi hawapati Europe wanasema wazungu ni wabaguzi mbona wengine wanapata?
Tanzania tuendeleni kusoma, na sasa hizi kuna opportunities nyingi za long distance courses from world wide reputable universities. Hizi course zinasaidia watu kubalance family, work and university life. Ila tu ukitaka kufanya hivyo inabidi uwe makini maana kuna watu wengi matapeli kwenye internet na pia never go for cheap courses compare the prices and kama ikionekana tuu cheap then something isnt right.
Ninapata tabu sana kuamini kama umemaliza chuo kikuu kwa jinsi unavyojieleza. Kama umemaliza UDSM, halafu hivi ndivyo unavyojieleza, basi ni sahihi kabisa kwa degree ya UDSM kutotambulika duniani.
Uwezo wa kujieleza hauna uhusiano wa moja kwa moja na elimu aliyonayo mtu.
..NN, sasa mitihani utajibu vipi kama huwezi kujieleza. Hata kwa wanaofanya mitihani ya hisabati, ni lazima uwe na logic wakati wa kukokotoa. Sasa huyu mwenzetu inaonekana ana tatizo kubwa sana; hilo la vyuo vya kitanzania kutokutambuliwa duniani (or for that case New zealand--which by the way is totally wrong) ni dogo sana kwake. Nimesoma kwa makini mabandiko yake. Nina wasiwasi na ninapata taabu sana kuamini kwamba huyu mwenzetu amepitia elimu ya chuo kikuu. Fuatilia vizuri mabandiko yake utaelewa ninamaanisha nini
Ninapata tabu sana kuamini kama umemaliza chuo kikuu kwa jinsi unavyojieleza. Kama umemaliza UDSM, halafu hivi ndivyo unavyojieleza, basi ni sahihi kabisa kwa degree ya UDSM kutotambulika duniani.