Mawaziri kuunguruma mkutano wa CCM kesho Jangwani

Violet mzindakaya mwambie baba yako chrisant mzindakaya warejeshe pesa BOT za CIS walizokopeshwa hawataki kurejesha na fisadi manji pia ndio uje jangwani.Watanzania tunalipa madeni kisha mnafaidi familia chache kama yenu
 
Burdaan kwelikweli. Ni yupi msafi wa magamba atahutubia kesho? Ben, Mkama, gufuli, Jk, Nape au Wasira? Kila mmoja ana hoja ya kujibu. Yetu macho na masikio!
 
CCM elezeni kwanini deni la taifa linaongezeka kila mwaka,pia twiga wetu mlipowauza.
 
Chama cha mapinduzi kitatumia mbinu ya kujijengea imani kwa wananchi kwa kuwatumia mawaziri watendaji kazi wasio na kashfa kama akina Magufuli ili kupangua hoja za CHADEMA katika harakati za Movement for Changes.Magufuli atapata fursa ya kuelezea jinsi gani serikali ya CCM ilivyofanikiwa kuboresha miundombinu.Vilevile atakuwepo waziri Steven Wassira kuelezea mafanikio ya CCM katika kukua kwa uchumi.

Kwanini watumie nguvu nyingi kueleza mafanikio ambayo kama yapo wananchi wanayaona na hayaitaji kelele?mtwara na lindi pia wataenda?
 
HIVI BADO WANASEMA; Kidumu Chama Cha Mapinduzi; Na zile fikra za Mwenyekiti?

Sasa na Ufisadi wa Wachache ? hao Mawaziri hawaoni aibu?
 
Back
Top Bottom