mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,410
- 3,876
Kwa hiyo wewe ni mbunge?Safari hii namimi nipewe uwaziri tu maana dah si kwa kupigika huku, napaswa kung'arisha uso kidogo.
Kwa hiyo wewe ni mbunge?Safari hii namimi nipewe uwaziri tu maana dah si kwa kupigika huku, napaswa kung'arisha uso kidogo.
Hahahahahaha wewe jamaa aiseeJanuary Makamba aka Kigogo aka Mandonga hasalimiki
January a akwenda kuwa PMJanuary Makamba aka Kigogo aka Mandonga hasalimiki
Kwani nawee ni mbunge? Km ndvyo bas hata usipopata teuzi, asali utalamba km kawaida.Nikikosa uteuzi safari hii nahama chama.
Huyo hamtoi kabisaa, wee dili zitapigwaje??mama ikimpendeza angeaza fagio lake kwa mzee wa skafu yule wa kutokea Singida! Mfumko wa bei na tozo unatishia maisha ya mtanzania!
Ndoto za Sukuma gangHii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .
Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .
Usiondoke JF .
Hao KIJANI wasivoona mbele Eti wanamuandaa kipara Ili ampokee kijiti aliyepo Kwa ZENGWE kuwa amechafuka sana.Kipara na tumbo tumbo wa kule jimbo la ngwara watolewe tu
Hapo ni mzoger wanapanguana wenyeweTunasafisha Sukuma Gang polepole ili tusilete mtafaruku kwenye chama...
Wafuatao ni hawa...
1......
2......
3......
na kadhalika......
Kipara hafai hata kuwa karani wa sensaHao KIJANI wasivoona mbele Eti wanamuandaa kipara Ili ampokee kijiti aliyepo Kwa ZENGWE kuwa amechafuka sana.
Aiseeee !!!Kipara hafai hata kuwa karani wa sensa
Kwa jinsi mambo yanavyo endeshwa nchi hii, being an ordinary citizen is more of an insult!!Na kabla hawajawa wabunge au mawaziri walikuaje kwani![]()
Au wao kuwa kama sisi ni matusi![]()
Ohoooo !!!Utashangaa panga pangua lakini Waziri Jenista Mhagama bado yumo!
Kweli uchawi upo!
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Kila mfanyakazi pamoja na wanasiasa wanakuwa na mafao wakipumzishwa wanalipwa, ila watumishi wa umma (sio wanasiasa) hata wakitumbuliwa madaraka, wanaendelea kulipwa misharaha na stahiki zao bila hata ya kufanya kazi. Wako wengi benchi huko makao makuu wanasoma magazeti kutwa wakisubiri kupangiwa kazi zingine, ili mradi hawakufukuzwa kazi. Kwa Mtumishi wa umma, kutumbuliwa sio sawa na kufukuzwa kazi.Mi naomba kuuliza je hao wanaotenguliwa huwa wanapewa kiinua mgongo au malipo yoyote au huwa wana nusu mshahara kama wastafu au ikoje?
Isije ikawa tunapoteza mamilioni ya pesa kuhudumia mizigo
Uyo mama kwa tunguri ndo mwenyeweUtashangaa panga pangua lakini Waziri Jenista Mhagama bado yumo!
Kweli uchawi upo!
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Kafulila ndani ya baraza.January Makamba aka Kigogo aka Mandonga hasalimiki