Mawaziri Kupanguliwa

Mawaziri Kupanguliwa

Mchengerwa ni mtoto wa mama huyo bwashee
Wenye kujua yaliyofichika. Naomba kujua ikiwa
Bashungwa
Ndalichako
Wataendelea kusalia kwenye nafasi zao? Vipi Mchengerwa?
Najua January hagusiki.
 
Yeah. Ni matusi. Ndio maana nasema ivi Kafulila na Kitila ni wapumbaf!
Magufuli alihakikisha amewapa ajira za kudumu serikalini, wakazikacha na kukimbilia kwenye teuzi.
Leo hii, wako juu ya mawe!
Kafulila alikua na ajira gani?
 
Lolote linawezekana,hii nchi ina changamoto nyingi kuliko tunazozijua
Swali lako zuri sana. Sijui kama huwa wanapewa kiinua mgongo kwani kama ni hivyo, basi wale wanaotenguliwa na kisha kuteuliwa tena watakuwa wanakomba sana kwa kila uteuzi utakuwa unakuja na kiinua mgongo chake. Nadhani huenda kuna utaratibu tofauti ili kuzuia gharama zisizokuwa lazima kama hizo
 
Wanakuwaje kama sisi wengine ikiwa waziri ni lazime awe mbunge?
Suala la watu kutenguliwa naona wengi hufurahi na kuona kama aliyetenguliwa anaenda kuwa maskini. Mtu kama makamba kwa utajiri alionao hata ukimtengua ataweza vipi kufanana na sisi wengine?
Mbaya zaidi kuna gharama zinatumika pia hata kama zipo ndani ya bajeti lakini bado hizo fedha zingefanya shughuli nyingine
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .

Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .

Usiondoke JF .
Ikitokea lengo kuu ni kuweka mawari wahuni, wapigaji, wafanya biashara ili kuendeleza falsafa ya mama kuweka wafanya biashara kuongoza nchi kwa fada yao binafsi
 
Back
Top Bottom