Mawaziri Kupanguliwa

Mawaziri Kupanguliwa

Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .

Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .

Usiondoke JF .
Kumbuka waziri ni mbunge kwa hiyo hawezi kuwa kama mwananchi wa kawaida
 
Team magu wote wakae mkuu sawa, tunataka kuhahikisha hakuna chembechembe ya sukuma gang. Hapa waitara, silinde, mollel wajiandae kituo kinachofuata
 
Ningeomba tuanzishe hoja ndani ya hoja.
Ni kwanini watanganyika mnafurahia utenguzi? Mnadhani benefits wanazopata, wakitenguliwa sitakuja kwako? Kwanini hii roho ya kichawi ndani kwetu?
Haya basi wasitenguliwe
 
Pangueni wote ila Waziri wa Fedha na Waziri wa Nishati wabakishwe huko huko..

Ondoa Waziri wa Ardhi,Viwanda na Biashara, Waziri wa Mazingira,Ondoa yule Madini abadilishiwe kituo nk

Pangueni wote ila Waziri wa Fedha na Waziri wa Nishati wabakishwe huko huko..

Ondoa Waziri wa Ardhi,Viwanda na Biashara, Waziri wa Mazingira,Ondoa yule Madini abadilishiwe kituo nk
Najua umeajiriwa na yule jamaa wa Uchumi wa tozo, kibarua kisijeota nyasi.

Bt wale jamaa Huwa hawafanyi maamuzi Kwa mihemko, ujio wa Chalamila na Kingai ukutoe USINGIZINI.
 
Nimeota Luhaga Mpina kateuliwa uwaziri
Unataka turudie kuanza kupima samaki kwa rula ?

FB_IMG_1648499814063.jpg
 
Wenye kujua yaliyofichika. Naomba kujua ikiwa
Bashungwa
Ndalichako
Wataendelea kusalia kwenye nafasi zao? Vipi Mchengerwa?
Najua January hagusiki.
Mchengerwa si wa mama? Ye atabaki.

Hapa sema kina wote waliojijengea majina enzi ya JPM kwa utendaji kwa sasa hawatakiwi.
Mmojawapo ni Jaffo, mwingine Biteko. Hao wamama kina ndalichako na Gwajima anaweza kuwaonea soo kuwatoa ila kama ummy haitajiki tena maana anajina kubwa na haendani sana na upepo wa huyu bibi. Basi tu sababu ni mtu wa JK bado.
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .

Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .

Usiondoke JF .
Huyu mama hayaruhusu sana yale ya mambo ya mwenzake tqarifa kuvuja...Raia Mwema walichofanya ni guessing kwa rejea ya Manadiliko ya Wakuu wa mikoa, RAS na DAS's
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .

Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .

Usiondoke JF .
Kuna huyu anayetetea vifurushi kupanda badala ya kuangalia namna ya kutatua changamoto
 
Mama ikiwezekana avunje tu baraza lote la mawaziri na atangaze tu hizo nafasi za kazi watanzania wengine wajitolee wasio wabunge tuwe masela tu kutoka huku mtaani, ila Wizara ya Fedha na Nishati mimi ndio niwe Waziri.
Hapo unamaanisha katiba irekebishwe kwanza?
 
Wacha wapanguliwe kama ndo itakuwa mwarobaini wa hii hali ya sasa.....
 
Back
Top Bottom