Mawaziri Kupanguliwa

Mawaziri Kupanguliwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,381
Reaction score
271,811
Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .

Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .

Usiondoke JF .
 
Wanakuwaje kama sisi wengine ikiwa waziri ni lazime awe mbunge?
Suala la watu kutenguliwa naona wengi hufurahi na kuona kama aliyetenguliwa anaenda kuwa maskini. Mtu kama makamba kwa utajiri alionao hata ukimtengua ataweza vipi kufanana na sisi wengine?

Na kabla hawajawa wabunge au mawaziri walikuaje kwani😃😃
Au wao kuwa kama sisi ni matusi😂😂😂
 
Siku hii hawatumbiliwi papo kwa papo hadharani kwa kuambiwa makosa yao, bali ni mwendo wa kuteua na kutengua tu. Katika mwaka mmoja serikali hii imeteua na kutengua kuliko serikali zote zilizowahi kutokea nchi hii.
 
Tunasafisha Sukuma Gang polepole ili tusilete mtafaruku kwenye chama...
Wafuatao ni hawa...
1......
2......
3......
na kadhalika......
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .

Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .

Usiondoke JF .
Hivi Raiamwema hawapo mtandaoni siku hizi?
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .

Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .

Usiondoke JF .
Nitaendelea kumkubari rais ikiwa ataniondolea huyu waziri anayeitwa mwiguru
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .

Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .

Usiondoke JF .
Raia Mwema linaaminika kweli? Hii heading ni kutafuta kuuza gazeti, sidhani kama ni kweli
 
Siku hizi hii habari ya teua/tengua naona ndio imekuwa wimbo mzuri masikioni mwa watanzania, angalau inatuliwaza kwa mfumuko wa bei uliopo.

Mwendo ni kujadili wapya na sababu za kuwekwa, na wale waliotenguliwa na sababu za kuondolewa kwao, kama vile tupo ndani ya kichwa cha Rais.
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .

Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .

Usiondoke JF .
January Makamba aka Kigogo aka Mandonga hasalimiki
 
Safari hii namimi nipewe uwaziri tu maana dah si kwa kupigika huku, napaswa kung'arisha uso kidogo.
 
Back
Top Bottom