Mawaziri kujiuzuru

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Ni kutoka katika vikao vya ndani ila wanaona kuwa wameonewa wanataka waondolewe kwa njia ya mabadiriko ya baraza la mawaziri kuondoa aibu
 
sioni wa kushikilia wizara hata mmoja ndani ya ccm hata wanaopiga kelele nao wameoza bora na wabunge wa ccm nao wajiuzulu after 50 yrs of independence leo ndo wanaona madudu ya serikali? au ni hasira ya kunyimwa nyongeza ya posho? siku zote waliwazomea chadema leo nao (wamegeuka walokole?) shame on them
 
deo filikunjombe nilimwona kupitia ITV akitoa msaada wa madawa na mashuka jimboni kwake kuna hali mbaya sana msaada aliotoa hauendani na hadhi yake leo anawabwekea wenzake anapata wapi haki hiyo? aache cheap politics bhana.
 
Ufunuo! Filikunjombe hawezi toa misaada jimbo zima peke yake, ana kata 24, vijiji 78 na wananchi zaidi ya laki moja na nusu. Kazi anazozifanya anatoa fedha za mboga ya watoto wake. Nadhani ile ni kazi ya serikali, afya, elimu, nk.
 
Kibananhukhu,

..Deo atafute mbinu za kuwawezesha wapiga kura wake waweze kujitegemea na siyo kusubiri misaada toka kwa mbunge.

..kwa kuanzia angewasaidia kupata mafunzo na teknolojia ya kuongeza thamani ya mazao wanayozalisha.
 
wanaigiza ili wananchi wawaone nao wamo
 
deo filikunjombe nilimwona kupitia ITV akitoa msaada wa madawa na mashuka jimboni kwake kuna hali mbaya sana msaada aliotoa hauendani na hadhi yake leo anawabwekea wenzake anapata wapi haki hiyo? aache cheap politics bhana.
Hapo kwenye msaada unamuonea. Msaada ni hiari yake kutoa.
 
Ufunuo! Filikunjombe hawezi toa misaada jimbo zima peke yake, ana kata 24, vijiji 78 na wananchi zaidi ya laki moja na nusu. Kazi anazozifanya anatoa fedha za mboga ya watoto wake. Nadhani ile ni kazi ya serikali, afya, elimu, nk.

kama ni kazi ya serikali yanini ajipendekeze?
 
Yaleyale kama tulivyokwisha sema ni nguvu ya soda hakuna hatua kali zilizochukuliwa bali machozi ya samaki yamekwenda na maji kama kawaida. Vikao vya ndani vya CCM funika kombe mwanaharamu apite kwanza then hali ikitulia na watu wakisahau BUSINESS AS USUAL.
 
Ni kutoka katika vikao vya ndani ila wanaona kuwa wameonewa wanataka waondolewe kwa njia ya mabadiriko ya baraza la mawaziri kuondoa aibu

Mkuu hivi Tanzania kuna kujiuzulu kwa hiari? Nakuambia hata ungemfumania ready handed akikwapua hatajiuzulu? Hapa si Marekani, secret service agent kwa kosa la kuzini tu wengine wameteleza na wengine wako nyuma wakisubiri pia kuteleza kwa ndoa zao!!!! Tanzania kiboko wewe.
 
Kibananhukhu,

..Deo atafute mbinu za kuwawezesha wapiga kura wake waweze kujitegemea na siyo kusubiri misaada toka kwa mbunge.

..kwa kuanzia angewasaidia kupata mafunzo na teknolojia ya kuongeza thamani ya mazao wanayozalisha.
Mkuu hiyo serikali tuliyoweka madarakani au iliyobaka madaraka inafanya nini eti Mhe Deo atoe misaada!!!!!!!!!!Kazi ya serikali ni kuletea watu maendeleo, inatakiwa iwe chachu ya kuinua uchumi wa watu kwa kuwapa mbinu mpya na misaada mbali mbali!!!!! Watu wanahitaji kusaidiwa kama serikali haiwezi basi ijihudhuru, tuweze kuweka serikali itakayo saidia watu!!!!
 
Ili kujenga heshima ndhani inabidi wavuliwe uwaziri kwa utendaji ,bovu na sio kujihudhuru kwa waziri anaweza kujihudhuru hata kwa sababu nyingine ambazo hazifanini na utendaji mbovu.
ili iwe funzo kwa wengine wanapaswa kuvuliwa uongozi coz hawana uwezo
 
Back
Top Bottom