Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Naona kama 2015 ni mbali sana.
Issue siyo mawaziri kujiuzulu au rais kufanya mabadiliko.
Issue ni kuiondoa serikali ya wezi wa mali ya umma.
Kikwete mwenyewe mtuhumiwa mkuu, mnategemea awateue akina nani mbadala?
Unless mtuambie wabunge ndiyo watakao wateua mawaziri