Mawasiliano na Mahusiano

chauro umenikumbusha mbali nilivoachwa na mpenziwangu wa kwanza bila sababu nikatafuta mwingine wa kumfanyia revenge poor guy yaani dah ngoja nitaanzisha thread
 

natamani nikuelewa hapo Chauro....maana nadhani naweza kuwa nimekupata ndivyo sivyo....kama hautajali nifafanulie hapo tafadhali
 
Chauro hebu cheki hapa chini jinsi BHT alivyofunguka

 
umeonaa ndugu yangu mengi tunaongea kwenye nadharia lakini ikija matendo kwa wengi chini ya asilimia .

chauro umenikumbusha mbali nilivoachwa na mpenziwangu wa kwanza bila sababu nikatafuta mwingine wa kumfanyia revenge poor guy yaani dah ngoja nitaanzisha thread
 
Mpenzi hapo namaanisha ukitendwa sana inafika sehemu hata kama utapenda mambo hayawezi fanana na waliotangulia gundi za mioyo yetu nazo huwa zinaexpire ukweli usiopingika wakati mwingine unaweza kuwa unaumiza watu wasiohusika bila kujijua au kwa kujua sababu tu ya historia ya mapenzi uliyopitia..........na inawezekana kabisa hata hao waliokusababishia hawakufanya makusudi/au makusudi lakini tayari wamekufikisha hapo ulipofika na duara huwa linaendelea kutengenezwa toka mtu mmoja mpaka mwingine.

natamani nikuelewa hapo Chauro....maana nadhani naweza kuwa nimekupata ndivyo sivyo....kama hautajali nifafanulie hapo tafadhali
 
hili post limebeba ujumbe mzito sana.
Dah! will u marry me?
 
ndo maana nainjoy kuwa zangu single mie who cares?


kuna cku nilikuwa mahali na frnd wangu, yeye ametengana na mr wake, sasa mie kwangu kila dk calls, upo wapi/umefikia wapi/huoni kwamba giza linaingia etc, alinihurumia kama vile hakuwaga kwenye c2ation kama yangu, mwenyewe cku hizi anakwambia "siuzi tena uhuru wangu kununua u2mwa"....u cngle una raha zake aisee.
 

asante Chauro mzuri.....
 
ujue nini sis kuna tofauti tena ya mapenzi ya ndoa na sisi ya mtaani heri wewe ni mume sasa unakuta kamtu ni ka boyfriend tu kanakuteesa mwisho wa siku huambulii chochote ndo ivo unaishia kuumizwa moyo . Ya nini sasa yaani mapenzi haya ovyo kabisa
 

hahaha...pole mdogo wangu japo umenifanya nikakenua kdgo....cku hizi wanasema wanawake wengi wanaume wachache, so mnatakiwa muwasoteeee kweli kweli...... ovyo kabisa, kama wako wako 2!
 
hahaha...pole mdogo wangu japo umenifanya nikakenua kdgo....cku hizi wanasema wanawake wengi wanaume wachache, so mnatakiwa muwasoteeee kweli kweli...... Ovyo kabisa, kama wako wako 2!
weee nani amsotee mtu heri niwe nyumba ndogo full kukenua meno mwe
 
Dah! lawyer nimegundua.
Linapokuja suala la cheating watu wengi humu ni ma greti thinkaz, yaani hili uzi watu wanavyomwaga mapwenti utazani wamepata ile kiduku ya asubuhi a.k.a morning glory
 
Dah! lawyer nimegundua.
Linapokuja suala la cheating watu wengi humu ni ma greti thinkaz, yaani hili uzi watu wanavyomwaga mapwenti utazani wamepata ile kiduku ya asubuhi a.k.a morning glory

halafu hapa 'key words ni zipi...mawasiliano na mahusiano na cheating, au hayo mawili ya mwanzo?
 
Raha ya ngoma uingie ucheze DC watu hawaelewi kabisa, mie langu jicho tu
 
It ain't gonna be the same man! Cheating is like breaking the glass into pieces.................hata uunge vipi na gundi ipi!!
Yap!! Mpwa nakupata kabisa loud and clear ila cha kushangaza zaidi ni pale mtu unapomuomba mwenzako mkae chini mzungumze yeye anakwambia wala hakuna tatizo lolote lile lakini akitoka nje he/she starts nagging and complaining akirudi nyumbani unasikia anakwambia "You are not the problem its just me" sasa if i am not the problem why do you keep on complaining about our relationship ukiwa nje huko na watu wengine watu hawana guts za kusema "Bwana i dont think this relationship it's not working we should part ways" badala yake atakufanyia visa weee utafikiri kalishwa sumu ya panya
 

Asante dearest...nimekusoma na nimekuelewa but i'm gonna choose to disagree.
Mfano wako umesimama na nakubali kwamba wazazi wengi kama sio wote would probably go out of their ways for their kids...even I would but that's because it's a matter of life and death. Kwa kujua kwamba nikijifanya mtakatifu sana na kurudi nyumbani mikono mitupu wakati opportunity ya kupata nnachohitaji ili mtoto wangu apate matibabu iko mbele yangu naweza kumsababishia kifo , ntachukua hiyo wallet ila siwezi/wala sikubali kwamba cheaters (most of them) hua wanajikuta kwenye same situation. Kwamba acheat ili yeye/mtu mwingine wa karibu yake abaki na uhai au asicheat yey/huyo mtu apoteze uhai.I just won't buy it!!

Kuna vitu ambavyo kweli sio simple black n white...ndoa for example and I know that.Ila kucheat ni kucheat tu...na hizo tunazotumia kama sababu za kwanini tumefanya hivyo ni visingizio na sio zaidi. Hamna mtu anaeweza kumlazimisha mwenzake acheat...kushawishi ndio...ila mwisho wa siku maamuzi anayafanya CHEATER na sio mwenzi wake.
 
halafu hapa 'key words ni zipi...mawasiliano na mahusiano na cheating, au hayo mawili ya mwanzo?
Hapa hakuna key words kwa uoni wangu kuna misinterprated words ambazo zimefanywa kuwa keywords. Cheating? mmmmh kuna mengi sana yaliojificha kwenye pazia la neno cheating.

heheeh Halaf leo siko serious bana ntachafua mada bure, bora turudi kule chit chat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…