Mawakili wasomi mchango wenu hapa

Mawakili wasomi mchango wenu hapa

mbuyake

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
347
Reaction score
630
Ni hivi kuna binti wa kaka wamekuwa na tofauti na mme wake kwa muda.hii imepelekea wakaenda kwa balozi kwa usuluhishi ila bado mme hakuridhia ,mme akatupigia simu sisi wazazi nikawaita kuwashauri ,kwa kumwambia hizi tabia ndogondogo ni sababu ya mimba hivyo vumilia na binti tukamkanya basi. Waliondoka wakaenda kuishi baada ya wiki 2,tangu watoke kwangu ,wakatofautiana kijana akagoma kutoa matumizi akitaka binti aondoke hapo kwake ,hatimae mme akawa harudi nyumbani,binti akaenda kwa balozi kijana akapigiwa simu akagoma wito.binti akaona atakufa njaa ,aliamua kuchukua vinavyohamishika ,kama tv bufa ,kwa mazingira ya nyumbani kwao hivyo ndo vya kuibiwa ,maana inasemekana kitanda hawana,wala godoro,siku moja baada mke kumjulisha mme ameondoka pale hadi arudi, mme kaenda kuchukua RB mke amemwibia laki 8 ,mahind ,mchele gunia,binti kakamatwa. Ilikuwa jioni kesho yake nikamdhamini ,kijana nikamkuta polisi tukaongea haya mambo tukayamalizie nyumbani ,tukaenda kwa afande kuondoa jalada ,afande akasema limeshaenda mahakama ya mwanzo tufate barua ya kumdhamini mahakama. Tulighulika haraka kama wanafamilia kwenda mahakama ,kijana hakufika mahakamani ,simu hapokei ,binti karudishwa polisi ,jioni ndo anapiga simu , nikamwambia njoo nitakupa location ndugu wengine wanataka mzungmze nao, akaniuliza unakuja kunipa vitu vyangu nikamwambia hilo ukifika tutayamaliza, alikuja akatukuta ofisi ya serikali mtaa , mwenyekiti alisema suala lipo polisi hivyo hadi lifutwe jalada tukaamua kutoka pale kijana akaanza fujo hawezi kuacha vitu vyake.mwenyekiti akaamuru mgambo amtoe,kesho yake binti akaenda kuripot polisi, kapelekwa mahakamani,ikapigwa tarhe hadi jana ,jana tena tarhe , binti alikana kesi ya wizi ,kijana akaulizwa kama ana shahidi akasema alinirecord siku namwambia aje tunazungumze tumpe vitu eti sauti yangu ndo ushahidi ,na hana ushahidi mwingine je hii imekaaje wajuvi
 
Wameishi wote miaka mingapi
 
Hapa usomi wala uwakili hauhitajiki ila Kuna shida kubwa ya mawasiliano baina ya wawili hao wapenzi. Siku wakikaa pamoja kwa faragha zao wakizagamuana probably nyege zao zitawaisha na watakaa sawa. Ugomvi wao utasuluhishwa kwa asilimia 90 na wao wenyewe na asilimia iliyobaki watu wa nje wenye hekima na busara ndio watawasaidia kuwashauri warudi kwenye mstari.
 
Sasa mtu na mkewe wanaibiana vipi ?
Huyo afande kakosea hata kuandika hilo shauri
Au labda huyo jamaa hakutoa maelezo kamili
Nachoona kama mtu akifikia hatua ya kukupeleka mahakamani hakutakii mema
Bora wavumiliane wauane hata kwa sumu tu maana sitoagi ushauri wa kuachana mimi
 
Back
Top Bottom