kwa hiyo kwa sasa wanachotetea ndevu?hakika asiyenyoa basi huyo atanyolewa.na sio ndevu tu! ieleweke vizuri hapa.MAWAKILI wa viongozi wa Jumuiya ya Uamsho wanaoshitakiwa kwa tuhuma tofauti, wamelalamikia kuvunjwa kwa haki za wateja wao wakiwa rumande ikiwamo kunyolewa ndevu kwa wateja hao akiwamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maimamu Zanzibar, Shekhe Faridi Hadi Ahmed.
'wanasheria tusaidieni, hivi ndevu huwa hazitakiwi rumande?...vipi kwa wafungwa jela?
anamlilia nani?? Ajibebe kisha ajipakate! Asituletee uchuro!angeliaje?
kwa hiyo kwa sasa wanachotetea ndevu?hakika asiyenyoa basi huyo atanyolewa.na sio ndevu tu! ieleweke vizuri hapa.
heshima petha kaka!EBO...!
HUNA ADABU,,
:boxing::boxing::boxing:
Baadae watalillia kinyesi alicho jisaidia kwenye ndoo akiwa rumande.