Mawakala wanne CHADEMA wafa ajalini

Siyo sawa kupoteza maisha yako kwa manufaa ya wengine, hata hivyo wapumzike kwa Amani, ...
Nlitegemea hii comment kwenye huu uzi.

Hvi viongozi wanapaswa kuwa wawakilidhi wa wananchi kwahyo wakichagua ndio anaenda kulink shida zao na serikali.

.... Sasa hapo amekufa kwa maslahi ya mgombea au ya kutumikia haki ya Raia wote ya kuchagua viongozi na kupata muwakilishi kwenye vyombo vya maamuzi?

Reasoning ya waTZ cjui ipoje.
 

Mwenyezi Mungu Awarehemu, na majeruhi awaponye. Yote hii ni vile tunaipenda nchi yetu na tunataka kuchagua kiongozi makini kama hivi tutakavyopiga 28 Oktoba
 

Attachments

  • IMG-20201021-WA0002.jpg
    98.5 KB · Views: 8
Haikawii kusemwa kusemwa Ccm waliwalegezea tyre ya gari ndio sababu ya ajali,yote kwa yote Sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
 
Yana mwisho haya yote....!!! Na mwisho wao hauko mbali
 
Pole nyingi kwa ndugu, jamaa, na marafiki, waliopoteza wapendwa wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…