A
Anonymous
Guest
Tunawaandikia kama mawakala wenu tukitoa malalamiko yetu rasmi kuhusu huduma za umeme (LUKU) na controller number, ambapo kwa muda mrefu hakuna kamisheni inayolipwa kabisa huku makato ya miamala yakiendelea kufanyika.
Sisi kama mawakala:
Hali hii inatufanya tujiulize kwa haki kabisa:
Je, tunafanya kazi kwa manufaa ya nani kama wakala halipwi?
Pia, hata pale ambapo kamisheni hulipwa mwisho wa mwezi, bado:
1. Ufafanuzi rasmi wa muundo wa kamisheni (commission structure) kwa huduma za umeme na controller number
2. Marekebisho ya haraka ili angalau kuwe na kamisheni ya msingi kwa wakala
3. Au maelekezo rasmi kama huduma hizi hazina kamisheni kabisa.
Sisi kama mawakala:
- Tunaweka mtaji wetu binafsi
- Tunahudumia wateja na kubeba lawama zote za changamoto za mfumo
- Tunakatwa makato ya miamala papo hapo
Hali hii inatufanya tujiulize kwa haki kabisa:
Je, tunafanya kazi kwa manufaa ya nani kama wakala halipwi?
Pia, hata pale ambapo kamisheni hulipwa mwisho wa mwezi, bado:
- Makato yanaendelea kila siku
- Hakuna uwazi wa kutosha kwenye rate card ya huduma hizi