ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,642
- 3,270
Trust me 100% watu watakujaji kwa mavazi na muonekano . Wote tunafanya ivo
Nikudanganye Mdukuzi kama wewe ili nipate nini?kwani ualipa chochote?Mbona hospitali zingine wanasumbua ndugu kisa group O?Ngoja nikuache labda umejiaandaa kubisha.Acha uongo,kutoa damu si lazima group zimatch.
Ukijichanganya Mweusi hata na jeans tu kwa Tz yetu hii huingii.Nchi za wazungu katika vitu hawajali ni mavazi na inafanya maisha yanakuwa very simple, yaani ukienda hata kwenye nyumba za ibada watu wako simple, tshirt, pence na ndala, jeans na trainers, nk.
Hata baadhi ya maofisi hawajali unavaa nini mradi sio very revealing
Inategemea na hali ya blood bank huwezi juaAcha uongo,kutoa damu si lazima group zimatch.
Utaratibu ni kwamba damu unayotoa ni kwa ajili ya kufanya replacement ya damu atakayowekewa muhitaji,wewe ukitoa damu inapelekwa maabara huki na kukaa miezi mitatu ndio itafaa kwa matumiziInategemea na hali ya blood bank huwezi jua
Ama kama ni O Rh- kuipata sio rahisi na zingine rare
unless wewe ni 'universal recipient' ndio utawekewa damu yoyote
Otherwise Kila mtu anapokea damu ya mtu alie kundi moja naye tu
Sawa yawezekana ni utaratibuUtaratibu ni kwamba damu unayotoa ni kwa ajili ya kufanya replacement ya damu atakayowekewa muhitaji,wewe ukitoa damu inapelekwa maabara huki na kukaa miezi mitatu ndio itafaa kwa matumizi
Ndio,Sawa yawezekana ni utaratibu
Ila je muda wote blood bank wana aina zote?.
Binafsi siwezi kuzijua tabia za mtu kwa mavazi lakini asilimia kubwa ya watu wanawezaga kunipa sifa zangu kwa kuangalia mavazi yangu/ninavyopendelea kuvaa.
Hivyo naamini inawezekana kuzijua tabia za mtu kwa staili hiyo.
Binafsi siwezi kuzijua tabia za mtu kwa mavazi lakini asilimia kubwa ya watu wanawezaga kunipa sifa zangu kwa kuangalia mavazi yangu/ninavyopendelea kuvaa.
Hivyo naamini inawezekana kuzijua tabia za mtu kwa staili hiyo.
Mimi naamini mavazi ya mtu yanaweza kabisa kumtambulisha mtu tabia zake mbele ya wengine. Na kwa uzoefu wangu watu wengi ambao huwa wanavaa vizuri asilimia kubwa ni watu wastaarabu.
Kuvaa NYUKU NYUKU kama una uwezo wa kuvaa vizuri NOMAAAA