Mauwaji ya Kinyama

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Kuna mdau amenitumia picha za mauwaji, haijulikani yametokea wapi but some where in Tz. Ni picha za kutisha (horror) kwa wale wenye nyoyo nyepesi.

Nimesita kuzituma humu kwa kuchelea lawama.

Maiti ni ya kijana kati ya umri wa miaka 20-25. Mweupe kiasi na ana nywele nyingi. Maiti yake inaonekana imekatwa katwa... Nahisi aliyetuma picha hizo amezipiga kutoka chumba cha maiti.

Wadau kama Mod hataruhusu naweza kuzibandika hapa. Ila kuziangalia is your own risk.
 
Nahisi aliyetuma picha hizo amezipiga kutoka chumba cha maiti.

Wadau kama Mod hataruhusu naweza kuzibandika hapa. Ila kuziangalia is your own risk.
Zibandike kwani ushatoa onyo. Hiyo source yako haijakuambia imezipiga wapi?
Chumba cha maiti wapi? Kama hospitali ndio kawaida inavyofanyika autopsy, sio unyama!
 
Msije mkalia kama kaka yetu pale Dodoma, Bandika kaka watu waone na watoe michango yao. Ila wasiliana na source wako akuambia zimepigwa wapi ili iwe rahisi kufuatilia kwa wahusika

You dont have the siource achana na hii stori maana ni sawa na udaku as it adds no value
 
Najitahidi kuwasiliana na jamaa kwa maelezo zaidi.
Tfanye subra.
 
Last edited:
Mmmmmmmmh ........kweli zinatisha, kwa wenye roho nyepesi, huwezi angalia mara mbili!

Anyway, mbona huyu jamaa ameshonwa kuanzia shingoni hadi tumboni? Ok mi nahisi kabla umauti kumkuta alitumika kama Drug baron, labda wakashindana maslahi kataka kuwachangia ma tycoon ikabidi wamcharange mapanga then wakazitoa kete zao! Ni mawazo yangu baada ya kuziona picha!
 
Mmmmmmmmh ........kweli zinatisha, kwa wenye roho nyepesi, huwezi angalia mara mbili!

...Ok mi nahisi kabla umauti kumkuta alitumika kama Drug baron...!

May be Not...! May be some kind of a post-mortem examination to determine cause of death"!
 
Mod tafadhali zitoe hizi picha unawajua jamaa zake huyo marehemu ?

Sahiba.
 
...Ziacheni hapa hapa, mnaogopa nini?... we dare talk openly hapa!

huyu 'amateur' alofanya hizo incision na dissections ana idea kwenye fani ya tiba, au Butchery... amehakikisha kuna massive outflow ya damu, bila kumharibu marehemu, wakati huo huo kutoa funzo kwa wengine wataompitia kwenye anga zake, ama kwa kumdhulumu, au...
 
sidhani kama zinatusaidia hapa. Hatujui nini kilitokea kusababisha kifo, na nini maiti inafanyiwa na story behind it! Nadhani sio fair kwa picha kuendelea kuwepo hapa.
 
sidhani kama zinatusaidia hapa.

..kwa Pathologists, Criminal profilers, na hata Mortuary attendants hii ni 'everyday cup of tea!'. Hapa JF, sie ni members of JURY, lazima tu digest hizi news tusiwe biased kwenye hukumu, ...huenda huyo muuaji anahitaji psychological help ASAP!

Hatujui nini kilitokea kusababisha kifo,

...lolote laweza kuwa lilitokea kusababisha kifo, Autopsy pekee ndio inayoweza toa jibu, hata kama kutakuwa kuna alama za strangulations, au severe loss of blood kutokana na sharp instrument via major artery, ...hii story kuwapo hapa inatupa awareness muuaji alivyotekeleza dhamira yake, na kwamba hizo dismembering na facial skinning zote zilifanyika wakati 'victim' tayari keshakata roho.

na nini maiti inafanyiwa na story behind it! Nadhani sio fair kwa picha kuendelea kuwepo hapa.

...it is fascinating story ndugu yangu, kila mtu na midadi yake, "huenda" kuna wanao enjoy kuona dismembered bodies, yaani viungo vyote, maini, figo, moyo, mpaka koromeo vimepanguliwa vizuuuuri toka mwilini, halafu nyama yote imeondolewa kutoka katika mfupa (de-boned!)...

BTW, si unaona huyo/hao "mtaalamu" alivyo m-stitch marehemu vizuri?
 
Last edited:
sidhani kama zinatusaidia hapa. Hatujui nini kilitokea kusababisha kifo, na nini maiti inafanyiwa na story behind it! Nadhani sio fair kwa picha kuendelea kuwepo hapa.

.....Sa umeshakuwa WARNED mapemaaa,na we umechumgulia nini wakati unajua karoho kako ka PLASTIC???,,,,,,,,,hivi huyu ndo yule jamaa alie uawa na mhindi mwenzie au??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom