MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

Hv vitu nikivinunua online naenda kuvipata wapi mf km hyo cd
 
Hiyo program nasikia ni ya kiwakala na inatumika kukusanya taarifa za watu na kuzipeleka kwa sirikali yenu.
 
Mkuu naweza pata wapi hiyo sim card reader
 
Hiyo sim card reader vip naweza pataje?
 
Hujatupa option ya ku cancel
 
Ku cancel iwapo mawasiliano yako yamechukuliwa bila wewe kujua au ku cancel/log out ukisha chukua mawasiliano ya mtu bila yeye kujua?
Kumtoa huyo mtu ulie chukua mawasiliano yake bila yeye kujua ukitaka kumtoa utafanyaje
 
Mchunguze tu ili ujue kama unachui au mbuzi.Mambo ya kucheatiana ni ya kurudishana nyuma tu.
 
Means ukitaka usipate tena text za huyo mtu
Kuna vidoti vitatu kama sikosei vipo upande wa kulia ukibonyeza hapo utakutana na option ya ku logout. Vipi kwani mkuu umekutana na mazito mpaka hutamani tena kupata meseji zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…