MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

ONYO KUBWA SANA
Usithubutu kumfanyia hivi mwanamke au mwanaume unayempenda sana, kwa kuwa unaweza kufa kwa presha, kama anakupenda, anakusikiliza, haina haja ya kumchunguza. Kwani unapomchunguza uwe tayari kukabiliana nayo yale utakayoyaona.

Kuna mambo mengi sana kupita kiasi, usimchunguze MTU ambaye hajakufanyia vitu vyovyote.

Kuna SIM CARD READER hii kitu ni mwisho wa matatizo yote, unainunua online na inakuja na CD yake ya software, unainstall hiyo CD kwenye laptop yako, hiyo card reader ipo kama flash disc, kuna sehemu ya kupachika laini ya SIMU, unapachika then unaichomeka kwenye laptop kupitia USB kama flash, ni balaa itasoma vitu vya tokea laini ilipoanza kutengenezwa, vilivyofutwa na vilivyopo.

Niliwahi kumfanyia hivi aliyekuwa mke wangu ambaye sasa tumeshaachana, aliniona sifai haswa maana kila nilipomueleza mimi si mtu wa nchi hii hakuwa akiamini, alikuwa ni mtu wa kuficha ficha simu yake, ukigusa tu simu yake ugomvi mkubwa sana na tayari niliona siwezi kuwa naye tena, nikaifanya hiyo kazi niliyoyaona humo ni siri yangu, lakini haikuwa tens ndoa mpaka leo.

Pia polisi walinikasirikia sana wakaniambia nimedukua nyaraka za siri sana, ilibidi nimlipe mwanamke fidia kesi isifike mbele kwani ingeweza kuwa na matatizo kwangu, SIM CARD READER ilileta meseji zake zote ambazo alikuwa akizifuta anapomaliza tu kuwasiliana na mabwana zake.
Hv vitu nikivinunua online naenda kuvipata wapi mf km hyo cd
 
Mkuu naweza pata wapi hiyo sim card reader
 
Ninazo millions ways za kuchunguza mawasiliano ya mwanamke ninayempenda, sina shida ya kuwa na SIMU yake, nilipo nitajua kila kitu kinachoendelea kwenye SIMU yake, nilishayafanya hayo mara moja tu sikurudia tena na tena. Mpaka leo nina amani na ananiogopa kupita kiasi, usaliti ni kitu kibaya sana kwenye mapenzi na huwa kinakera sana haswa kwa wanaume, anafikiria shida zako zote unampelekea mumeo mara nimeona viatu vizuri, SIMU za kisasa, sijui vikolokolo gani, halafu papuchi unaipeleka kwa watu wa ajabu ajabu, vitu vingine vinaumiza na inakubidi uyafanye hayo ili uwe free kwa kweli.
Hiyo sim card reader vip naweza pataje?
 
HABARI ZA JIONI WATAALAMU WA JUKWAA HILI.
njia hii imekuwepo muda mrefu sana ila haikuwa kwa lengo lililo nifanya nianzishe uzi huu.

lengo la njia hii au utundu huu ilikuwa kwa ajili ya kuhamisha chat zako na kuweza kuzisoma ktk PC yako au kwa maneno mengine kuchat kwa kutumia computer.

sasa leo tuitumie njia hiyo hiyo kwa malengo tofauti na hayo niliyo taja hapo juu.

fuata hatua hizi
1. Ingia playstore kisha download app iitwayo
WhatsappWeb
2. Install ktk simu yako
3. Ifungue hiyo program
na utakutana na kitu kimeandikwa
USE whatsapp on your phone to scan the code
4. kisha chukua simu lengwa(hapa panaweza kuwa pagumu kidogo kama huna acces nayo basi hauta faniksha zoezi hili
ila fanya uwezavyo kuipata)
5.fungua whatsap yake na utakutana na chat zake kisa angalia pale juu kwenye kona ya kulia utakutana na vidoti vitatu

6. binyeza hapo utakutana na maandishi
whatsapp web, bonyeza hapo kisha itafungua sehem ya ku scan code(kama umewahi pita supermarket utajua hili.

7.hatua ya mwisho chukua simu yako uliyoinstall ile app na uiffungue italuletea hiyo cod iweke kwa nyuma ya simu lengwa kama mtu unaye taka kuipiga picha hivi
automatic itascan hiyo code na chat zake zitahamia kwako moja kwa moja.

ukifanikisha utaweza kufanya ya fuatayo bila yeye kujua

a.kusoma chat zake
b.kumbadilishia profile picture
c.kumbadilishia status
d.kuchat n.k

kifupi utakuwa umeimiliki wasap yake bila yeye kujua

nimeshindwa kuupload screenshots

PIA KUMBUKA KUDUKUA MAWASILIANO YA MTU NI KOSA KISHERIA.
Hujatupa option ya ku cancel
 
Ku cancel iwapo mawasiliano yako yamechukuliwa bila wewe kujua au ku cancel/log out ukisha chukua mawasiliano ya mtu bila yeye kujua?
Kumtoa huyo mtu ulie chukua mawasiliano yake bila yeye kujua ukitaka kumtoa utafanyaje
 
Mchunguze tu ili ujue kama unachui au mbuzi.Mambo ya kucheatiana ni ya kurudishana nyuma tu.
 
Means ukitaka usipate tena text za huyo mtu
Kuna vidoti vitatu kama sikosei vipo upande wa kulia ukibonyeza hapo utakutana na option ya ku logout. Vipi kwani mkuu umekutana na mazito mpaka hutamani tena kupata meseji zake?
 
69 Reactions
Reply
Back
Top Bottom