MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

Wanawake wote humu hawakubaliani na huu uzi
:D
images.jpeg
 
Udukuz ni mbinde boy. Kuna app fulani huko playstore, lakini na zenyewe zina mashart sana, hizo unaweza kusoma na kusikiliza kila kitu cha unayehitaji kumdukua. Lakini lazima ufanye settings kwa simu yake na kuleta taarifa kwenye mail yako, ila akikushtukia akakushtaki una "neno" la kujibu kisheria.
Inaitwaje kaka
 
Kwenye play store Mbona zipo nyingi ad nashindwa kujua ipi ndio sahihi, msaada tafadhali
 
Hii njia bado inafanya kazi mpaka sasa?!
Halafu ni WhatsApp web ipi maana nimeongia Playstore nimezikuta kibao hata sielewi ipi ndo yenyewe
Mkuu, vp ulipewa link au uliambiwa ipi ndo yenyewe.? Mana mm pia nmekutana nazo nyingi na cjui ipi ni sahihi
 
Back
Top Bottom