MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

Yote hayo natafuta nini.... Nakula, nalala, navaa, nauguzwa, nabembelezwa, nasikilizwa, nafanyiwa kila nachotaka. Nikamchokonoe ivo mume wangu kwa kipi haswa... Ukimchunguza bata hutamla.
Uwe na simu ya huyo mtu na hakikisha haiingii kwenye WhatsApp yake mara kwa mara, uninstall WhatsApp yako, install upya, sehemu ya kujaza namba weka namba yake, zitatumwa confirmation codes kwenye simu ya huyo mtu kwa njia ya meseji, utachukua hizo codes na kuweka kwenye WhatsApp yako, hapo umemaliza kabisa, utaanza kusoma kila kitu chake. Bora tu yeye hakikisha kwa kipindi hicho hatumii WhatsApp, kwani akiingia tu huku ya kwako inavurugika.
 
Ili nipate sh ngap baada ya kumaliza uo mchezo
 
kwani kusoma ujumbe wa mtu bila ruhusa yake tunaitaje? tumia akili vingenevyo utafungwa!
Ndio uje na mtu anaye lalamika kusomewa ujumbe wake na mimi ili nifungwe

Tumia akili ku reason vitu.

By the way mada hizi zinafundishwa kwenye mambo ya IT na hili jukwaa linajihusisha na mambo hayo si vibaya kupeana elimu. Au wakaanze kukamata wakufunzi vyuoni n.k
 
ONYO KUBWA SANA
Usithubutu kumfanyia hivi mwanamke au mwanaume unayempenda sana, kwa kuwa unaweza kufa kwa presha, kama anakupenda, anakusikiliza, haina haja ya kumchunguza. Kwani unapomchunguza uwe tayari kukabiliana nayo yale utakayoyaona.

Kuna mambo mengi sana kupita kiasi, usimchunguze MTU ambaye hajakufanyia vitu vyovyote.

Kuna SIM CARD READER hii kitu ni mwisho wa matatizo yote, unainunua online na inakuja na CD yake ya software, unainstall hiyo CD kwenye laptop yako, hiyo card reader ipo kama flash disc, kuna sehemu ya kupachika laini ya SIMU, unapachika then unaichomeka kwenye laptop kupitia USB kama flash, ni balaa itasoma vitu vya tokea laini ilipoanza kutengenezwa, vilivyofutwa na vilivyopo.

Niliwahi kumfanyia hivi aliyekuwa mke wangu ambaye sasa tumeshaachana, aliniona sifai haswa maana kila nilipomueleza mimi si mtu wa nchi hii hakuwa akiamini, alikuwa ni mtu wa kuficha ficha simu yake, ukigusa tu simu yake ugomvi mkubwa sana na tayari niliona siwezi kuwa naye tena, nikaifanya hiyo kazi niliyoyaona humo ni siri yangu, lakini haikuwa tens ndoa mpaka leo.

Pia polisi walinikasirikia sana wakaniambia nimedukua nyaraka za siri sana, ilibidi nimlipe mwanamke fidia kesi isifike mbele kwani ingeweza kuwa na matatizo kwangu, SIM CARD READER ilileta meseji zake zote ambazo alikuwa akizifuta anapomaliza tu kuwasiliana na mabwana zake.
 
Ninazo millions ways za kuchunguza mawasiliano ya mwanamke ninayempenda, sina shida ya kuwa na SIMU yake, nilipo nitajua kila kitu kinachoendelea kwenye SIMU yake, nilishayafanya hayo mara moja tu sikurudia tena na tena. Mpaka leo nina amani na ananiogopa kupita kiasi, usaliti ni kitu kibaya sana kwenye mapenzi na huwa kinakera sana haswa kwa wanaume, anafikiria shida zako zote unampelekea mumeo mara nimeona viatu vizuri, SIMU za kisasa, sijui vikolokolo gani, halafu papuchi unaipeleka kwa watu wa ajabu ajabu, vitu vingine vinaumiza na inakubidi uyafanye hayo ili uwe free kwa kweli.
 
Poleee sana, haya ndio matokeo ya kufanyia kazi hii post.
Usimchunguze sana kuku...
 
Ninazo millions ways za kuchunguza mawasiliano ya mwanamke ninayempenda, sina shida ya kuwa na SIMU yake, nilipo nitajua kila kitu kinachoendelea kwenye SIMU yake, nilishayafanya hayo mara moja tu sikurudia tena na tena. Mpaka leo nina amani na ananiogopa kupita kiasi, usaliti ni kitu kibaya sana kwenye mapenzi na huwa kinakera sana haswa kwa wanaume, anafikiria shida zako zote unampelekea mumeo mara nimeona viatu vizuri, SIMU za kisasa, sijui vikolokolo gani, halafu papuchi unaipeleka kwa watu wa ajabu ajabu, vitu vingine vinaumiza na inakubidi uyafanye hayo ili uwe free kwa kweli.
Hemu mkuu ni pm hizo ways zko maana hiz za jamaa nimefanya but naona no results
"Mautundu"
 
ONYO KUBWA SANA
Usithubutu kumfanyia hivi mwanamke au mwanaume unayempenda sana, kwa kuwa unaweza kufa kwa presha, kama anakupenda, anakusikiliza, haina haja ya kumchunguza. Kwani unapomchunguza uwe tayari kukabiliana nayo yale utakayoyaona.

Kuna mambo mengi sana kupita kiasi, usimchunguze MTU ambaye hajakufanyia vitu vyovyote.

Kuna SIM CARD READER hii kitu ni mwisho wa matatizo yote, unainunua online na inakuja na CD yake ya software, unainstall hiyo CD kwenye laptop yako, hiyo card reader ipo kama flash disc, kuna sehemu ya kupachika laini ya SIMU, unapachika then unaichomeka kwenye laptop kupitia USB kama flash, ni balaa itasoma vitu vya tokea laini ilipoanza kutengenezwa, vilivyofutwa na vilivyopo.

Niliwahi kumfanyia hivi aliyekuwa mke wangu ambaye sasa tumeshaachana, aliniona sifai haswa maana kila nilipomueleza mimi si mtu wa nchi hii hakuwa akiamini, alikuwa ni mtu wa kuficha ficha simu yake, ukigusa tu simu yake ugomvi mkubwa sana na tayari niliona siwezi kuwa naye tena, nikaifanya hiyo kazi niliyoyaona humo ni siri yangu, lakini haikuwa tens ndoa mpaka leo.

Pia polisi walinikasirikia sana wakaniambia nimedukua nyaraka za siri sana, ilibidi nimlipe mwanamke fidia kesi isifike mbele kwani ingeweza kuwa na matatizo kwangu, SIM CARD READER ilileta meseji zake zote ambazo alikuwa akizifuta anapomaliza tu kuwasiliana na mabwana zake.
Mkuu ifafanue vzur! Mi ntawalipa hyo fidia yao ili tu nipate kumfahamu vzur mwenza wangu
 
Hivi inamaana mpaka sasa hajapatikana hacker wa kutumia namba ya simu ya victim pekee bila kuwa karibu na hiyo simu yake
 
Back
Top Bottom