MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

Ni jambo la kheri kujua ubaya wa mwenzio ili uishi naye kwa tahadhari au mkarekebisha ili mjenge familia bora kumbuka kuna hatari ya mmoja akalichuma mkala wote nakwaacha watoto wakiwa yatima, ngoja nitoe mfano hapa.

Kuna jamaa mmoja alikuwa na mke mzuri kweli kweli, lakin pia bwana huyo alikuwa na rafiki yake waliye kuwa wakifanya kazi pamoja ofisin na likuwa rafiki yake kweli kweli kwa maana kwanza alikuwa ni bosi wake hapo kazini

Sasa kumbe yule bosi wake alikuwa akimpenda sana mke wa rafiki yake na alijitahidi sana apate mwanya wa kukutana naye angalau apewe namba ya simu,

Siku moja mume akiwa kazi bosi akatembelea nyumba na kwa rafikiye kwa lengo la kufanya namna ya kupata namba ya simu na kweli alifika nyumban kwa bahati akamkuta mlinzi alipo muuliza mama yupo akamwambia hayupo akamwabia naweza pata mawasiliano yake nina shida naye mlinzi akamwambia alisha zuia kutoa namba yake bila ridhaa yake.

Basi bosi akamwambia sasa fanya hivi nipe namba halafu usiseme kwamba nimepita hapa wala umenipa namba ili isije onekana nimeipata kwako kuna maswala ya kiofisi nahitaji niongee naye shemeji .

Basi mlizi akatoa namba kwa vile aliahidiwa pia kuoewa helanya chai baada ya kylikamilisha hilo,

Basi bosi akaanza mawasiliano na shemeji yake na kusisitiza yawe ya siri na alianza kwa kurusha tsh. Laki 5 kwenye simu ya shemejie ila akajifanya amekosea lakin anamwambia kuwa lakin ukipenda shemeji yangu hata kama nimekoseaa naweza kukuachia tu kwani vibaya?? Kama tunavo jua wanawake pesa ndio kilevi cha kuwalewesha akaingia kingi baada ya story mbili tatu na shuhuli ikaanzia hapo.

Tukirudi nyuma kidogo huyu bosi alikuwa na tatizo ambalo alilificha sana sababu alikuwa HIV + siri ambayo aliye ijua ni dereva wake pekee na si mwingine sababu ndiye aliye kuwa akimpeleka kupata dawa.

Lakini kupitia hilo boss huyu alikuwa anafanya dhambi kubwa sana ya kusambaza ugonjwa huo kwa makusudi kwa kulipa kisasi kwa sababu na yeye aliupata katika mazingira ya kulipizwa kisasi

lakin dereva alikuwa karibu sana na mume wa yule dada hivyo alimshirikisha kuhusu hilo hivyo alilijua pia.

Mume alikuwa na tendency ya kupitia pitia simu ya mkewe kwa siri bila mke kujua ndipo siku moja alipo kuta sms mbali mbali ikiwepo na ya mihadi ya kukutana sehemu fulani na bosi akiahidi kumpa mume kajisafari ka siku tatu nne hivi ili wapate nafasi ya kuvunja amri ya sita

Kizuri ni kwamba mume alikuwa mstaarabu na hekima kubwa sana alikaa na mkewe kwa utulivu akamwambia mkewe nashukuru mungu nimelijua hili kabla naamini mungu yu pamoja na ndoa hii ingawa shetani anataka kutia mkono wake .

Mke akastaajabu akauliza kwa nini baba**** unasema hivyo ??

Mume akamwambia mama ***** tuna watoto wawi pekee na hatuujui mwisho wa maisha yetu nilini, twaweza fikiri tutaishi sana kumbe tukaish kidogo lakin pia twaweza dhani tutaishi kidogi kumbe tutaishi sana na kuishi sana ndio furaha yetu maana tutafaidi matunda ya watoto wetu na kucheza na wajukuu zetu

Mungu ndiye hupanga kifo lakini kipo cha hiyari ambacho mwanadamu hukitafuta mwenye na kipo kilicho pangwa na mungu

Akaendelea ''mke wangu tusikitafute kifo cha hiyari tukisubiri kifo kilicho pangwa kwa ajili yetu.''

Basi mke akapigwa na butwaa kwa nini leo baba *** anaongea haya ,ndipo mume akaamua kumueleza mkewe kuwa nimeona una mawasiliano ya kimapenzi ma bosi wangu nakuomba uache mara moja najua umeshawishiwa na fedha zake mke wangu kama umeona sina maana kwako chukua kilicho chako sasahivi uniache nilee wanangu kwa amani bila mashaka wala hofu ya kifo unayo taka kuniuletea humu ndani.

Basi mke akaelewa vyema kinacho ongelewa na akamueleza mume wake hali ilivyo kuwa tangu mwanzo hadi walipo fikia na kumuhakikishia mumewe kuwa hati rudia tena kosa kama hilo na wakakubaliana kuwa ili mume asiharibu kazi mke umueleze boss kwamba amefikiria ameona hawezi kumsaliti mume wake na pesa zile azzirudishe kwa kuzirusha kwa njia ya mttandao na akafanya hivyo na ndoa ikabaki salama kabisa lakin boss hakujua kama mwenye mke kazipata taarifa hizo maana walitumia busara ya hali ya juu sana wanandoa hao kulitatua hilo.

Hivyo kuna kaumuhumi kwa kiasi fulani kufuatilia nyendo za mwanandoa mwenzi maana huenda kwa kufanya hivyo kunaweza kukuokoa hata wewe pia kwa sehemu fulani na familia kwa sehemu nyingine

Kipitia pitia simu ya mwanandoa mwenzio kwa kiasi hujenga hofu ya heshima ya ndoa ingawa si kwa asilimia nyingi lakin inasaidia maana wandoa hao watakuwa na hofu kugawa gawa namba kwa mahawala ni tofaauti na uhuru ulio pitiliza kiasi kwamba mume au mke anaweza kupiguwa simu na mahawala zake mkiwa wote hapo hapo pamoja kitu ambacho ni dharau iliyo kithiri kwenye ndoa

Ndia iliyo imara kabisa na isiyo na mashaka wala aina yeyote ya uhuni na ujanja ujanja hakuna sababu ya kuwa na siri kubwa kwenye simu zenu unless mnafanya magendo.

Ikumbukwe simu imekuwa ndio chanzo cha migogoro kwenye ndoa kwa 75% maana kupitia simu ndipo waweza kufanya mambo mengi maovu maana simu mdio kiunganishi kikuu.

Na mtu yeyote anaye ona mke au mume hana mamlaka na simu ya mwenzie hasa wanandoa sio wapenzi, ni dhahiri mume au mke huyo anashiriki katika vitendo viovu mke au mume ndiye mtu wa karibu sana haiingii akilini hawala yako anakuwa na mandate kushika na kukagua simu yako halafu mke au mume wako unamuwekea mashart makali ni lazima hapa parekebishwe tusihalalishe uovu kwa sababu tu ya tamaa

Maana hapa walio wengi wanalikataa hili si owa sababu za maswala ya kiofisi la hasha 85% wanatetea mambo yao ya sirini tena maovu yasionwe na wanandoa wenzao ndio maana wengi wameahupa zashingo kujifanya haitakiwi kupitia pitia simu ya mwenza wako.

Lakin sasa pamoja na hayo isiwe kutwa kucha upo na simu ya mume au mke wako hiyo itakuwa too much.

Lakin ikumbukwe kupitia simu hizi hizi baba mmoja alijua kumbe analea mtoto asiye wake baada ya kufuma sms kwenye simu ya mke wake ambaye anawatoto nae watatu na huyo wa tatu ndiye asiye wake huku mama huyo akiwa anachati na baba halisi wa mtoto na anatumiwa pesa ya matumizi bila mume wake kujua hadi alipo zifuma sms hizo.

SIMU HIZI ZINASAIDIA KWA SEHEMU KUJUA YALIYO JIFICHA AMBAYO KWA SEHEMU YAOKOA JAHAZI.
umeongea lakini Mungu ndiye Alfa na Omega

ukimtumaini ni kama mlima Sayuni atakuongoza.....

Wengine tunabahati tuna ongozwa saaana kwa lolote baya atakalo binadamu juu ya maisha haya......

kama Nicola Tesla ---- telepathic

Nice One Chief
 
Account yako isipungue mamilioni
Pamoja na hayo anza kuaga majirani kwani kifungo ni haki yako.
Kila la kheri
Hahaha mkuu situtasaidiana maujuzi nitakapokwama ktk hilo zoezi ili km kuna sehemu nimekwama nakuendea tu hewani fasta unanielekeza tunakamilisha huu mpango mtu bee tu mimi na wewe technician IT wng au sio??
Na hata ikitokea km hivyo unavyosema hapo juu tunamwambia tu pilato kuwa tupo mtu bee hizo mvua tunagawana tu au faini milioni 3.5 mimi, 3.5 wewe.

"Sharing is loving"
 
HABARI ZA JIONI WATAALAMU WA JUKWAA HILI.
njia hii imekuwepo muda mrefu sana ila haikuwa kwa lengo lililo nifanya nianzishe uzi huu.

lengo la njia hii au utundu huu ilikuwa kwa ajili ya kuhamisha chat zako na kuweza kuzisoma ktk PC yako au kwa maneno mengine kuchat kwa kutumia computer.

sasa leo tuitumie njia hiyo hiyo kwa malengo tofauti na hayo niliyo taja hapo juu.

fuata hatua hizi
1. Ingia playstore kisha download app iitwayo
WhatsappWeb
2. Install ktk simu yako
3. Ifungue hiyo program
na utakutana na kitu kimeandikwa
USE whatsapp on your phone to scan the code
4. kisha chukua simu lengwa(hapa panaweza kuwa pagumu kidogo kama huna acces nayo basi hauta faniksha zoezi hili
ila fanya uwezavyo kuipata)
5.fungua whatsap yake na utakutana na chat zake kisa angalia pale juu kwenye kona ya kulia utakutana na vidoti vitatu

6. binyeza hapo utakutana na maandishi
whatsapp web, bonyeza hapo kisha itafungua sehem ya ku scan code(kama umewahi pita supermarket utajua hili.

7.hatua ya mwisho chukua simu yako uliyoinstall ile app na uiffungue italuletea hiyo cod iweke kwa nyuma ya simu lengwa kama mtu unaye taka kuipiga picha hivi
automatic itascan hiyo code na chat zake zitahamia kwako moja kwa moja.

ukifanikisha utaweza kufanya ya fuatayo bila yeye kujua

a.kusoma chat zake
b.kumbadilishia profile picture
c.kumbadilishia status
d.kuchat n.k

kifupi utakuwa umeimiliki wasap yake bila yeye kujua

nimeshindwa kuupload screenshots

PIA KUMBUKA KUDUKUA MAWASILIANO YA MTU NI KOSA KISHERIA.
Inwz access chats ambazo alishafuta?
 
Umbali was Bluetooth, approximately kama mita 100 hivi
Sio kweli kuna mtu alinifanyia hii kitu kabla sijajua alikaa na access ya whatsapp yang kwa wiki bila mimi kujua na tunaishi mbali
Mbali.

Cha msingi ni wewe kuwa unaingia mara kwa mara kwenye hiyo app basi.
 
Sio kweli kuna mtu alinifanyia hii kitu kabla sijajua alikaa na access ya whatsapp yang kwa wiki bila mimi kujua na tunaishi mbali
Mbali.

Cha msingi ni wewe kuwa unaingia mara kwa mara kwenye hiyo app basi.
Kuna njia nyingi mkuu za kuhack WhatsApp usikremishe, kwa njia hiyo ukitoka nayo nje tu mawasiliano yanakata.
 
Kuna njia nyingi mkuu za kuhack WhatsApp usikremishe, kwa njia hiyo ukitoka nayo nje tu mawasiliano yanakata.
Sijakariri na sijabisha kuwa hakuna njia nyingine mkuu.

Nacho sema kwangu mimi jamaa alikua na access ya whatsapp yangu kwa wiki nzima.
 
Sio kweli kuna mtu alinifanyia hii kitu kabla sijajua alikaa na access ya whatsapp yang kwa wiki bila mimi kujua na tunaishi mbali
Mbali.

Cha msingi ni wewe kuwa unaingia mara kwa mara kwenye hiyo app basi.
Kuna kuhack WhatsApp ya mtu kwa njia kuandika namba yake kwenye WhatsApp ya simu yako, na kuchukua code number ambazo zitatumwa kwenye simu yake na uziingize kwenye simu yako, hapo utakuwa na uwezo wa kusoma kila kitu chake hata awe ulaya. Ila tu asiingie tu kwenye WhatsApp, akiingia tu huku WhatsApp yako inavurugika.

Njia ya pili ni kuchukua address number pamoja na emei number ya simu yake, njia hii ni hatari sana kwani mtakuwa wote mnasoma meseji, na utakuwa na uwezo wa kuona kila kinachoendelea.

Njia ya tatu ndio hiyo ya WhatsApp web, njia hii imeletwa special kwa kuwa simu ni ndogo, kwahiyo unapokuwa na kompyuta yako usipate tabu kuangalia kwenye simu mara kwa mara, ndipo walipoleta hiki kitu.
 
Sijakariri na sijabisha kuwa hakuna njia nyingine mkuu.

Nacho sema kwangu mimi jamaa alikua na access ya whatsapp yangu kwa wiki nzima.
Alikuwa na access na simu yako kabla ya kuanza kuhack hiyo WhatsApp bila wewe kujua.
 
Kuna kuhack WhatsApp ya mtu kwa njia kuandika namba yake kwenye WhatsApp ya simu yako, na kuchukua code number ambazo zitatumwa kwenye simu yake na uziingize kwenye simu yako, hapo utakuwa na uwezo wa kusoma kila kitu chake hata awe ulaya. Ila tu asiingie tu kwenye WhatsApp, akiingia tu huku WhatsApp yako inavurugika.

Njia ya pili ni kuchukua address number pamoja na emei number ya simu yake, njia hii ni hatari sana kwani mtakuwa wote mnasoma meseji, na utakuwa na uwezo wa kuona kila kinachoendelea.

Njia ya tatu ndio hiyo ya WhatsApp web, njia hii imeletwa special kwa kuwa simu ni ndogo, kwahiyo unapokuwa na kompyuta yako usipate tabu kuangalia kwenye simu mara kwa mara, ndipo walipoleta hiki kitu.
Mkuu nimependa hyo namba moja ....Nisaidie maunjanja zaidi ya namna ya kufanya.
 
Yote hayo natafuta nini.... Nakula, nalala, navaa, nauguzwa, nabembelezwa, nasikilizwa, nafanyiwa kila nachotaka. Nikamchokonoe ivo mume wangu kwa kipi haswa... Ukimchunguza bata hutamla.
 
Back
Top Bottom