Anamchezea Mungu, mungu hana macho kama baba na mama.....tehe tehe tehe...kuna mahali nimeona anashake boobs tena mwenyewe hadi nikakoma,Ila ndo hivyo ukiongea sana kuwakosoa hawa wengi watakupinga,kuna style ambazo watu hawawezi kucheza mbele za baba au wajomba zao lakini wanamchezea Mungu ukihoji unaambiwa mbona David alicheza hadi nguo zikadondoka.Ulokole wa siku hizi ume adjustiwa ili uwe mrahisi ndo mana mambo mengi yanaacha maswali.
Mungu wetu ni mkuu kuliko wote,anastahili sifa zote zilizo njema. Enzi na utukufu vyote ni vyake,yeye ni alfa na omega. Hata kama nyie hamtaimba na kucheza mbele yake,''mawe yaitamba mbele za bwana''(lugha ya picha). Rose Muhando endelea kuliimba na kulitukuza jina la Mungu wa Ibrahimu wala usirudi nyuma,Nimebahatika kuipitia pitia video zilizopo katka album ya UTAMU WA YESU ya kwake rose muhando hasa hii ya utamu wa yesu,Duh humo nimekutana na mauno na michezo ya hatari mpaka nikajiuliza rose amewahi kupitia acudo nini! Yaani humo kuna kiduku,kwaito,mauno mauno n.K
hivi inaruhusiwa style kama hizo katika imani za kidini?? nauliza tu jamani
Sasa kama anasikia 'utamu ' wa Yesu kwanini asikatikie mauno?!
Mungu hajawahi wala hana mpango kuomba msaada kwa binadamu kulinda imani duniani. Kila mtu ana uhuru kumwabudu au kutomwabudu, cha moto tu baadae kitafuata!
Yaani namaanisha, hakuna ''tetea dini ya Mungu kwa ncha ya upanga'' katika ukiristo. Mungu anatupigania sio wenzetu wanaompigania Mungu wao.
Rose ana uhuru wa kucheza awezavyo, kuimba atakavyo. Kuangalia ni uamuzi wako.
Hapa umenukuu kifungu gani katika kitabu kitakatifu? elekeza tafadhali ili tujieleimishe.Mungu hajawahi wala hana mpango kuomba msaada kwa binadamu kulinda imani duniani. Kila mtu ana uhuru kumwabudu au kutomwabudu, cha moto tu baadae kitafuata!
Yaani namaanisha, hakuna ''tetea dini ya Mungu kwa ncha ya upanga'' katika ukiristo. Mungu anatupigania sio wenzetu wanaompigania Mungu wao.
Rose ana uhuru wa kucheza awezavyo, kuimba atakavyo. Kuangalia ni uamuzi wako.
Nakubaliana na wewe na huo ndiyo ukweli wenyewe.
Hata Pinda kagoma kuachia ngazi, yeye na Mawaziri wenzake ni FREEMASONS.
Ile Gari ya Kikwete iliyowekewa mafuta yaliyochakachuliwa na ikagoma kutembea ilikuwa FREEMASONS.
Ndege ya ATCL ilikuwa ni FREEMASONS...... Freemasons RULE.
Huyu mama anadanganya sana. Huo utamu anaouimba ni kama ule utamu wa Adam na Eva....
Sijui haka ka mama ni kafundi kiasi gani kwenye Mauno ya kikwelikweli. Ila hawa Muhando, watu wa Tanga, mhhh!!!!!
Aisee. We have carried the Freemason thingy too far. Recently niece and company were watching Rihhanas "diamonds" hit on MTV. Then it happened, a statement most unfounded from seven year old minds "Farasi wa Rihhana ni Freemason!
Anamchezea Mungu, mungu hana macho kama baba na mama.....tehe tehe tehe...
Kama mungu angekuwa anakaa kanisani kweli hawa wange shake boobs mbele yake?
Wanaongopeana2 Mungu haabudiwi hivyo! Biblia inasema alie lala ktk kristo amelaaniwa