Maumivu ya moyo....!!!

Ndomana mim nkianzaga mahusiano na mtu,swala la simu hua sio privacy ya mtu,yaan mda wowote napoitaka sim naichkua,hataki na akwende,.najua how i play my cards,ila ndo hvyo nayeye akitaka yangu ruksa,..mambo ya your fon is urs n mine mine,hakuna,hutak sepa ukose meng,..nashkuru hua wananielewa wanakua wapole
 
Kaka polee saana..ila ulifanya kosa kumuamini rafiki yako hadi kwa manzi wako..

[HASHTAG]#kaeni[/HASHTAG] chini muongee na mjue wapi mlikosea..!!
Duuh hapa hamna maongez kaka acha nibwage manyanga. Kenny rogers aliimba you dont have to fight to be a man, bwege ni mimi let me live with it
 
Pole sana. Siku nyingine usikague simu ya manzi wako utakufa kwa stress siku si zako. Hapa kuna options mbili. Kwanza, unaweza kumwambia umefahamu kuwa si mwaminifu. So, achague kuwa nawe ama na huyo jamaa (kumbuka hutopata mwanamke mkamilifu 100%)

Ama, kama unahisi moyo wako hauwezi kupona jeraha hili kirahisi, piga chini. Utaumia sana. Utasahau siku moja. Na, maisha yako yataendelea tu kama kawa.
 
Thank u mkuu, wise advice
 
Mfowadie hizo SMS , kisha futa namba yake na wala usipokee wala kujibu SMS zake , yaani ukishamtumia ndio iwe mawasiliano yenu ya mwisho, over
Aanaishi naye sasa atamforwadia wapi wakati wako nyumba moja chumba kimoja Mkuu....
 
Hii si option nzuri...kwa maana anaishi naye..amwambie apack vitu vyake vyote then amforwadie msg zote..na amwambie no comment na hata rudi nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…