MTOTO YATIMA
Senior Member
- Jul 1, 2012
- 147
- 58
Hii unawza ukapiga kreti la bia hata usiskie zinaenda wapi mana akili inakua kama inarukaHelw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me.
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendan nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one. Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a larget step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have. Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu this is what I found ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....View attachment 531363View attachment 531364View attachment 531365
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa.tumekua watu wazima. Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
Hahahah eti ngombeHizo ng'ombe zinajuana vizuri mno. Halafu haiwezekani demu anachat kwa kujiamini namna hiyo. Hao walishakua na mazoea ya karibu kitambo mnoo. Cha msingi hapo chukua uamuzi mgumu. Ila mimi hizo ng'mbe zingenilaza cello kwa wiki kadhaa. Nikitoka naanza maisha yangu
They say,"don't trust anyone...even your own shadow"Never trust anyone mkuu, sio wanawake tu, unadhani wanawake wao hawafanyiwi hayo na wanaume?
Comment zako zinanifurahishaga...eti wadada machahari[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijaona Comment ya wale wadada machachari humu wapo kimya kama vile hawaoni
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Pole sana mkuu
True that mkuuhuyo kuna vitu anavikosa kwako ikiwa ni pamoja na mgegedo wa nguvu ndo maana anakucheat, unajua hawa wanawake bwana sijui ni wa namna gani, wew unaweza kudhani unamridhisha katika mambo yote kumbe hamna,sasa kama unamhudumia vizuri kabisa kifedha lazima atafute mgegedo kwingine.
Ushauri wangu
Kwa vile ni mchumba, na kama hamjatengeneza vitu vingi vya kushare na yeye kwa maana ya kuwekeza nakushauri piga chini kaka.
Wanawake wa kufaa kuoa bado wapo, believe me....Endelea kumuomba Mungu.
Kuhusu hizo msg
Tafuta nafasi uje kumwonyesha tu,usijali ataumia kiasi gani,piga chini
Nimeupokea kwa mikono miwili ushauri wako mkuuUnaumia sana,una maumivu ambayo yanakufanya ufikirie mbalii sana,unafikiria labda wewe una tatizo au labda humkidhi haja zake,au kuna something ana kimiss kwako,bt kiukwel unaumia,,pole sana..
Sasa wewe mwenyewe hujui cha kufanya bt je ushauri upi haswa unaotaka kutoka hapa jukwaani??? Je unataka kusikia unachokiwaza wewe kuhusu kumwacha au unataka tukupe ushauri kwa jinsi tunavyoona wanajamvi?
Kama mm ingekua ni wewe,kwanza ningeumia kias ila sio sana,na ningemshukur Mungu kwa kinifunulia nisilokua najua,na pia ningejitahid kukaa kimya kwa siku nzima bila kuchukua uamuz wwte,then natafuta muda mzr wa kupanga apointment ya jamaa,demu wako na km jamaa ana mke unamwambia aje nae kabisa,na ndugu yako anaemfaham shemej yke vzr,,mnakaa mnaandaa chakula na vinywaji,mnapoanza kula tu,unatoa ushahid wte hadharan,halaf unawaambia kila kitu,nimewasamehen na kuanzia leo we mwanamke mapenz yetu yamefika mwsho,na wewe brother nmekusamehe ila mungu atanilipia,then unasema haya tuendelee kula. Ila hakikisha kwamba unaacha kwel kwel,na uache kwa tabasam bila kuonyesha chuki,then baada ya mwez uone km hawajakonda...na kitakachowakuta wataomba pooo
Nikwel mkuu, natupia hapa bia kadhaa kwanza nirelaxHizo ng'ombe zinajuana vizuri mno. Halafu haiwezekani demu anachat kwa kujiamini namna hiyo. Hao walishakua na mazoea ya karibu kitambo mnoo. Cha msingi hapo chukua uamuzi mgumu. Ila mimi hizo ng'mbe zingenilaza cello kwa wiki kadhaa. Nikitoka naanza maisha yangu
Asante dadaMmmh pouleee Aisee nimeumia utadhani limenikut mm
Cjui kwann binaadam haturidhiki [emoji21][emoji21]
Hilo ndio swala limeniuma sababu that day alinipa excuse kwamba anaenda kwa dada yake mmoja ambaye anaumwa anaenda kumwangalia nikamwambia nimptie huko alipo twende wote ila akakataa akasema nisijaliMmmmh hiyo chattings zao zimenisisimua sana na kuendelea kuamini mwananmke sio kiumbe cha mchezo,....yaani yeye ndo anatoa meeting point !!! Yupo free utadhani hayupo kwenye uhusiano ....nyie wanawake nyieeee!![emoji22][emoji22][emoji22] try to be fair jamani daah
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Helw wakuu,