Maumivu ya mapenzi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ulikua una muendekeza,
Sio kumwendekeza ni bas tuu mm mtu wa kulalama kila kitu hapanaπŸ˜€πŸ˜€
Nilikua nazidharau hizi zodiac ila saiv uniambii kitu, ikishasema haya mahusiano ni fire we jua ni Bom. 🀣🀣🀣
 
Wakati huo ilikuwa ni album za picha na daftari za autobiography
Alikuja na kisu kikali akaanza kuchanachana kila kitu.. Nikatulia tuli..
Alipoona sina reaction akaacha na kuniuliza kwanini hunizuii

Nikamwambia kwa upole kumbukumbu halisi haziwezi kuchanwa kwa kisu labda turudishe wakati nyuma na ku cancel kila kitu
Zile nyakati za furaha
Zile nyakati za hisia kali tukiwa wawili tu chumbani
Tulikoenda pamoja
Tulipokula pamoja..
Akakitupa kisu mvunguni na kuanza kulia.. Kisha nikatia komeo mlangoni nikashusha pazia
Nikaweka mziki wa killing me softly nikamchojoa zote na kuanza kumbebelezaπŸ˜‚
Your browser is not able to display this video.
 
Nilimuacha; sababu siku moja tukiwa naked kabla ya tendo mimi nilianza kuimba "show me the way I can go..." (By Papa Wemba), kisha yeye kwa utukutu alinionesha ule mlango mwengine.

Nikamwambia sina jadi ya kuchimba mbolea (samadi), nikamwachwa.
 
Izi ni tafiti zilifanyika kwa kuagalia miezi watu wamezaliwa na ulinganisho wa tabia.. sio exactly 100% ila inakusaidia kujua namna gani ya kuconnect na mtu pia vitu gani hapedelei.. Inasaidia kumuelewa mtu kwa vichache na kuhepuka kumuumiza
Hakuna cha nyota wala nini ,wazee wetu walikua wanachukuana tu na wanadumu , ni mifumo tu ya maisha imebadilika
 
Izi ni tafiti zilifanyika kwa kuagalia miezi watu wamezaliwa na ulinganisho wa tabia.. sio exactly 100% ila inakusaidia kujua namna gani ya kuconnect na mtu pia vitu gani hapedelei.. Inasaidia kumuelewa mtu kwa vichache na kuhepuka kumuumiza
Wazee wetu walichukuana na wamedumu , ndoa ulaya America kila siku zinavunjika , hakuna cha nyota wala kitj gani ,ni mifumo ya maisha tu imebadilika na hakuna mtu yupo tayri kuvumilia ujinga wa mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…