Maumivu ya kuchapiwa yasikie kwa jiran.

Maumivu ya kuchapiwa yasikie kwa jiran.

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
1,213
Reaction score
1,233
With full evidence nimeproove kuwa mpenz wangu ambaye tumekuwa nae for more than 3 years anacheat na jamaa mmoja wanaefanya kaz pamoja.

Maumivu ninayoyasikia nashindwa elezea, yaani! Ukizingatia kuwa nilipanga kuingia nae ktk uchumba rasmi ( kumpeleka kwa wazazi) March 2015. Na ikibid Ndoa September 2015.

Deep inside my heart najiona kuwa responsible kwa kiasi fulan , I know this girl was very innocent , na she was there for me kwa kweli.

Lakin Kuna kpindi hapo katikat Mimi nilikuwa nazingua sana na nikawa na hang out na other girls alikuja gundua na tukaongea akasema amenisamehe na for sure nimeacha hizo mambo.

But nikiwa nimesema sasa nitulie kwenye mahusiano na tuone namna gani tutasonga mbele kimaisha, nikaanza hisi mabadiliko Fulani ktk mahusiano yetu kwa upande wake. Baadae nikaja tilia shaka uhusiano wake na jamaa mmoja ambaye wanafanya kaz sehemu moja huko Arusha ,me Nipo Dar. Alinambia ni just a friend na nilimwamini japo vitu vilivyokuwa vikiendelea vilikuwa vikinitia shaka sana.

Sasa nimethibitisha kwa Hakika kuwa katembea na huyu jamaa na kwamba japo Bado kwake Mimi ndo njia kuu lakini ndo hivyo ( nimefuma mawasiliano kati yake na rafiki zake, akiwasimulia ishu mbalimbali na akiwaomba ushauri kwani hyo siku alitoka Ku do na Huyo jamaa sasa akawa anahis mimba itakuwa imeingia so anawaomba ushauri.


Nilimpenda sana na natamani kama ningekuwa na uwezo wa kumsamehe na kusahau but naona sina na tunaenda achana.

Ni maumiv makali nasikia had Kuna mida naongea mwenyewe na kupotea kabisa kmawazo.

Na japo nimeshamwacha na nimeongea nae kuhusu kubreak up na ameafiki ila haoneshi kujutia kwa namna yeyote ile .

Kwa kweli kaniweza sana

I thought it was a perfect relationship, na kama hii imetokea ili nijifunze maumiv ya kutokuwa faithful basi kweli nimejifunza.

I may look crazy but ni vile nimeona sina wa kumsimulia nimeona nije nilie na keyboard za JF hope ntapata hata watu wawili watatu watakao nipa company na kuniconsol kdogo.
 
Hata yesu alisema Simon petro rudisha upanga mahali pake kwamaana kila aangamizaye kwa upanga ataangamia kwa upanga.
................... ...................... ....................
Pole mkuu maisha ndivyo yalivyo ulikosea sana kumcheat naona hata yeye aliamua kulipiza,, some time hata umbali wa mahusiano ndio umechangia, hakuwa na iman na ww tena hasa pindi awapo mbali na ww
 
Pole sana,kwa kujua wewe ndio chanzo cha yote name umejifunza kutokana name makosa,have courage and move on.

Usilalame kuumia,ulivyokuwa unamuumiza je yeye alikuwa anafurahia.what go around always come back around.
 
karibu kwenye chama cha utulivu,amani,uhuru na kulala na nguo
MPAKA UTAKAPOSAJILIWA TENA

umerudi mkuu, naona jana hukuonekana kabisa mpaka mida hii ndio unarudi...
Vp habar ya kaz ya xmass mkuu
sijui ulifichwa wapi?
 
pole mkuu,post yako inaonesha ulishajirudi,na kwa jinsi ulivyo sasa you can make a good husband,inaweza vigumu kusamehe lakini mkisamehana mnaweza kujenga kitu kizuri,hereis what you can do,muite sehemu tulivu(kama uko willing kusamehe)mukae chini ,mwambie gani unampenda,make sure ataliona hilo,you luv this call believe me!
 
Daah!! Mkuu pole sana,kuna msemo unasema "people learn through mistake" natumai utakuwa umejifunza vya kutosha so kama unaona inawezekana kumsamehe basi msamehe muanze upya but kama itakuwia vigumu just move on,maybe someone out there is waitng for u.
 
pole msamehe msonge mbele maana hata wewe ulicheat akakusamehe fanya kama hakuna kilichotokea muanze upya
 
Sijui nikupe pole sijui nikung'ong'e tuu?? Mxiiiuuiu....
 
Oaneni, hamtaki! mnajidai sijuwi uchumba, u boy friend, u girl friend. Ujinga tu.

Wewe ulimpataje akakubali kuzini na wewe nje ya ndoa wenzako washindwe? fikiri.
 
Liwe fundisho kwako siku nyingine. Ukiwa na uhusiano na mtu, kwa nini uvue vue boxer yako ovyo ovyo kwa wengine? Unadhani yeye hana hisia au haumii moyoni?

Japo haya yeye hakutakiwa kulipa ubaya kwa sababu umemdanganya, lakini yaweza kuwa sababu ya kuanza kukudanganya. Lingine, usimhukumu bidada coz yupo AR nawe Dar, haya Mapenzi yenu ya kutisna kupitia Skype na tango ndivyo yanavyoisha hivyo. Jikung'ute kiongozi uanze maisha upya.
 
Had sasa sijaona dalili yeyote inayoonesha kuwa yupo ready kuachana na Huyo jamaa soon.

I mean naona kila dalili ya kuwa hata kama tutasema tudiscuss na kurestart ni naona kila dalili ya kuwa mwenzangu ataendelea kupanuliwa tu huko
 
umerudi mkuu, naona jana hukuonekana kabisa mpaka mida hii ndio unarudi...
Vp habar ya kaz ya xmass mkuu
sijui ulifichwa wapi?

acha tu tulikuwa na wageni have to cook for them

HAPA NIMECHOKA SINA HAMU
 
Had sasa sijaona dalili yeyote inayoonesha kuwa yupo ready kuachana na Huyo jamaa soon.

I mean naona kila dalili ya kuwa hata kama tutasema tudiscuss na kurestart ni naona kila dalili ya kuwa mwenzangu ataendelea kupanuliwa tu huko
Hembu achana nae bana. Kwani ulimkuta hajawahi panuliwa? Kwa nini sasa asipsnuliwe na wengine...start afresh wala usimuweke akilini.
 
Hembu achana nae bana. Kwani ulimkuta hajawahi panuliwa? Kwa nini sasa asipsnuliwe na wengine...start afresh wala usimuweke akilini.

Nilimkuta hajapanuliwa!

Nimeshamake up my mind kuwa nasepa. But ninapayuka payuka hapa sababu tu naumia for real nimeumia sana
 
Nilimkuta hajapanuliwa!

Nimeshamake up my mind kuwa nasepa. But ninapayuka payuka hapa sababu tu naumia for real nimeumia sana

Pole sana ila ndo ujifunze kupitia yaliyo kukuta kwasababu mwanzon ungekua faithful kwake asingetafuta njia mbadala ya kupata faraja..trust me boys ndo huaga mnafanya wanawake tuwabadilikie kutokana na jins mnavyotufanyia...!
 
Pole sana. Tunajifunza kwa makosa japo mafundisho mengine ni magumu.
1. Umeshajua maumivu ya kusalitiwa, kua mwaminifu usije kuumiza.

2. Wewe mwanaume ulishayafanya na ukaomba msamaha na kubadilika, naye mwanamke kayafanya... hivyo jifunze kuwa wote tunakosea na kuna kujirudi.

3. Huyo dada tayari ulishamuumiza akawaza kutafuta ustaarabu mwingine kabla halijamchwea maana alishaona husomeki akapoteza imani. Kama haoneshi kujutia wala nia ya kuyamaliza basi achanana nae anza upya.

Inauma sana ila ndio maisha.
Kila la heri.
 
Kile ambandacho mtu ndicho atakacho vuna. Usiumie moyo hayo ni mavuno halali.
 
karibu kwenye chama cha utulivu,amani,uhuru na kulala na nguo
MPAKA UTAKAPOSAJILIWA TENA

Hahahahahaaaaa nimekuelewa hapo ulipoandika kwa herufi kubwa. Pole sana sana!!!!!! ukihitaji sana niite nikusaidie siku moja moja tu
 
Back
Top Bottom