Maumivu ya kuchapiwa yasikie kwa jiran.

Maumivu ya kuchapiwa yasikie kwa jiran.

Pole sana ila ndo ujifunze kupitia yaliyo kukuta kwasababu mwanzon ungekua faithful kwake asingetafuta njia mbadala ya kupata faraja..trust me boys ndo huaga mnafanya wanawake tuwabadilikie kutokana na jins mnavyotufanyia...!

But we discussed and she said amenisamehe.
I thought nimeclear but ilikuwa Mara moja moja tukigombana anagusia gusia hizo Habari.

Ningejua kuwa atafanya hiv kulipa ningejipa adhabu ya kusepa mapema sana.
 
Inaitwa Jino kwa Jino.ukihisi una kidonda usiwe mchokozi maana utatoneshwa
 
Si ulilianzisha ukajifanya hiyo mbouo unaitembeza kama hereni za machinga, tulia hivo hivo....what goes around comes around sio msemo tu ipo kweli hata ye aliumia hvo hvo hongera kwa kuchapiwa!!!!
 
Had sasa sijaona dalili yeyote inayoonesha kuwa yupo ready kuachana na Huyo jamaa soon.

I mean naona kila dalili ya kuwa hata kama tutasema tudiscuss na kurestart ni naona kila dalili ya kuwa mwenzangu ataendelea kupanuliwa tu huko

Hebu tuanzia hapa umechukua hatua gain tangu ilipogundua hayo kama kuuliza.
 
Nilimkuta hajapanuliwa!

Nimeshamake up my mind kuwa nasepa. But ninapayuka payuka hapa sababu tu naumia for real nimeumia sana

"Kupanuliwa"????Acha tu aende kwa wengine,maana hats lugha unayotumia unaonyesha ulikuwa unamkera tu
 
Nilimkuta hajapanuliwa!

Nimeshamake up my mind kuwa nasepa. But ninapayuka payuka hapa sababu tu naumia for real nimeumia sana

Vijana ya arusha ni hatarii aisee! na kama ndo ulikua unato***a kisharabaro uku ni hiphop ka ya green city! anyway sikushaur urud tena mbona mashor kibao isitoshe usitafute bkira znasumbua sana kwenye ndoa, tafta aliyefumuliwa tayar uanze maisha mapya na kulialia sio vzur ukiona maumiv yamezid tafta wa mnyonge, ndivyo ilivo bhana
 
Had sasa sijaona dalili
yeyote inayoonesha kuwa yupo ready kuachana na Huyo jamaa soon.

I mean naona kila dalili ya kuwa hata kama tutasema tudiscuss na
kurestart ni naona kila dalili ya kuwa mwenzangu ataendelea kupanuliwa
tu huko

ni kweli kabisa hatomuacha na kama anakuzidi uwezoooo dah kushineii poleee
 
Si ulilianzisha ukajifanya hiyo mbouo unaitembeza kama hereni za machinga, tulia hivo hivo....what goes around comes around sio msemo tu ipo kweli hata ye aliumia hvo hvo hongera kwa kuchapiwa!!!!

Hahaa hahaa,hereni machinga lowest quality
 
pole sana mkuu.
Nakumbuka enzi hizo nilishafuma mawasiliano kwa simu ya boyfriend angu ambae nilikuwa natafuta jinsi ya kumtema tu yaani sikuwa nampenda kihivyo.
Ila nilivyoona sms zile nilihisi kupasuka yaani nilichanganyikiwa ni balaa.
Sasa sipatii picha wewe na huyo binti unataka kumuoa kabisa.
Ila litapita tu mkuu na utasahau
 
Cheza Salama Ais33 Siku Hizi Ukimwi Nje Nje Aisee Tutakusahau Ujue
 
But we discussed and she said amenisamehe.
I thought nimeclear but ilikuwa Mara moja moja tukigombana anagusia gusia hizo Habari.

Ningejua kuwa atafanya hiv kulipa ningejipa adhabu ya kusepa mapema sana.

mkuu haina haja ya kulialia funga buti funga mkanda anza safar kama askar wa miguu.

Ukimpigia magoti mwanamke atakunyanyasa sana. Tafuta mwingne acha aende zake. Mm sikushaur kurudiana naye kwasababu kachonga mzinga tayar
 
Kaka ulitengeneza mazingira yakusalitiw pia ulifanya haraka kukimbilia kuachana bila kutuliza moyo nahisi ulitawaliwa na maamuzu ya jazba ,umeacha wewe kuumia umeumia wewe..chakujifunza wkti mwingine ukipenda uwe committed kwenye mahusiano yako...yaliyopita yamepita jipange kwa maisha mengine..binadamu tumeumbiwa kusahau
 
maumivu uyasikiayo Ndio Yale nae aliyasikia wakati unaruka mtaani ....
 
Mtenda akitendewa......

Huyo jamaa utakua alikuwa anamliwaza waksti wewe upo busy kumtenda.....

Sasa umeshtuka na kujirekebisha wakati ni too late

Songa mbele tu
 
Naomba namba yake PM nifanye uchunguzi maana nipo ARUSHA pia
 
Back
Top Bottom