Maumivu ya kuchapiwa yasikie kwa jiran.

Maumivu ya kuchapiwa yasikie kwa jiran.

hayo mawazo yanapunguza sana mapenzi ya moyo hata kama ni mkeo ukishahisi tu ujue kashaliwa na hata hamu ya kumfanyia vitu vizuri kama kumnunulia zawadi moyo hukataaga kabisa na mawazo hukujia na wewe kuchet tu sana
 
Yashawai na mim kunikuta nilicheat na mim nikachitiwa, Afu ya malipizo inakua bab kubwa mana mpaka uyo new guy wake alipigia simu na kunipa mikwara as if mim ndio nimeiba
 
Huyo dada inaelekea alishaku-delete siku nyingi, ndo maana hata hajutii wala kuomba msamaha,kama wewe ulivyoomba. Na atakuwa mtu wa visasi! kama uliomba msamaha na akasema kakusamehe huku yapo moyoni hata sumu aweza kukuwekea!! Halafu Si unajua jamaa anaetembea nae ashatema sumu! We anza tu mbele...
 
huyu jamaa ametunga hii story then akaamua kuona how people respond to such topics.
 
With full evidence nimeproove kuwa mpenz wangu ambaye tumekuwa nae for more than 3 years anacheat na jamaa mmoja wanaefanya kaz pamoja.

Maumivu ninayoyasikia nashindwa elezea, yaani! Ukizingatia kuwa nilipanga kuingia nae ktk uchumba rasmi ( kumpeleka kwa wazazi) March 2015. Na ikibid Ndoa September 2015.

Deep inside my heart najiona kuwa responsible kwa kiasi fulan , I know this girl was very innocent , na she was there for me kwa kweli.

Lakin Kuna kpindi hapo katikat Mimi nilikuwa nazingua sana na nikawa na hang out na other girls alikuja gundua na tukaongea akasema amenisamehe na for sure nimeacha hizo mambo.

But nikiwa nimesema sasa nitulie kwenye mahusiano na tuone namna gani tutasonga mbele kimaisha, nikaanza hisi mabadiliko Fulani ktk mahusiano yetu kwa upande wake. Baadae nikaja tilia shaka uhusiano wake na jamaa mmoja ambaye wanafanya kaz sehemu moja huko Arusha ,me Nipo Dar. Alinambia ni just a friend na nilimwamini japo vitu vilivyokuwa vikiendelea vilikuwa vikinitia shaka sana.

Sasa nimethibitisha kwa Hakika kuwa katembea na huyu jamaa na kwamba japo Bado kwake Mimi ndo njia kuu lakini ndo hivyo ( nimefuma mawasiliano kati yake na rafiki zake, akiwasimulia ishu mbalimbali na akiwaomba ushauri kwani hyo siku alitoka Ku do na Huyo jamaa sasa akawa anahis mimba itakuwa imeingia so anawaomba ushauri.

Nilimpenda sana na natamani kama ningekuwa na uwezo wa kumsamehe na kusahau but naona sina na tunaenda achana.

Ni maumiv makali nasikia had Kuna mida naongea mwenyewe na kupotea kabisa kmawazo.

Na japo nimeshamwacha na nimeongea nae kuhusu kubreak up na ameafiki ila haoneshi kujutia kwa namna yeyote ile .

Kwa kweli kaniweza sana

I thought it was a perfect relationship, na kama hii imetokea ili nijifunze maumiv ya kutokuwa faithful basi kweli nimejifunza.

I may look crazy but ni vile nimeona sina wa kumsimulia nimeona nije nilie na keyboard za JF hope ntapata hata watu wawili watatu watakao nipa company na kuniconsol kdogo.

Wewe ni mwendawazimu mi nilijua mkeo kumbe demu bado yuko sokoni unaleta wivu wa kijinga
 
Nilimkuta hajapanuliwa!

Nimeshamake up my mind kuwa nasepa. But ninapayuka payuka hapa sababu tu naumia for real nimeumia sana

kula viroba mkuu vinasaidiga kiaina alaf jitahid usiskilize nyimbo za mapenz wala usiangalie movie za mapenz wwe kula viroba sikiliza roots raggae af angalia movie za mazombie na mavapaya itakusaidia kuondoa msongo wa mawazo
 
Huyo itakuwa ndio tabia yake asitafute kisingizio cha wewe kuchepuka.....
Wanawake hawaumii wakisalitiwa ila wanaume ndio wanaoumia na huo ndio ukweli...
We umeona wapi wanaume wanashare mwanamke... Lakini tumezoea kuona wanawake wanashare mume..
Mwanamke anayeumia akisalitiwa aje hapa habishe....na iyo ni tabia ya kiume

Hahaaa ndo mnavojidanganya hivyo! Haya endeleeni na kujifariji!
Kwanza ungeniambia ushawahi kuwa mwanamke?
Pili unaishi dunia ipi usiyojua hata wanaume wanashare wanawake?
Wale wanaofumaniwa na wake za watu unawasemaje?
Kama ni ngumu mbona wanajua kabisa huyo kaolewa na mtu fulani lakini naye yupo tu na chumvini anazama kama kawa?
 
Aisee pole sana! Ila huyo hakufai tena ukisema ujirudi atakuja kukuumiza maishani hata kuja kujiua. mapenzi yanaumiza sana kama utayapa nafasi moyoni! Mtoe moyoni kabisa! Move on!
 
Hahaaa ndo mnavojidanganya hivyo! Haya endeleeni na kujifariji!
Kwanza ungeniambia ushawahi kuwa mwanamke?
Pili unaishi dunia ipi usiyojua hata wanaume wanashare wanawake?
Wale wanaofumaniwa na wake za watu unawasemaje?
Kama ni ngumu mbona wanajua kabisa huyo kaolewa na mtu fulani lakini naye yupo tu na chumvini anazama kama kawa?

Kuniuliza nmeshakuwa mwanamke kwetu kanda maalumu hilo ni tusi..
Wanaofumaniwa si wanachepuana tu #no_string_attached
Mwanamke hana wivu wa mapenzi huo ndio ukweli.... Wanajibalaguza tu.
 
Kuniuliza nmeshakuwa mwanamke kwetu kanda maalumu hilo ni tusi..
Wanaofumaniwa si wanachepuana tu #no_string_attached
Mwanamke hana wivu wa mapenzi huo ndio ukweli.... Wanajibalaguza tu.

Suala hapa ni kufanya kile kitendo haijalishi wanachepuana au nini!
Kitendo cha kulala na mwanamke na kumlamba papuchi wakati unajua fika analalwa na mwanaume mwingine nikushare that woman!
Au wewe wivu wako uko kwenye yale makaratasi ya ndoa na si papuchi?
 
Mmmekaa kwenye mahusiano miaka 3 sasa ndo ulikuwa unapanga mwakani ukamtambulishe? huoni kuwa ameona unampotezea muda?
 
Mmmekaa kwenye mahusiano miaka 3 sasa ndo ulikuwa unapanga mwakani ukamtambulishe? huoni kuwa ameona unampotezea muda?

Katika hyo 3 kuna mmoja na nusu tuliospend tukiwa chuo,baada ya hapo harakat za kaz na kujipanga kimaisha so saiv ndo ilikuwa right time.
 
Yashawai na mim kunikuta nilicheat na mim nikachitiwa, Afu ya malipizo inakua bab kubwa mana mpaka uyo new guy wake alipigia simu na kunipa mikwara as if mim ndio nimeiba

Duh pole pia
 
Huyo dada inaelekea alishaku-delete siku nyingi, ndo maana hata hajutii wala kuomba msamaha,kama wewe ulivyoomba. Na atakuwa mtu wa visasi! kama uliomba msamaha na akasema kakusamehe huku yapo moyoni hata sumu aweza kukuwekea!! Halafu Si unajua jamaa anaetembea nae ashatema sumu! We anza tu mbele...

Upo sahihi sana ndugu

Kwamba ni mtu wa visasi I agree with you
 
Back
Top Bottom