Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,364
- 60,495
Labda kama kuna la maana sana aliwahi kunifanyia.
na sponsor unachukua siku ngapi?sec au dk!
PoleMwana Jf soma hiyo
Maumivu ya kuachwa kwa kawaida yanachukua miezi 11 au mwaka mzima....
Kama ukiendelea kuuumia basi utakua na matatizo ya akili muone daktari
Sent using Jamii Forums mobile app