Maumivu kwenye goti,nifanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu kwenye goti,nifanyeje?

Discussion in 'JF Doctor' started by MPEPE, Oct 29, 2012.

 1. MPEPE

  MPEPE Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Mwaka jana nilipanda bodaboda, gafla bodaboda ile ikaanguka na mimi nikafanikiwa kuruka na kumwacha dereva na ile toyo. Mara baada ya kuruka nilijisikia maumivu kwa mbali maeneo ya goti lakini nikayapotezea.baada ya wiki moja maumivu yaliisha kabisa na nikawa na uwezo wa kukimbia kilomita 20. Lakini tangu jana maumivu yamerudia tena. Sasa sijui tatizo nini na nifanyeje? Nimepumzika zoezi kabisa.nisaidieni jamani
   
 2. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
 3. MPEPE

  MPEPE Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Asante mkuu,nitarudisha feedbacks
   
 4. Lateni

  Lateni JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 685
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Anza kwa kupiga x ray, uone kama kuna tatizo lolote.
   
Loading...