ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,708
- 2,659
Kweli kbsa mkuu mtangazaji anaelipwa pesa nyingi bongo hii ni gadner g tu around 6m..Umewahi kuleta Taarifa ila ukiwa huna 'details' za Kutosha. Hata hivyo sishangai kwani Umbea na Kukurupuka ndiyo Sifa Kuu ya 95% ya Watanzania.
Ni kweli amerejea EFM baada ya Kumaliza Mkataba wake Wasafi Media na hakutaka tena Kuendelea kubakia huko kutokana na Kutokuelewana na Mmoja wa 'Executives' wa Wasafi Media.
Kuhusu Mshahara huo ( huu ) wako tajwa hapa GENTAMYCINE nakupinga kuwa si wa kweli na nakuomba rudi kwa aliyekudanganya hivyo kisha mzabe ( mpige ) Kibao na mwambie Siku zingine asikudanganye tena sawa?
Kimaadili si vyema kutaja Mishahara ya Watu, ila ninachojua Maulid Kitenge hata kama karejea hapo Mshahara wake hautozidi Tsh Milioni Sita ( 6 ) na hata urejeo wake hapo umechagizwa na Urafiki wake wa muda mrefu na CEO Mwenyewe Majizo ( Mmliki wa EFM na TvE )
Kazi Maalum aliyotumwa WM kaimaliza.
Shaffih dauda ndo pm wa clouds fm mkuu..Kwani Shafih ni nani pale Clouds?
Mkuu watu tumesuka ad nywele ila umetustukia..Motown sanya, kashushushu kadogo..
Program Manager ni Kidbway yule aliyekuwaga redio free africa zamani.Shaffih ndo Program manager
Jamaa anahangaikaKupitia ukurasa wa Wasafi Fm huko Instagram, wametangaza Maulid Kitenge ameondoka rasmi Wasafi Fm kuanzia leo sio tena mtangazaji wa kituo hiko!
View attachment 1881647
View attachment 1881665
Hata hahangaiki, anaangalia pesa tu kama malaya. Yaani akishakukojoza umeridhika anaenda kwa mwanaume mwingine kiroho safi.Jamaa anahangaika
Ahsante mkuu Kwa kuniweka sawaShaffih ndo Program manager
Kabisa yani alaf priva shda yake n kudakiaHiki kiwanda cha uchambuzi kinazalisha wat kama farhan mara chache sana..
Dogo anajitahidi sana..
Shaffih hawez kukubali kweli bora amtoe yule priva.
Ana dakia dakia vitu halaf hana content yeyote ye ni mifano tu ..Kabisa yani alaf priva shda yake n kudakia
Mada yani anaweza kudakia mada
Hata mwingine hajamaliza yeye anataka
Aongee hapo anaboa alaf hanaga break
Mchaga Yule n Kama anakunywa
Mtori rombo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila clouds nao walimtoa efm mara yamwishoKweli kbsa mkuu mtangazaji anaelipwa pesa nyingi bongo hii ni gadner g tu around 6m..
Mkataba ulomrudisha cloud kutoka times,
Wanaomfuatia hapo wako kilometer mia mbali,,..
Ni times fm..Ila clouds nao walimtoa efm mara yamwisho
Hapana mkuu, walimtoa efm ambapo alikuwa anahost kipindi Cha ubaoni, ndipo clouds wakamchukua ingawa hapo awali aliwahi kuhudumu hapo cloudsNi times fm..
Jamaa walimchomoa wakawa wanampa 4.5m na hapo bado alikua ndo mtangazaji anaelipwa zaidi,,
Clouds wakamrudisha kwa kupanda dau tena.
Yeah nimekumbuka mkuu ..ila alianzia times fm kwanza baada ya kutoka clouds alikua na mzee mmoja anaitwa chap chapuo,,..Hapana mkuu, walimtoa efm ambapo alikuwa anahost kipindi Cha ubaoni, ndipo clouds wakamchukua ingawa hapo awali aliwahi kuhudumu hapo clouds
Mkuu watu tumesuka ad nywele ila umetustukia..
Alitokea EFM tena kwenye kipindi cha ubaoni (alikipokea kutoka kwa Godwin Mawanja), mkataba wake ulivyoisha ndio akaondoka vizuri tu kwenda clouds.Ni times fm..
Jamaa walimchomoa wakawa wanampa 4.5m na hapo bado alikua ndo mtangazaji anaelipwa zaidi,,
Clouds wakamrudisha kwa kupanda dau tena.
Kabisa alaf Yule ameingia paleAna dakia dakia vitu halaf hana content yeyote ye ni mifano tu ..
Alex lwambano mimi namchkulia kama mchokonoa mada anaelijua hasa soka la bongo aliwahi kusema bongo kuna wachambuzi wachache sana na watoa maoni wengi..
Priva ni mmoja wa watoa maoni hana anachojua kuhusu soka..
Dah mkuu uko sawa kbsa tunagoganga sana katka mawazo kwenye hili,,Kabisa alaf Yule ameingia pale
Kwa mgongo wa dauda Tu
Maana Kwa anavoongea hata
Amrikiemba anamzid weled kisoka
Na kiuchambuz Kwa ufupi dogo inabd
Apunguze speed yake ya mifano
Isiyoisha
Binafs edga kibwana,Alex lwambano
Na farhan wanapokua kwenye kipindi
Hua wanaskilizika vzr sana
Si kweli kuwa wengine wako mbali kwani Watangazaji kama Ibrahim Masoud'Maestro', Tunu Hassan Shemkome, Oscar Oscar na Jemedari Said Kazumari wanalipwa Tsh 4,500,000/ ila 'Maestro' kama Mkuu wa Dawati la Michezo EFM ndiyo analipwa Tsh 5,000,000/ na hata kabla Maulid Kitenge hajahamia Wasafi Media ndiyo walikuwa wakichuana Kimshahara.Kweli kbsa mkuu mtangazaji anaelipwa pesa nyingi bongo hii ni gadner g tu around 6m..
Mkataba ulomrudisha cloud kutoka times,
Wanaomfuatia hapo wako kilometer mia mbali,,..
Hiyo 6m ni gross au netMtangazaji anaelipwa pesa nyingi ni gadner tu dili lake lakurudi clouds nafkiri n kwenye mili6..
Hakuna anaezidi hapo..
Tena gadner kawazidi wenzie mbali mnoo,
Hii hela clouds walimpa kumtoa times wamrudishie sbbu kipindi cha jahazi kilikua kinakufa.
Hiyo mishahara ni gross au netSi kweli kuwa wengine wako mbali kwani Watangazaji kama Ibrahim Masoud'Maestro', Tunu Hassan Shemkome, Oscar Oscar na Jemedari Said Kazumari wanalipwa Tsh 4,500,000/ ila 'Maestro' kama Mkuu wa Dawati la Michezo EFM ndiyo analipwa Tsh 5,000,000/ na hata kabla Maulid Kitenge hajahamia Wasafi Media ndiyo walikuwa wakichuana Kimshahara.