kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,389
- 22,950
nikweli kabisa haiwezekani kamishina TRA apokee mshahara ulingane na mtangazaji wabongo tena kwakigezo kipiUmewahi kuleta Taarifa ila ukiwa huna 'details' za Kutosha. Hata hivyo sishangai kwani Umbea na Kukurupuka ndiyo Sifa Kuu ya 95% ya Watanzania.
Ni kweli amerejea EFM baada ya Kumaliza Mkataba wake Wasafi Media na hakutaka tena Kuendelea kubakia huko kutokana na Kutokuelewana na Mmoja wa 'Executives' wa Wasafi Media.
Kuhusu Mshahara huo ( huu ) wako tajwa hapa GENTAMYCINE nakupinga kuwa si wa kweli na nakuomba rudi kwa aliyekudanganya hivyo kisha mzabe ( mpige ) Kibao na mwambie Siku zingine asikudanganye tena sawa?
Kimaadili si vyema kutaja Mishahara ya Watu, ila ninachojua Maulid Kitenge hata kama karejea hapo Mshahara wake hautozidi Tsh Milioni Sita ( 6 ) na hata urejeo wake hapo umechagizwa na Urafiki wake wa muda mrefu na CEO Mwenyewe Majizo ( Mmliki wa EFM na TvE )
Kazi Maalum aliyotumwa WM kaimaliza.
usomaji wamagazeti hovyo vile na makelele meeeeengi ndovimemuondoa sio mbunifu
Hiyo ni account fake.... account yenyewe ya kitenge kwenye mshambuliaji kuna i..Hilo ni parody Kama wanavyoitaa Wana jamhuri wa twita
Af Farhan kumbe kabwana mdogo tu kamemaliza a-level 2017..Dogo ana logic sana.Aiseeee Yule dogo hapana shafii
Hapo hawez kubali kabsa Bora wampeane
Yahaya au privadhino maana hawa n wapga kelele Tu pale
Aliyewaambia wasafi kujaza watangazaji kwenye kipindi kimoja na wote wanaongea at the same time ndo kuwa na kipindi bora ni nani?..Studio wamejazana hadi wengine kama zembwela ngota yake imemezwa ndo kabisaa hasikiki tena
Aiseeee Yule dogo hapana shafii
Hapo hawez kubali kabsa Bora wampeane
Yahaya au privadhino maana hawa n wapga kelele Tu pale
Baada ya kuwalipa hao ma giants hawa wakina pangu pa kavu tia mchuzi wanapata laki tatu nayo unaweza uisubiri miezi 2-3.Battle of the Giants! Watu wanapanda madau tu
Genta charismatic fellow...nmekuelewa sana...ila hapo kwe #kazimaalum hapo...naomba nipigie zaidi mstariUmewahi kuleta Taarifa ila ukiwa huna 'details' za Kutosha. Hata hivyo sishangai kwani Umbea na Kukurupuka ndiyo Sifa Kuu ya 95% ya Watanzania.
Ni kweli amerejea EFM baada ya Kumaliza Mkataba wake Wasafi Media na hakutaka tena Kuendelea kubakia huko kutokana na Kutokuelewana na Mmoja wa 'Executives' wa Wasafi Media.
Kuhusu Mshahara huo ( huu ) wako tajwa hapa GENTAMYCINE nakupinga kuwa si wa kweli na nakuomba rudi kwa aliyekudanganya hivyo kisha mzabe ( mpige ) Kibao na mwambie Siku zingine asikudanganye tena sawa?
Kimaadili si vyema kutaja Mishahara ya Watu, ila ninachojua Maulid Kitenge hata kama karejea hapo Mshahara wake hautozidi Tsh Milioni Sita ( 6 ) na hata urejeo wake hapo umechagizwa na Urafiki wake wa muda mrefu na CEO Mwenyewe Majizo ( Mmliki wa EFM na TvE )
Kazi Maalum aliyotumwa WM kaimaliza.
Al-Jazeera inabidi uwe bilingual mzuri au ujue Kinge,French, Arabic, Spanish au Germany mojawapo kati ya hizi vizuri.Angeenda al jazeera ningemuona wa maana
Hapo sasa ni kubishana tuu kila mmoja anataka asikike yeye tuuAliyewaambia wasafi kujaza watangazaji kwenye kipindi kimoja na wote wanaongea at the same time ndo kuwa na kipindi bora ni nani?..
Kwa sababu Manara anakuja kuchukua nafasi yake.Sababu ya kuondoka?
Wewe hata Ommy subiri tu.Maana wafanyakazi wengine nao watataka waruhusiwe.Eti apate kazi USA kwa elimu gani aliyonayo ?Mbona Lily Ommy anayo, yule jamaa nilisikia japo sihathibitisha anahamia huko US sijajua kapata kazi gani.
Kwani ana level gani ya elimu?Wewe hata Ommy subiri tu.Maana wafanyakazi wengine nao watataka waruhusiwe.Eti apate kazi USA kwa elimu gani aliyonayo ?
BBC sio wapuuzi kiasi hikiInasemekana eti anaelekea BBC
Yes, nyumayo.Wewe mahaba yako huwa unayaweka nyuma?