..shost alushagundua ukaribu wa mume wake an binti wa kazi alimpiga binti biti la kumheshinu baba.
Duhhh......Wewe huko hivyo?
Hii ni Cass tofauti my dearValentina mkono wa kulia ukitoa hata wa kushoto usijue,au sio kwnye bibilia iko hivyo?
Acheni ubinafsi nyie wanawake mnataka mfaidi nyie tu?Huyu shost ni yule aliyenisuta sana tulipokuwa la Saba Mimi A yeye B, tumesha yasahau yale. Tunaishi wote huku kwetu Kwamtogole, mtaa mzima wanamheshimu kwakua mume wake anazo anazo hata michango ya kumtoa mwali wote tukichanga 5,000 mwenzetu anatoa 20,000.
Ana housegirl wake alimpata akiwa amemaluza darasa la saba tu, inaweza kuita child labour lakini wote walihitajiana, binti alihitaji pesa kusaidia familia yake na shost alitaka mlezi wa mwanae mdogo. Miaka zaidi ya kumi imepita shost alushagundua ukaribu wa mume wake an binti wa kazi alimpiga binti biti la kumheshinu baba , sasa juzi anagundua mume amemjengea nyumba baba wa binti kijijini. Nyinyi vwanaume mnaudhi si kidogo.
Kwa vitu vya thawabu hapana mama mume anaweza kutoa tu!Kila mtu kwa mungu ataenda na amali zake!Hii ni Cass tofauti my dear
Mume na mke ni mwili mmoja katika kumsaidia mtu kama hivo lazima tuambizane
mamaeeee asingekubali kamwe na binti kibarua kingeota nyasi siku iyoiyo..... akili zenu mnazijua wenyewTatizo sio kumfanyia hisani na haikatazwi kumfanyia ukarimu huo...
Tatizo ni kwanini hakumshirikisha mkewe juu ya hisani hiyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mamaeeee asingekubali kamwe na binti kibarua kingeota nyasi siku iyoiyo..... akili zenu mnazijua wenyew
Thawabu hiyo ingepokelewa vizuri zaidi kama angemshirikisha mkewe...Kwa vitu vya thawabu hapana mama mume anaweza kutoa tu!Kila mtu kwa mungu ataenda na amali zake!
Kama ni jambo jema kwanini nisikubali?mamaeeee asingekubali kamwe na binti kibarua kingeota nyasi siku iyoiyo..... akili zenu mnazijua wenyew
hii ni akili ya mtandaoni na si uhalisiaKama ni jambo jema kwanini nisikubali?
Ukinificha nitaanza kuwaza kinyume chake