Maudhi ya wanaume

Maudhi yote ya wanaume yanasababishwa na wanawake.
 
Penzi la dada wa kazi halijawahi kumwacha mtu salama.
 
Tatizo sio kumfanyia hisani na haikatazwi kumfanyia ukarimu huo...

Tatizo ni kwanini hakumshirikisha mkewe juu ya hisani hiyo?
 
Tatizo sio kumfanyia hisani na haikatazwi kumfanyia ukarimu huo...

Tatizo ni kwanini hakumshirikisha mkewe juu ya hisani hiyo?
Hakuna cha hisani wala nini hapo.... kademu kake hako

Sasa naelewa kwa nini wanaume wengine wanabambikiwaga hadi mimba..... kwa kuumizana mioyo kama hivi
 
Sioni tatizo hapo kama mtu umeishi nae miaka kibao kakulelea mwanao kwanini usilipe fadhila.
 
Hakuna tabu si atamkata kwenye mshahara ila mama nae akimfunikia chakula mkata majani ya ng'ombe sio tatizo

Sasa ili akamilishe alichokianza huyo mkuu amnunulie prado huyo how c girl kwa kuwa huyo ni shemeji yako nakushauri umshauri afanye mambo kikamilifu asifanye nusunusu.shoga yako enzi yake imeshaisha watu wanataka vyapuchi vichanga
 
Tatizo sio kumfanyia hisani na haikatazwi kumfanyia ukarimu huo...

Tatizo ni kwanini hakumshirikisha mkewe juu ya hisani hiyo?
Valentina mkono wa kulia ukitoa hata wa kushoto usijue,au sio kwnye bibilia iko hivyo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…