Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,626
kiruuuu kitu cha machame tena?Huyu jamaa alikuwa na shabaha kweli sio kama Mushi, maana amemuua msichana, mume aliyemuibia na yeye mwenyewe tena zote za kichwa.
Anaitwa Gabriery Munisi!
kiruuuu kitu cha machame tena?Huyu jamaa alikuwa na shabaha kweli sio kama Mushi, maana amemuua msichana, mume aliyemuibia na yeye mwenyewe tena zote za kichwa.
Anaitwa Gabriery Munisi!
ameuawa na shemeji yake(mchumba wa dada yake)...huyo binti aliyejeruhiwa ndiye mchumba wa huyo muuaji.
Jamaa -------- sana huyu, sasa kwa nini amemuua dereva asiye na hatia
jamani carol!!!!!!!!
Unamjua mamito? Pole sana ila pengine mtuache kutuchanganya maana tunainvesti sana.....jamani carol!!!!!!!!
unajua unacho kiongea, wanawake ndiyo wanatabia ya kushobokea wasicho kijua! hapo umeongea upuuzi, ulimuona wakati anatafuna mzigo...kama hujui kitu kaa kimya kisha tutaongea habari kamiliDereva ndo aliyekuwa anatafuna mzigo! Siyo wa kukodi gari ni yake aina ya surf
jamani carol!!!!!!!!
unajua unacho kiongea, wanawake ndiyo wanatabia ya kushobokea wasicho kijua! hapo umeongea upuuzi, ulimuona wakati anatafuna mzigo...kama hujui kitu kaa kimya kisha tutaongea habari kamili
Intelijensia ya Kova inaenda sambamba na ugawaji holela wa silaha. Keep it up Kova hadi utakapoona makaburi ni mengi kuliko watu hai
jamani msisikie hii habari nimeishuhudia kwaq macho imetisha sana nilijua ni yale ya westgate.
mimi mnataka kujua sababu ni nini hasa
unajua unacho kiongea, wanawake ndiyo wanatabia ya kushobokea wasicho kijua! hapo umeongea upuuzi, ulimuona wakati anatafuna mzigo...kama hujui kitu kaa kimya kisha tutaongea habari kamili
Poleni wafiwa....!Nadhani ni wivu wa mapenzi uliopitiliza dada'angu.
jamani me nimefanya kunukuu kwenye hababri na kwa jina hilo limenigusa sana.....Hivi ni Carol gani huyo tena, wengine tuna rafiki zetu wanaitwa Carol mnatutisha, ebu wekeni picha hapa, au muandike hata Sir Name bana!