Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,833
Vijana wanapotea kwa sababu akili zao zipo kwenye mapenzi hawafikirii zaidi ya mapenzi ya siku hizi ni mapenzi ya uongo hayan ukweli kabisa watamalizika wengi kwa ujinga wao kuendekeza wivu wakupindukia kupita kiasi mapenzi gani ya kupigana risasi?
Mimi sipendi kulazimisha Mapenzi na
ninamuomba Mungu anilinde nisifike hatua kama ya huyo kijana aliye amuwa kuuwa na yeye mwenyewe kujiuwa kuna faida
gani ya kuuwa na wewe mwenyewe kujiiuwa? Kama mwanamke wako au mke wako au Mpenzi wako hakutaki muache tafuta
Mwanamke mwengine wako wengi wapenzi wa kike na wa kiume. Mpenzi wako akikuona wewe ni wa nini wengine wanasema
watakupata lini.Mapenzi ya kulazimishana mimi huwa siyapendi kabisa nikiwa na mpenzi wangu au mke wangu huwa
ninamuambia ukweli ikiwa unaona mimi sifai kuwa mpenzi wako au mume wako niambie ukweli nikuache ukatafute unaye mpenda. Bora kutokuwa na mpenzi kuliko kuwa na mpenzi mwenye mauzi.
Ni sawa tu hawa wanyama hawana shukrani yalishanikuta mimi hayo,mtu anakuwa na wewe kwa malengo baadae anasepa,nilitaka kuua mtu mimi,hawa wanawake huwa wana roho ngumu sana huwa hawajui watu unajinyima nini,wazee mpaka yakukute ndio mtaelewa,hakuna kitu kama kuheshimu feelings za mtu,mimi tangu nitake kumtwanga huyu mnyama risasi naogopa sana binadamu kama mimi naweza kutwanga mtu risasi mwenzako anaweza nini?
Hilondilo tatizo hapondipo 2lipo lalakaja adui kapanda magugu maji katikati ya ngano.Mwanamke hana Dhamana na Sisi Wanaume Tumezidi UBWEGE NAZI ( UJINGA ) acha tu Akina Dada Watutese na Watupelekeshe Watakavyo! Unaacha Kumsomesha Ndugu Yako wa Damu Unahangaika Kumgharamikia Demu TENA WENGINE HUWA MNANIBOA KWELI KWANI UTAKUTA DEMU HAKUTAKI LAKINI WEWE UNAKOMAA TU. Acha MTESWE TU MALOFA WAKUBWA NYIE! Mimi Niliacha KUPENDA RASMI MWAKA 2010 na Sasa UKINIONA na DEMU UJUE NAMDANGANYA TU NA NAKWENDA KUMBATUA KISHA NAHAMISHA KAMBI. Mwanamke hata Umpe Nini na Hata UMSUGUE VIPI bado tu ATAGONGWA NJE na MASELA na KIBAYA ZAIDI MASELA WA SIKU HIZI WANAJUA KWELI KUSIMAMIA SHOW ( KUGEGEDA ) na Wengi Wao WANAGONGA * 148 * 01# OK ( KINYELEO ). Ukiwa Masikini UNAKANYAGIWA, UKIWA TAJIRI NAPO PIA UNAKANYAGIWA Hivi Nyie Dada Zangu NANI KAWAROGA? Cha Msingi Sasa ni Kuishi Kama MAFIA tu UNATAFUTA DEMU na UNAMSETI AKUZALIE MWANA, AMLEE KISHA AKIKUA TU MKUBWA MAMA ANASEPA kwa Kumpa Hata MTAJI Kisha Wewe Unaishi tu na Mwanao. DADA ZANGU MNATIA SANA HASIRA NDIYO MAANA NASI MIDUME SASA TUNAISHI KIMAGUMASHI na KIMINYATO. Badilikeni Jamani MNATUUMIZA........................................................:smile-big:
Hatakama umeoa ndugu hawajamaa ni kunguni ukigusa2 ananuka labda awe mchamungu sana bilahivyo subiribalaa utauwa.kumgharamikia mwanamke, hasa hasa ambaye haujamuoa ni sawa na kujenga nyumba bondeni au kwenye hifadhi ya barabara.
Wewe kama ni Ke utakuwa ni dizaini za marehemu mpigwa risasi...au kama ni Me basi utakuwa CHOKO au PUNGA ZEZE...au ni mtoto wa kiume anayekula na kulala bure..hujui mikikimikiki na uchungu wa kutafuta PESA...better SHUT UP.Kuua haikuwa solution sahihi kwa kweli, pamoja na ufedhuli aloufanya huyo dada but kuua hapana
Picha kama la Ufoo Saro vile!
Kijana kwa jina la Gabriel Munisi (27) (mtoto wa kanali mstaafu) ambapo katika sakata hili yeye ndiyo muuwaji! Taarifa ni kwamba, huyu kijana alikuwa akimsomesha dem wake huko Turkey....."makubaliano yao yalikuwa...kwakuwa mimi sikusoma, bora wewe nikusomeshe ili kwa pamoja tukishaoana, tuje kulea watoto.....Gebo akimwambia mchumba wake"!
Baada ya kumaliza kusoma huko uturuki, na kisha kurudi TZ ....demu akaanza kumchenjia mshikaji na kuwa hamataki tena....eti kisa amepata mchumba mwingine..(mzava)....! Wambea wanasema, j3 dem alimpita jamaa gebo kama hamjui vile, achilia mbali matusi na maneno ya kashfa ya dem kwa mshikaji (muuaji) siku za hivi usoni via simu!
Jamaa, ishu zake ni kuchuka ndinga Dar na kwenda kuziuza mkoa fulani kanda ya ziwa, nadhani alipata tetesi kuwa demu wake anasepa leo to USA bila hata kumuaga...sasa sijui ndiyo na huyo mzva sielewi.....na alikuwa anasindikizwa [sijui] hapo siwezi pasemea! Nafikiri kwa hali hii, mshikaji Gebo akaamua afanye MAGAZIJUTO tunayo yasikitikia sasa!
kama kweli kachukua Maamuzi ya Kishujaa
Marehemu wote ni wa kusini (Songea)
Kuua haikuwa solution sahihi kwa kweli, pamoja na ufedhuli aloufanya huyo dada but kuua hapana