Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

mpaka dakika hii cjajua kisa na mkasa wala sielewi cjui shemeji cjui nini ah
 
na huyu jamaa muuaji alikuwa anajua hawa maadui zake wangekuja kwenye hii nyumba kwani watu wa hapo walikuw2a wanasema ile pick up ilipaki pale muda kidogo kisha ikaanza kuondoika kuifwata gari ndogo mara tu gari liliposimama getini kusibiri kufiunguliwa.

mm sijawah kuskia mlio wa risasi near by leo nimejionea mwenyewe.

Inawezekana kulikuwa na matukio mawili? we unazungumzia ilala boma, wakati mleta uzi anasema ni Bungoni.
 
safi kabisa taifa linahitaji vijana wengi wenye vipaji vya kulenga kama hawa
 
what is the reason behind this death jamani
 
Wabongo ndo tulivyo mkuu yaani kila mmoja hujidai shuhuda yaani full maudaku tu.
 
Watu watatu,wameuwawa maeneo ya ilala bungoni kwa risasi.
Ilikuwa ni kama sinema ambapo alitokea kijana mmoja akashuka kwenye tex huku kashika bastola, alienda katika geti lililo karibu na hotei mpya ya M.M na kujibanza, gafla geti lilifunguliwa na gari kutoka ndani likiwa na watu wa nne, wanawake 3 na dereva mmoja mwanaume. Jamaa akiwa kajibanza alianza kushambulia ile gari na kuwaua watu wawili dereva na mwanamke mmoja na kuwajeruhi wengine wawili na kisha yeye kijipiga risasi na kufa hapo hapo.

Imeelezwa kuwa kati ya waliojeruhiwa ni mama mzazi na huyo msichana alieuliwa, pia msichana ni mdogo wake (hivyo wote ni mama na watoto wake wawili) ila mwanaume aliekuwa anaendesha gari hajajulikana alikuwa ni nani..

Imeelezwa kuwa yalikuwa ni mambo ya kimapenzi!
 
Attachments

  • dereva_5c89e.png
    dereva_5c89e.png
    122.1 KB · Views: 1,662
  • muuaji_d7c7a.png
    muuaji_d7c7a.png
    119.5 KB · Views: 1,612
mungu mkubwa..hata shetan aliko huko anashangaaa tu..asema hayo sio yake
 
Watu watatu,wameuwawa maeneo ya ilala bungoni kwa risasi.
Ilikuwa ni kama sinema ambapo alitokea kijana mmoja akashuka kwenye tex huku kashika bastola, alienda katika geti lililo karibu na hotei mpya ya M.M na kujibanza, gafla geti lilifunguliwa na gari kutoka ndani likiwa na watu wa nne, wanawake 3 na dereva mmoja mwanaume. Jamaa akiwa kajibanza alianza kushambulia ile gari na kuwaua watu wawili dereva na mwanamke mmoja na kuwajeruhi wengine wawili na kisha yeye kijipiga risasi na kufa hapo hapo.

Imeelezwa kuwa kati ya waliojeruhiwa ni mama mzazi na huyo msichana alieuliwa, pia msichana ni mdogo wake (hivyo wote ni mama na watoto wake wawili) ila mwanaume aliekuwa anaendesha gari hajajulikana alikuwa ni nani..

Imeelezwa kuwa yalikuwa ni mambo ya kimapenzi!

Hapana ni hivi.
Katika hali ya kushtua, Watu wawili wamekufa kwa kupigwa risasi, Huku wengine wawili wakijeruhiwa, Chanzo cha habari kimeeleza kuwa aliyekufa ni, Ndugu wa mpenzi wa muuaji ambapo pia muuaji alijipiga risasi na kufa papo hapo.
Taarifa za kiitelijensia zinasema"" Aliyefanya mauaji hayo na kisha kujiua"" A
 
Mkitaja bungoni nakumbua miaka ya mwanzoni mwa 80's kulikuwa na hotel mbili tu eneo hilo na nyingine cristal palace ilikuwa anaanza kujengwa.. Hiyo club ya wazee wakti huo ikiitwa Aviation. na YAMUNGU MENGI siku hizi New Yamungu mengi ambayo ndio ilikuwa barza yangu enzi hizo za Kampuni ya Tours ya Bungoni super auto garage chini ya maalim Ali.

Barubaru,

Yaani hawa Mods wenu humu nadhani hawapendi asilan kuambiwa kweli na wako biased pita kiasi kwa kikundi/members fulani humu! Dah!

Yaani mpaka ile thread aloanzisha yule kanjanja wao Yeriko Yohana Msambila ya kudai ati "anatishiwa" kuuliwa na Mbunge Zitto Kabwe...pia wameifuta/wameifungia! Duh! Yaani hawa Mods kwa sasa wanachosha mno!

Ahsanta.
 
yote haya ni kwa sababu dunia inaelekea mwisho. Binadamu wa leo haridhiki hata kidogo, hata ungemtendea nn hataridhika. Leo pesa ndio iko juu ya kila kitu silaha zinauzwa kwa yeyote sababu ya pesa.
 
Back
Top Bottom