Salaam alekhum, samahani Mkuu, hiki kisa chako cha Kaini kipo ktk bible version gani? Samahani lakini.Kaini kumuua mdogo wake, kisa kikuu siyo sadaka but ni mwanamke aliyepaswa kuolewa na mdogo wake
Kaini siyo mtoto wa Adam ?
Visa vya mauaji ni vingi na miaka hii vimezidi
Just go ...
Mtani soma hiiKaini kumuua mdogo wake, kisa kikuu siyo sadaka but ni mwanamke aliyepaswa kuolewa na mdogo wake
Kaini siyo mtoto wa Adam ?
Visa vya mauaji ni vingi na miaka hii vimezidi
Just go ...
Kuchapiwa ni siri ya ndani na ilianzia pale Eden.. Wewe unadhani baada ya Eva kuongopewa na ibilisi(nyoka) na kula 'tunda' la mti wa kati alitoka salama? Adam alikula makombo tuuu...Kumbe masingle mama waliolewa kitambo tuu afu hapa kila siku tunakatazana !!!!hapana sijapenda [emoji1787][emoji1787] imetajwa hapo Abeli hakuwa mtoto wa ndoa
Nakubali mkuuKuchapiwa ni siri ya ndani na ilianzia pale Eden.. Wewe unadhani baada ya Eva kuongopewa na ibilisi(nyoka) na kula 'tunda' la mti wa kati alitoka salama? Adam alikula makombo tuuu...
Kaini ni uzao wa ibilisi na ndio maana hakuona umuhimu wa kutoa sadaka nzuri..
Lost books from Bible,Salaam alekhum, samahani Mkuu, hiki kisa chako cha Kaini kipo ktk bible version gani? Samahani lakini.
😳😳😳😳.. me ndio maana nimeacha kwenda Chapel... Mambo ya magumashi ni mengi mno.Lost books from Bible,
Google hiyo, utaona na kujua mengi kuhusu Adam .
Waliamua kuyaficha
Biblia version yoyote -Mwanzo 4:1-16Salaam alekhum, samahani Mkuu, hiki kisa chako cha Kaini kipo ktk bible version gani? Samahani lakini.
Kumbe masingle mama waliolewa kitambo tuu afu hapa kila siku tunakatazana !!!!hapana sijapenda 🤣🤣 imetajwa hapo Abeli hakuwa mtoto wa ndoa
Dah Aisee....Kisa cha pili
Mauaji Mbezi Siku ya uzinduzi wa nyumba
Jamaa mmoia mwenyeji wa Moshi kwa akina Mamndenyi mtani wangu na Asprin babu kijana.. Huyu mwana alipiga dili ndefu na wenzake ila kwenye mgao akawazima wenzake akasepa na mzigo wote akapotea mazima..
Akaibukia Mbezi akanunua kiwanja akajenga nyumba nzuri kubwa ya kisasa kwa ile pesa ya dili aliyodhulumu wenzake! Akaandaa na sherehe ya kuizindua siku ya Jumapili.. Akamualika mama yake mzazi toka Moshi na ndugu na jamaa na marafiki wengine
Siku ya uzinduzi asubuhi ile ya Jumapili watu wengine wakiws wameenda kanisani, wengine waliobaki nyumbani wakiandaa vyakula nk.. Mama mzazi akawa yuko sebuleni anaangalia TV jamaa kalala ndani
Walifika watu watatu rika la mwanae wakaingia mpaka sebuleni na kumsalimia mama kwa heshima zote kisha wakamuulizia jamaa
Mama mzazi akidhani ni wageni waalikwa akamuita mwanae! Jamaa akatoka ndani akiwa na uchovu mwingi.. Ghafla uso kwa uso anakutana na wale jamaa zake aliowapiga
Jamaa bila kupoteza muda wakamwambia mama yake kwamba kilichowaleta pale ni roho ya mtoto wake! Jamaa akajaribu kuwaomba wasimdhuru atawapatia chao, lakini wakamwambia siku hiyo hawakuhitaji hela tena bali roho yake tuu..
Akala risasi tatu akafa palepale jamaa wakasepa bila kuchukua hata sindano..! Walioenda kanisani na wageni waalikwa wengine walikuta msiba badala ya sherehe za uzinduzi wa nyumba
Mimi k7na kademu nataka nikadedishe. Yani kananinyima mimi papuchi afu kanaenda kumpa mpare kilaini kabisa..Kaini kumuua mdogo wake, kisa kikuu siyo sadaka but ni mwanamke aliyepaswa kuolewa na mdogo wake
Kaini siyo mtoto wa Adam ?
Visa vya mauaji ni vingi na miaka hii vimezidi
Just go ...
Dark days... By yoga ... Asprin wanangu bado wadogo na mkwangu bado kinda... Kwaheri,,[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]Dah Aisee....
Vipi kuhusu mwendazake, unaweza kutupa story kidogo ni nini kilimkumba akadedi wakati mzee wa Namungo alituhakikishia mdingi yuko rijali anachapa kazi.....??
Vipi kuhusu yule marehemu aliyefufuka mochware wakati unakagua maiti, afu ukamshindilia mangumi ili adedi tena.... Kisa chake ilikuwa nini?Kisa cha nne
Mauaji siku ya kipaimara Tegeta
Familia ikiwa imeenda kanisani na ndugu wengine kwenye kipaimara cha first born baba alibaki nyumbani kwa maandalizi ya sherehe
Kwenye saa tano hivi walikuja watu wawili wakagonga geti na kufunguliwa na msichana wa kazi.. Bila kujua nia yao ovu walimuuliza kama baba yupo naye akawajibu yupo na kuwaongoza mpaka sebuleni
Jamaa hawakuwa na maneno mengi walimmiminia risasi za kutosha na kutokomea kusikojulikana..
Sherehe za kipaimara zikageuka msiba wa baba wa familia