Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,459
- 4,748
Hawana kazi za kufanya tuwakumbushe majukumu yao?? Maana hawawezi kuwa sirazi kwa upuuzi kama huo, pili kwanini ulimboka awakilishwe na mtu??
JIBU: Kazi wanazo na mojawapo ni makongamano ya ndani wengine hua wanaenda ya nje.
haki ya mtu kuwakilishwa ni halali kisheria na kiutendaji wengine huwa hawapendi kuwakilishwa
Wameshamfanya mtaji wa kisiasa?? Alafu inshu iwe kufungiwa gazeti la mwanahalisi kwani gazeti lahabari lilikuwa ni hilo tu mbona yapo raia mwema, tanzania daima, nipashe, mwananchi.
JIBU: kama ulimboka ni mtaji wa kisiasa CCM nao wautumie ili wanufaike. kuhusu magazeti uliyoyataja hayapo kwenye ajenda sababu hayajafungiwa.
Nina uhakika kama sio kongamano la chadema basi litakuwa kongamano la freemansons
JIBU: kama ni chadema itakuwa vizuri maana wanayo haki ya kuhudhuria makongamano na watafikisha ujumbe vizuri kuliko CCM. Freemasons wanaeleweka ni wafuasi toka chama gani maana hata mkuu wao hapa bongo anajulikana ni wa chama gani.
FAHAMU: MKUKI HAOGONGWI KONZI
bla bla bla bla bla bla
FAHAMU: KELELE ZA CHUURA HAZIMZUII PUNDA KUNYWA MAJI