MwanaHALISI, serikali inajiumbua. Wakati ule walilifungia lisiandike ya Ulimboka. Sasa ni hili la Lissu!

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Julai 2012 baada ya Dr Stephen Ulimboka kutekwa na kujeruhiwa Gazeti LA Mwanahalisi ambalo lilikuwa linaripoti taarifa hiyo kwa kina lilifungiwa.
Septemba 2017: Baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi, na gazeti LA mwanahalisi kuendelea kuripoti taarifa hiyo Watawala wamelifungia.
Katika kifungo cha kwanza Mwanahalisi lilishinda kesi.
Ujumbe katika tukio hili ni kwamba Watawala wanaweza kutafsiriwa kuwa nyuma ya matendo haya, kwa aidha kuwaunga mkono wahalifu au Wananufaika na matendo haya.

Kwa hili la MwanaHALISI, serikali inajiumbua. Wakati ule walilifungia lisiandike ya Ulimboka. Sasa ni hili la Lissu! Watu wanajua ukweli.
 
Back
Top Bottom