Mauaji ya Mwangosi, sakata la Ulimboka na MwanaHalisi kulipukia TGNP

Radhia acha ujinga (ready to be banned) na kama huna la kuchangangia mujadara bora ukae kimya. Sio lazima jinga kabisa. Binafsi siwafahau kwa ukaribu akina Ulimboka, Mwangosi. N.k but we can. Just relax. While innocent people wanauawa na kunyanyaswa na wajinga kama wewe kana kwamba nchi haina wazawa, nasema wazawa maana sioni kama tuna serikali na pia najaribu kufikiria kidogo tu kwamba hivi mtu kama Radhiwa akipata mamlaka itakuwaje? Familia yake ikoje? Tumuogope Mungu!

mods tafadhali nakuomba mpige ban huyu jamaa anaetoa matusi hapa kwani pia ameomba mwenyewe.msimuache tafadhali,mtakuwa hamtendi haki hapa jukwaani
 
nchi yenye miaka 50 bado ni changa???.. Radhia sometimes jaribu kuwa Serious kidogo; Japo kidogo tu!.. Hivi Daudi Mwangosi angekuwa Mumeo kakuacha na wale watoto kwa kuuawa kikatili vile ungeongea haya? Unaona kama vile huwezi kukutwa na tatizo kabisa katika maisha yako!.. Angalia usitukane wakunga na uzazi ungalipo.

Radhia bado anaona maisha ni kama maigizo. Mtu wa namna hii hata umpe mifano mia hawezi kuelewa kama mpaka umri aliofikia hawezi kuona hayo uliyoyaadika mkuu. Jibu kamili ni 'practical' tu kwake yeye au kwa mtu wake wa karibu. Sikia kwa watu wengine, omba yasije kukuta dada.
 
Radhia acha hizo na kama huna la kuchangangia mjadala bora ukae kimya. Sio lazima kuchangia kabisa. Binafsi siwafahau kwa ukaribu akina Ulimboka, Mwangosi. N.k but we can. Just relax. While innocent people wanauawa na kunyanyaswa na watu kama wewe kana kwamba nchi haina wazawa, nasema wazawa maana sioni kama tuna serikali na pia najaribu kufikiria kidogo tu kwamba hivi mtu kama Radhia akipata mamlaka itakuwaje? Familia yake ikoje? Tumuogope Mungu!

Nashukuru umeona umuhimu wa ku-edit post yako.
 
Nafikiri kukosa Mume inachangia kukupa FRASTRATION jaribu tena bahati yako unaweza ukaolewa dada na kidogo ukawa una point kidogo we bila hayo maandamano ungefika hapo ulipo?
 
Back
Top Bottom