Mauaji ya Mwangosi, sakata la Ulimboka na MwanaHalisi kulipukia TGNP

Hawana kazi za kufanya tuwakumbushe majukumu yao?? Maana hawawezi kuwa sirazi kwa upuuzi kama huo, pili kwanini ulimboka awakilishwe na mtu??

JIBU: Kazi wanazo na mojawapo ni makongamano ya ndani wengine hua wanaenda ya nje.
haki ya mtu kuwakilishwa ni halali kisheria na kiutendaji wengine huwa hawapendi kuwakilishwa

Wameshamfanya mtaji wa kisiasa?? Alafu inshu iwe kufungiwa gazeti la mwanahalisi kwani gazeti lahabari lilikuwa ni hilo tu mbona yapo raia mwema, tanzania daima, nipashe, mwananchi.

JIBU: kama ulimboka ni mtaji wa kisiasa CCM nao wautumie ili wanufaike. kuhusu magazeti uliyoyataja hayapo kwenye ajenda sababu hayajafungiwa.

Nina uhakika kama sio kongamano la chadema basi litakuwa kongamano la freemansons

JIBU: kama ni chadema itakuwa vizuri maana wanayo haki ya kuhudhuria makongamano na watafikisha ujumbe vizuri kuliko CCM. Freemasons wanaeleweka ni wafuasi toka chama gani maana hata mkuu wao hapa bongo anajulikana ni wa chama gani.

FAHAMU: MKUKI HAOGONGWI KONZI

bla bla bla bla bla bla
FAHAMU: KELELE ZA CHUURA HAZIMZUII PUNDA KUNYWA MAJI
 
tupeni nafasi tupumue,tufanye kazi za kujiletea maendeleo.tumechoka na TIRARIRA zenu kila kukicha
 
Tumechoka maandamano jamani. Hii nchi ni changa sana na inachohitaji ni watu wachapa kazi si watu wakimbia kazi kwa kisingizio cha Mwangosi. Hivi kila mtu akisema aandamane kwa ajili ya Mwangosi tutafika kweli?

Viyoyozi vinakusumbua eti?
 
Hivi hapa nchini mauaji yameanza kwa Mwangosi. Sipingi suala la kongamano ila nahoji kuwa kama taasisi zote hizo zingeanza mshikamano huo mapema yalipoanza mauaji ya Znzbar na Mwmbchai mnadhani jeshi hili lingekuwa bado halijabadilika. Hizi sio statements ni maswali ambayo yeyote anawezakukomment.

nafikiri hapo ndo breaking point kaka, si unajua maumivu yakizidi ndo anaanza daktari...
 
Mwakilishi wa MwanaHalisi, Josta Mwangulumbi... Anasema alitekwa, akateswa....tukaandika, tukachunguza kuwajulisha wananchi
 
Mwakilishi wa MwanaHalisi anasema Waziri alisema kwamba kufungiwa kwa gazeti faili liko juu
 
Hawana kazi za kufanya tuwakumbushe majukumu yao?? Maana hawawezi kuwa sirazi kwa upuuzi kama huo, pili kwanini ulimboka awakilishwe na mtu??

Wameshamfanya mtaji wa kisiasa?? Alafu inshu iwe kufungiwa gazeti la mwanahalisi kwani gazeti lahabari lilikuwa ni hilo tu mbona yapo raia mwema, tanzania daima, nipashe, mwananchi.

Nina uhakika kama sio kongamano la chadema basi litakuwa kongamano la freemansons

ukiskia v2ko ndo hv!...kwa hal hii 2tafka?
 
Kama siyo kazi yao hebu we wakumbushe basi hayo majukumu yao.chadema inakuwasha sana mpaka uihusishe na kila kitu
 
Haaaaaaa haaa.
Ucnichekeshe uchanga wa nchi nini South Afrika na South sudan ndo nchi changa. Sumbua akili.
Adam smith anasema, Changes is unavoidable,if there is no changes no development. All who not accept movement 4 changes has stagnant mind.

Nimeipenda hii mkuu
 
Tumechoka maandamano jamani. Hii nchi ni changa sana na inachohitaji ni watu wachapa kazi si watu wakimbia kazi kwa kisingizio cha Mwangosi. Hivi kila mtu akisema aandamane kwa ajili ya Mwangosi tutafika kweli?

Hapo kwenye red, kuchapa kazi kwa mtindo upi, mtindo wa kifisadi?? Mtindo wa kitu chenye ncha kali, metindo wa mabomu yanayoua! Mwanasha nawe huwa huchoki, kama una mume ana kazi!!!
 
Hawana kazi za kufanya tuwakumbushe majukumu yao?? Maana hawawezi kuwa sirazi kwa upuuzi kama huo, pili kwanini ulimboka awakilishwe na mtu??

Wameshamfanya mtaji wa kisiasa?? Alafu inshu iwe kufungiwa gazeti la mwanahalisi kwani gazeti lahabari lilikuwa ni hilo tu mbona yapo raia mwema, tanzania daima, nipashe, mwananchi.

Nina uhakika kama sio kongamano la chadema basi litakuwa kongamano la freemansons

Aah! Kumbe ni ustadhi nimeona post kuangalia jina ndo wewe. We tushakuzoe mshika pembe wa ccm.
 
Tumechoka maandamano jamani. Hii nchi ni changa sana na inachohitaji ni watu wachapa kazi si watu wakimbia kazi kwa kisingizio cha Mwangosi. Hivi kila mtu akisema aandamane kwa ajili ya Mwangosi tutafika kweli?
Unakatwa na manyau nini?
 
Tumechoka maandamano jamani. Hii nchi ni changa sana na inachohitaji ni watu wachapa kazi si watu wakimbia kazi kwa kisingizio cha Mwangosi. Hivi kila mtu akisema aandamane kwa ajili ya Mwangosi tutafika kweli?

Mkuu "Radhia Sweety", hivi unakijua kiswahili vizuri? Huwezi kutofautisha kati ya maandamano na kongamano!!???
Uchanga wa nchi unaupimaje?
Tz, zee zima lenye miaka hamsini na moja tangu lizaliwe unaliita nchi changa? Na Sudani kusini je, utaiitaje?
 
Back
Top Bottom