Kuna mganga wa kienyeji ameuawa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambaz lakin cha kushangaza hawajachukua chochote zaid ya kukatisha maisha yake. Source Radio wapo Fm
Anaitwa kimwaga ana wake sita ni maarufu sana mitaa ya msata, inasemekana ni dhuluma alikula pesa ndefu ya mteja halafu ishu ikafeli, mteja alipomrudia akamchimba bit kuwa akiendelea kumfuatilia atamroga