Mauaji ya Mganga wa kienyeji Msata ni kulipiza kisasi au dhuruma

minze manonu

Member
Nov 27, 2013
50
16
Kuna mganga wa kienyeji ameuawa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambaz lakin cha kushangaza hawajachukua chochote zaid ya kukatisha maisha yake. Source Radio wapo Fm
 
ngoja wauwawe wapungue. hawa washenzy wanawatapeli sana wateja wao.
 
itakuwa aliwapa dawa ya uongo wakaibe alafu mwenzao akadakwa na kuuliwa...safi sana dawa ya moto ni moto

#kunjani kuti
 
Anaitwa kimwaga ana wake sita ni maarufu sana mitaa ya msata, inasemekana ni dhuluma alikula pesa ndefu ya mteja halafu ishu ikafeli, mteja alipomrudia akamchimba bit kuwa akiendelea kumfuatilia atamroga
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom