minze manonu
Member
- Nov 27, 2013
- 50
- 16
Kuna mganga wa kienyeji ameuawa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambaz lakin cha kushangaza hawajachukua chochote zaid ya kukatisha maisha yake. Source Radio wapo Fm
Usiseme hivyo...coz wengi wao pia hupata nafuu kupitia kwaongoja wauwawe wapungue. hawa washenzy wanawatapeli sana wateja wao.
Usiseme hivyo...coz wengi wao pia hupata nafuu kupitia kwao
Usiseme hivyo...coz wengi wao pia hupata nafuu kupitia kwao