Mauaji ya Kisiasa Zanzibar

nakubali mimi nina udini , yaelekea wewe hujasoma thread ya hao wanaotaka kumfanya nyerere saint kwani sikuona mchango wako au kufanywa nyerere saint sio udini

samahani ikiwa nimekugusa pabaya

i dont see the connection of this and Nyerere to be saint...
 
natasha umemwuliza huyu bwana swali zuri sana,lakini kwa vile akili zake ndo hivyo tena jibu utakalojibiwa ni tofauti na ulivyouliza.amekaa kishari shari sana.



utaniita kila jina na kunipachika sifa kem kem .

Sina akili , mdini , mshari sana, nk,............

Nimewapa ukweli wa matendo ya huyo mnaye mwabudu saint nyerere kwani kwenu nyinyi hata muambiwe kitu gani hamwezi mkaelewa kwani amewalewesha vibaya sana
 
Gavana,islam mwenzake islam.Mimi ni hajjat NIKONVISI kuwa huna tatizo la kiakili. Hapa kuna great thinkers unatoa hoja isoendana na heading kaka sio lazima uandike hata kama hujui cha kuandika.
 
utaniita kila jina na kunipachika sifa kem kem .

Sina akili , mdini , mshari sana, nk,............

Nimewapa ukweli wa matendo ya huyo mnaye mwabudu saint nyerere kwani kwenu nyinyi hata muambiwe kitu gani hamwezi mkaelewa kwani amewalewesha vibaya sana

For ur info hapa hakuna ambae unaweza kumpa ukweli,yaani kwa thread hii umedhihirisha umbu-mbumbu wako,siku zote watu walikuwa wakisema wewe ni mtu ambae unapenda kuharibu mada,mtokwa mapovu ovyo,nilikuwa nahisi wanakusingizia sasa leo nimeprove kwamba wewe ni hopeless people,nadhani unahitaji ushauri zaidi maana nina wasi wasi sana na akili zako.

hivi wewe mwenyewe kwa upeo wako mdogo uliokua nao wa kuelewa mambo,ukiangalia kilichopo kwenye thread yako kinaendana na kichwa cha habari ulichoweka?

Nikakwambia hivi kama ulikua unataka kuanzisha thread imhusuyo Nyerere ungeanzisha.

Kingine uliweka hiyo thread ili uanze kashfa? kama lengo lako lilikua ni kashfa ungeanzisha thread nyingine ukashifu ukichoka ukae kimya,sio unaleta mambo ya ajabu, narudia tena kawambie hao waliokutuma wamekosea njia.
 
for ur info hapa hakuna ambae unaweza kumpa ukweli,yaani kwa thread hii umedhihirisha umbu-mbumbu wako,siku zote watu walikuwa wakisema wewe ni mtu ambae unapenda kuharibu mada,mtokwa mapovu ovyo,nilikuwa nahisi wanakusingizia sasa leo nimeprove kwamba wewe ni hopeless people,nadhani unahitaji ushauri zaidi maana nina wasi wasi sana na akili zako.

Hivi wewe mwenyewe kwa upeo wako mdogo uliokua nao wa kuelewa mambo,ukiangalia kilichopo kwenye thread yako kinaendana na kichwa cha habari ulichoweka?

Nikakwambia hivi kama ulikua unataka kuanzisha thread imhusuyo nyerere ungeanzisha.

Kingine uliweka hiyo thread ili uanze kashfa? Kama lengo lako lilikua ni kashfa ungeanzisha thread nyingine ukashifu ukichoka ukae kimya,sio unaleta mambo ya ajabu, narudia tena kawambie hao waliokutuma wamekosea njia.

nakushukuru kwa sifa zote ulizonipa mimi sina akili , mpumbavu nmdini, mtu wa shari sana yote nimeyakubali kwani naelewa nitapewa sifa zaidi ya hizo kwa kuyaweka wazi matendo ya askari ambao ni matunda ya serikali zilizopata baraka ya father au saint to be

wewe kama unaona kashifa kuandikwa nyerere na sio kashifa kuuliwa watu na kunajisiwa akina dada ,mh......hhhh nakupa hongera
 
Gavana,
Kwa hiyo kinachokusumbua wewe ni ule "u saint to be " wa Nyerere, au sio?
 
This guy needs to undergo psychiatric evaluation to determine his mental state... He must be sick in the head!
 
utaniita kila jina na kunipachika sifa kem kem .

I think you should do all of us a favor and call yourself Mister Gayvagina given all the Muslim/Islamic crap you are so used to serving us all the time...now, isn't that simply craptastic!
 
nakubali mimi nina udini , yaelekea wewe hujasoma thread ya hao wanaotaka kumfanya nyerere saint kwani sikuona mchango wako au kufanywa nyerere saint sio udini

samahani ikiwa nimekugusa pabaya

nimesoma lakini kichwa cha habari hakiendani na habari yenyewe, ina maana siku hizi zanzibar inaitwa st. nyerere, shida yako ilikuwa ni kuleta udini ndio wewe ni mdini kumbe unajijua.
 
Hakika yooooote yaliyotokea Zanzibar mwaka 1995 yaliasisiwa na Nyerere na aliyabariki kwa nguvu zake zote za kiimani na hata nguvu zake za giza kupitia kifimbo chake kile.
 
Kama kisa hiki ni cha kweli kinasikitisha, waathirika poleni. Ila kwa vile umelazimisha kumwingiza Nyerere na ukristo wake watu wanchelea hata kutoa pole.



Tunaanzia nyumbani kwa mjane Bi Mwajuma Omari.

Umeanzia nyumbani kwa mjane, akaishia wapi manake umeelezea kisa hiki tu.

Mungu ambaye hapokei rushwa atamhukumu Mkapa na serikali yake ya mabavu ambayo inawatendea wananchi wasio na hatia madhambi ya jinsi hii."

Askari ni wa serikali ya Mkapa, wamekuaje askari wa Nyerere aliemaliza kipindi chake miaka kumi kabla ya Mkapa?

 
Kwa hakika gavana akili zako ziko tenge kidogo, ndo kazi ya madrasa yenyewe hii.
Mods please delete this thread or change the title.
 
I think you should do all of us a favor and call yourself Mister Gayvagina given all the Muslim/Islamic crap you are so used to serving us all the time...now, isn't that simply craptastic!
Wewe ni mtu intelligent mwenye IQ ya paka na kuvaa ngozi ya binaadam na miwani ya toy ya watoto.

Kifupi ni kiumbe usiyeweza kujibu hoja na baada yake ukapewa uwezo wa juu kabisa wa ubunifu wa maneno ya kejeli yanayoashiria sura yako.
 
nakubali mimi nina udini , yaelekea wewe hujasoma thread ya hao wanaotaka kumfanya nyerere saint kwani sikuona mchango wako au kufanywa nyerere saint sio udini

samahani ikiwa nimekugusa pabaya

Mkuu with all due respect.....Wakatoliki kumfanya Nyerere saint ni udini kivipi? Si ni kitu ya dini yao? Ni sawa sawa na mtu aseme kumfaya Sheikh Simba mufti ni udini wakati it's obvious mtu wa nje ya dini hiyo hawezi kupewa nafasi hiyo.
 
Gavana katika karibia kila post una refer kwa njia moja ama nyingine Nyerere kupewa usaint. It makes me wonder kama tatizo lako ni lipi haswa. Kama tatizo ni Nyerere kupewa utakatifu be straight forward tujuw moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom