Mauaji ya Kisiasa Zanzibar

Gavana katika karibia kila post una refer kwa njia moja ama nyingine Nyerere kupewa usaint. It makes me wonder kama tatizo lako ni lipi haswa. Kama tatizo ni Nyerere kupewa utakatifu be straight forward tujuw moja.

Nyerere kupewa U-Saint labda ni kwa mazuri alioyafanya,( KAMA KUNA ZURI ALIOFANYA) lakini haina maana asisemwe kwa mabaya ya ki-nyama alioyafanya. AS what you call him "Baba wa taifa" na ndio muasis wa chama cha CCM basi kila aliekuja / anaekuja kukamata U-raisi especcially alipokua hai then he is accounted for. Nyerere alijua kua 1995 ccm ilishindwa vibaya Znz na ni yeye ndie alieamrisha kua itangazwe ccm imeshinda. Nyerere amekaa madarakani mpaka ameshindwa kuendeleza TZ kimaendeleo, lakini hakuruhusu multy party. Musiseme kua Gavana analeta udini kwa kumsema Nyerere na U-sant wa kupachikwa, nini cha maana kafanya hata kupewa huo U-saint?
Kaimeza Znz kwa kufikiri na kutumwa na Vatican kwa kujaribu ku-control Uislam, lakini wapi wameshindwa Europe kuzuia Uislam usiendelee wameshindwa. Yaliotokea Znz na Pemba na yanayoendelea kutokea mabaya yote ni matunda yaliowachwa na Nyerere na Inshaallaah kila baya lifanyikalo basi yatamfika huko aliko. Mkimchukia Gavana mnichukie na mimi lakini huo ni UKWELI usiofichika na nafikiri nyote mliokua against the motion basi ni watoto wadogo mliozaliwa baada ya Dhulma za huyo Saint wenu NERERE. Aliwaweka bara na Ushamba hata Tv kawazuia musione lakini yeye anatizama butiama.
 
Habari ni za kusikitisha sana, lakini watoa hoja wote wamejikita katika usaint wa Nyerere kuliko unyama wa Mkapa wa kuua watu bila huruma.

Huyu Rais kwewli Mungu atamlaani. Tena atapata laana kubwa sana. Na ninahakika hukoaliko hana raha.

Wewew umesoma seminari, eti hayo ndio maadili uliyopata ya kuua wananchi wako. Huyu si binaadam, ni shetani kabusa.

Na wote wanaomuunga mkono ni mashetani. Hata wale waliompendekeza kuwa Raisi ni mashetani.

Malaika ni wale waliokazana kwa nguvu zote kumtupilia mbali yule aliyempendekeza (Sumaye) na wapambe wake.
 
ama kweli vijana mmenyeshwa maji ya bendera na damu ya yesuuuu?????

Hivi huelewi kuwa 1995 aliyekwenda zanzibar kumweka salmini amuri ni nani?????

Hii ccm iliundwa na nani?????

Mkapa aliwekwa na nani?????

Hili jeshi aliyeliunda na kuliimarisha ni nani?????

Biblia inasema by their fruits you will recognise them

haya ndiyo matunda yaliyopandwa na saint au baba au father nyerere ndiyo tunayashuhudia

Boko Haram
 
Nyerere kupewa U-Saint labda ni kwa mazuri alioyafanya,( KAMA KUNA ZURI ALIOFANYA) lakini haina maana asisemwe kwa mabaya ya ki-nyama alioyafanya. AS what you call him "Baba wa taifa" na ndio muasis wa chama cha CCM basi kila aliekuja / anaekuja kukamata U-raisi especcially alipokua hai then he is accounted for. Nyerere alijua kua 1995 ccm ilishindwa vibaya Znz na ni yeye ndie alieamrisha kua itangazwe ccm imeshinda. Nyerere amekaa madarakani mpaka ameshindwa kuendeleza TZ kimaendeleo, lakini hakuruhusu multy party. Musiseme kua Gavana analeta udini kwa kumsema Nyerere na U-sant wa kupachikwa, nini cha maana kafanya hata kupewa huo U-saint?
Kaimeza Znz kwa kufikiri na kutumwa na Vatican kwa kujaribu ku-control Uislam, lakini wapi wameshindwa Europe kuzuia Uislam usiendelee wameshindwa. Yaliotokea Znz na Pemba na yanayoendelea kutokea mabaya yote ni matunda yaliowachwa na Nyerere na Inshaallaah kila baya lifanyikalo basi yatamfika huko aliko. Mkimchukia Gavana mnichukie na mimi lakini huo ni UKWELI usiofichika na nafikiri nyote mliokua against the motion basi ni watoto wadogo mliozaliwa baada ya Dhulma za huyo Saint wenu NERERE. Aliwaweka bara na Ushamba hata Tv kawazuia musione lakini yeye anatizama butiama.

Mkuu Nyerere is not my saint and I personally don't agree with any one being given sainthood by fellow human beings. What I am saying is that the issue of sainthood is for the Catholics themselves to decide. Atakuwa saint wa Wakatoliki kwa hiyo that does not affect me or you. Ni sawa sawa na Osama. Kuna wanaomuita "Sheikh" wakati I would never call a person like him a sheikh unless the word has another meaning. Ila wapo wanaomuona kama sheikh na mimi siwezi kuwa kataza.

Kuhusu Europe sijui kuzuia uislam wangetaka kuzuia they would have done so. Maana it is a matter of policy. Mfano kutoa uraia. Do you know mtu kunyimwa uraia wa nchi nyingine hauhitaji kutoa maelezo yoyote? Kwa maana hiyo wangeamua kuto kuwapa uraia waislamu they could have done so and there is nothing anyone could have done about it. Do you also know that they could have enforced policies which could have promoted only one religion? Haya now tell me in Arab countries what population of it's citizens are non Muslims? Tell me why is it that is Saudi Arabia one can not even construct a church there? Na hapo tuseme wana jaribu kuzuia Ukristo?

Kuhusu kumchukia gavana mimi simchukii na sijui kwa nini unataka nikuchukie na wewe. What use is it or me to hate you or gavana? Au unataka muchukiwe ili mseme it's something personal? Mimi sikuchukii wewe wala gavana na wala sina muda wa kupoteza kuwachukia. As for your accusations against Nyerere ata juana yeye na Mungu wake.
 
Braza countries like Lebanon is a Arab country and they are 50-50 Muslim and Christian, There are Mosques and Churches every corner and people live together. Huo ni mfano mmoja wa nchi ya kiarabu , sasa nenda Egypt, Syria, Jordan na Morrocco na Iran uangalie ratio ya religious, infact Morroco there are about 500,000 Morrocons Jews and they are not stopped to practice their religion. Coming to Saudi Arabia, There is not a single Saudi Christian, so what is the meaning of building a church there? Kuhusu kuzuia kutoa Uraia Europe kwa Waislam, kwani waislam wote Europe ni non-european? kwani hujui kua kuna wazaliwa european waislam? na ni waislam kabla hata kuanza mambo ya Refugees.
Kwa kumalizia kwangu ni " Nyerere hakua na uchungu wa Tz kwani alipachikwa tu kua Raisi kwa maslaha ya Vatican kwani hata hayumo katika waliopigania uhuru wa Tanganyika na huwezi hata kum-compare na Kenyatta."
 
Swala la kisiasa mnageuza la kidini. mna chekesha hata hatutoki msemo wa pinda
 
Nyerere kupewa U-Saint labda ni kwa mazuri alioyafanya,( KAMA KUNA ZURI ALIOFANYA) lakini haina maana asisemwe kwa mabaya ya ki-nyama alioyafanya. AS what you call him "Baba wa taifa" na ndio muasis wa chama cha CCM basi kila aliekuja / anaekuja kukamata U-raisi especcially alipokua hai then he is accounted for. Nyerere alijua kua 1995 ccm ilishindwa vibaya Znz na ni yeye ndie alieamrisha kua itangazwe ccm imeshinda. Nyerere amekaa madarakani mpaka ameshindwa kuendeleza TZ kimaendeleo, lakini hakuruhusu multy party. Musiseme kua Gavana analeta udini kwa kumsema Nyerere na U-sant wa kupachikwa, nini cha maana kafanya hata kupewa huo U-saint?
Kaimeza Znz kwa kufikiri na kutumwa na Vatican kwa kujaribu ku-control Uislam, lakini wapi wameshindwa Europe kuzuia Uislam usiendelee wameshindwa. Yaliotokea Znz na Pemba na yanayoendelea kutokea mabaya yote ni matunda yaliowachwa na Nyerere na Inshaallaah kila baya lifanyikalo basi yatamfika huko aliko. Mkimchukia Gavana mnichukie na mimi lakini huo ni UKWELI usiofichika na nafikiri nyote mliokua against the motion basi ni watoto wadogo mliozaliwa baada ya Dhulma za huyo Saint wenu NERERE. Aliwaweka bara na Ushamba hata Tv kawazuia musione lakini yeye anatizama butiama.

Wewe huna tofauti na Gavana, hivi unaelewa concept nzima ya SAINTHOOD? au basi tu kulijaza jamvi upupu ndo unaona dili?
 
Braza countries like Lebanon is a Arab country and they are 50-50 Muslim and Christian, There are Mosques and Churches every corner and people live together. Huo ni mfano mmoja wa nchi ya kiarabu , sasa nenda Egypt, Syria, Jordan na Morrocco na Iran uangalie ratio ya religious, infact Morroco there are about 500,000 Morrocons Jews and they are not stopped to practice their religion. Coming to Saudi Arabia, There is not a single Saudi Christian, so what is the meaning of building a church there? Kuhusu kuzuia kutoa Uraia Europe kwa Waislam, kwani waislam wote Europe ni non-european? kwani hujui kua kuna wazaliwa european waislam? na ni waislam kabla hata kuanza mambo ya Refugees.
Kwa kumalizia kwangu ni " Nyerere hakua na uchungu wa Tz kwani alipachikwa tu kua Raisi kwa maslaha ya Vatican kwani hata hayumo katika waliopigania uhuru wa Tanganyika na huwezi hata kum-compare na Kenyatta."

Nenda Misri kule uone wakristu wa kule wanavyoishi kama swala kwenye msitu wenye simba wengi, achilia mbali kuwa Ukristu kule ulianza kitambo sana kabla ya Usilamu.

Halafu unakubali kuwa misikiti isijengwe Saudia ..hivi una akili kweli wewe? Unajua kuna wasaudia wangapi wakristu au wangependa kuingia Ukristu? Unajua kuwa kuna miji Saudia asiye Muislam haruhusiwi kukanyaga? Hapo wewe unaona sawa si ndio? Ila ninyi mnaosapoti huu ubaguzi mnadai haki ya kujenga misikiti popote sio ndio akili zenu za kinyumenyume zinavyowatuma?
 
Mimi nafikiri unajisemea tu kama uliokunywa vya kulewesha. Natumai kwa elimu yako ndogo unamfahamu Boutros Boutrous Ghali aliekua secretary General wa UN kua alikua ni Mmasri na ni Mkristo. Jee alikua Muislam kwanza na baadae kupata cheo ndio akabadili ?For your information nchi zote niliokutajia in my previous post wananchi wake wanapewa equal rights no matter what faith they are.
Braza umeniquote wrong kua nimesema misikiti isijengwe Saudia, Misikiti itaendelea kujengwa Saudia mpaka kiama. Sikuona sababu ya kujengwa Kanisa Saudia kwani HAKUNA Msuudi mkristo, hiyo narudia kusema kwa hiyo hakuna shida ya kujengwa.
Najua kua kuna miji Saudia haruhusiwi mtu asiekua muislam kuingia kwani wewe ikiwa si muislam unaenda kufanya nini huko? ile ni nchi yao wanaweza kuweka kanuni wanozotaka, hukupendekezewa basi usiende huko. kwani wewe ikiwa hujabahatika kua Muislam unaweza kuingia kwenye msikiti wa waislamu ? wakati msikiti huo uko katika Tz ?
For your information in Saudi Arabia ni Mecca and Madina ndio pahala patakatifu na dini zote wamekubali hivyo.
Waislam wanapodai kujenga misikiti ni kwa ajili ya ibada yao, na hawalazimishi mtu kuingia kwenye dini au misikiti yao. kwa hivyo ikiwa nchi ina wananchi waislam basi ni haki yao la ikiwa hao waislam ni wageni tu na nchi si ya ki-islam basi huwa wanaomba serikalini na wananunua kiwanja.
 
MODS tunashukuru sana kwa kazi yenu nzuri ya kubadilisha title ya hii thread. Sasa twaweza kuendela kuchangia vizuri mada.
Binafsi habari hii inasikitisha sana maana askari wetu hufanya unyama ulio nje ya kile wanachotumwa kwenda kufanya. Kitendo chao cha kumpiga risasi huyo baba na kubaka watoto wake ni unyama usiokubalika katika jamii.

Rafiki yangu mmoja aliwahi kuniambia kuwa siku moja alikuwa anaongea na askari mmoja wa FFU, huyu askari akawa anamwambia kuwa wanapokuwa kwenye operesheni fulani huwapiga wahusika na wasio wahusika huku wakiwasachi mifukoni. Kwa maana hiyo kama una pesa au vitu vya thamani kama simu etc wanaondoka navyo.

Sehemu mbalimbali ambako majeshi yamepelekwa kulinda amani, askari hawa hutenda mambo mengi kinyume na maadili ikiwemo ubakaji wa wanawake. It is so sad and may GOD forbid.
 
Habari ni za kusikitisha sana, lakini watoa hoja wote wamejikita katika usaint wa Nyerere kuliko unyama wa Mkapa wa kuua watu bila huruma.

Huyu Rais kwewli Mungu atamlaani. Tena atapata laana kubwa sana. Na ninahakika hukoaliko hana raha.

Wewew umesoma seminari, eti hayo ndio maadili uliyopata ya kuua wananchi wako. Huyu si binaadam, ni shetani kabusa.

Na wote wanaomuunga mkono ni mashetani. Hata wale waliompendekeza kuwa Raisi ni mashetani.

Malaika ni wale waliokazana kwa nguvu zote kumtupilia mbali yule aliyempendekeza (Sumaye) na wapambe wake.

Dada Zawadi calm down. Mara nyingi michango yako huwa katika lugha nzuri lakini naona hapa leo umechemka kweli kweli, kwanini? Sisi Wakristo BWANA YESU anatwambia "........wapendeni adui zenu...." (Mathayo 5:43-44). Pia mtumishi wa MUNGU mtume Paulo anasema "Ushindeni ubaya kwa mema wala msilipize kisasi maana kisasi ni cha MUNGU peke yake (Warumi 12:19-21), "wabarikini wanaowaudhi, barikini wala msilaani" (warumi 12:14).
 
Braza countries like Lebanon is a Arab country and they are 50-50 Muslim and Christian, There are Mosques and Churches every corner and people live together. Huo ni mfano mmoja wa nchi ya kiarabu , sasa nenda Egypt, Syria, Jordan na Morrocco na Iran uangalie ratio ya religious, infact Morroco there are about 500,000 Morrocons Jews and they are not stopped to practice their religion. Coming to Saudi Arabia, There is not a single Saudi Christian, so what is the meaning of building a church there? Kuhusu kuzuia kutoa Uraia Europe kwa Waislam, kwani waislam wote Europe ni non-european? kwani hujui kua kuna wazaliwa european waislam? na ni waislam kabla hata kuanza mambo ya Refugees.
Kwa kumalizia kwangu ni " Nyerere hakua na uchungu wa Tz kwani alipachikwa tu kua Raisi kwa maslaha ya Vatican kwani hata hayumo katika waliopigania uhuru wa Tanganyika na huwezi hata kum-compare na Kenyatta."

Mkuu ngoja nikujibu ifuatavyo.

1.Nilisha jibu kwenye post yangu iliyo pita kuwa yes kuna European wazawa ambao ni waislamu. Tena wapo either kwa kuzaliwa au kwa kubadilisha jibu kwa hiari yao. Ninacho sema mimi ni kwamba nchi za Ulaya zingeamua kuweka policies zinazo kwamisha kuenea kwa Uislamu wangeweza. Na wangeweza kufanya hivi wakati population ya waislamu ni ndogo na hamna ambae angeweza kupiga kelele.

2.Saudi Arabia una uhakika hamna Wakristo mkuu? Na hata kama hakuna Wakristo hauoni kuto kuruhusu Makanisa kujengwa ni policy ambayo ina kwamisha kuenea kwa Ukristo? Kama makanisa hayawezi kujengwa kabisa hata watu wakiamua kusambaza Ukristo wata fanyaje? Haya basi nitajie nchi ambayo haina Waislamu ambayo imeweka policy ya kuto kuruhusu misikiti isi jengwe.

3.Mkuu nakuomba ufanye karesearch kado tu. Kwenye nchi za Europe kuna waislamu wangapi na kwenye nchi za kiarabu kuna wakristo wangapi. Then tuone eneo lipi lina ruhusu more freedom of religion.

4.Mbona kuhusu Nyerere mna jikanyaga? Wengine mnasema aliwekwa na wazee wa kiislamu waliyo "mfundisha" kuvaa suruali wewe unasema kawekwa kwa ajili ya maslahi ya Vatican. Sasa nani kamuweka kwa ajili ya maslahi ya Vatican? Hata ukiangalia nchi zilizo tutawala ambazo zingeweza kupachika kiongozi hazikua za kikatoliki. Sasa ni nani alimpachika kwa maslahi ya Vatican? Please mention them.
 
Mkuu ngoja nikujibu ifuatavyo.

1.Nilisha jibu kwenye post yangu iliyo pita kuwa yes kuna European wazawa ambao ni waislamu. Tena wapo either kwa kuzaliwa au kwa kubadilisha jibu kwa hiari yao. Ninacho sema mimi ni kwamba nchi za Ulaya zingeamua kuweka policies zinazo kwamisha kuenea kwa Uislamu wangeweza. Na wangeweza kufanya hivi wakati population ya waislamu ni ndogo na hamna ambae angeweza kupiga kelele.

Sasa hii ni sawa na saudia kua hamna kabisa wakristo vipi wajenge makanisa. wameshiba dini yao walioichagua na wanaijua vizuri dini ya kikristo ndio maana hawaikaribishi.

2.Saudi Arabia una uhakika hamna Wakristo mkuu? Na hata kama hakuna Wakristo hauoni kuto kuruhusu Makanisa kujengwa ni policy ambayo ina kwamisha kuenea kwa Ukristo? Kama makanisa hayawezi kujengwa kabisa hata watu wakiamua kusambaza Ukristo wata fanyaje?
Nina 100% kua hakuna Msuudi national Mkristo, na wala hawana haja ya kuenezewa Ukristo kwani hii si dini ya Nabii Issa na wala hajawahi kusema kua yeye ni Mkristo.

Haya basi nitajie nchi ambayo haina Waislamu ambayo imeweka policy ya kuto kuruhusu misikiti isi jengwe.
Vatican, Kwani hata Pope anasali sala ya kiISLAM KWA UFICHO. Kwani hujui hilo wewe?

3.Mkuu nakuomba ufanye karesearch kado tu. Kwenye nchi za Europe kuna waislamu wangapi na kwenye nchi za kiarabu kuna wakristo wangapi. Then tuone eneo lipi lina ruhusu more freedom of religion.
Kwa nini Europe, Nimekutajia Lebanon, Egypt, Syria, Jordan na Morrocco. Makanisa yamejaa na hata baadhi ya nchi hizi Sunday ndio weekend/holiday

4.Mbona kuhusu Nyerere mna jikanyaga? Wengine mnasema aliwekwa na wazee wa kiislamu waliyo "mfundisha" kuvaa suruali wewe unasema kawekwa kwa ajili ya maslahi ya Vatican. Sasa nani kamuweka kwa ajili ya maslahi ya Vatican? Hata ukiangalia nchi zilizo tutawala ambazo zingeweza kupachika kiongozi hazikua za kikatoliki. Sasa ni nani alimpachika kwa maslahi ya Vatican? Please mention them.

Nyerere aliwekwa na waislam kua Prime Minister only wakati wa uhuru, lakini alipokubali kutumikia kanisa na kuimeza Znz ndio waka(Vat) mpa uraisi usio na mwisho.

One thing you should know is I know what I'm talking about.
 
Kama kisa hiki ni cha kweli kinasikitisha, waathirika poleni. Ila kwa vile umelazimisha kumwingiza Nyerere na ukristo wake watu wanchelea hata kutoa pole.

Umeanzia nyumbani kwa mjane, akaishia wapi manake umeelezea kisa hiki tu.

Askari ni wa serikali ya Mkapa, wamekuaje askari wa Nyerere aliemaliza kipindi chake miaka kumi kabla ya Mkapa?

MKAPA alipandikizwa na nyerere na ndio kiini cha matatizo yote haya.

Nyerere NDIYE MZIZI WA MATATIZO YOTE KULE ZANZIBAR.

BAADA YA SALMINI AMURI KUPATA KURA ZA CHINI YA 1 PERCENT KATIKA UCHAGUZI WA 1995,

NYERERE ALIKWENDA ZANZIBAR NA KUBADILISHA MATOKEO KWA KUWATUMIA HAWA ASKARI WAUWAJI .

NYERERE HAKUIWACHIA DEMOKRASIA
KUFUATA MKONDO WAKE,

HUYU NDIYE MNAFIKI NA KIINI CHA MAUWAJI NA MIZIZI YA MTI HUU ALIOPANDA NYERERE NDIO INAITAFUNA ZANZIBAR NA TANGANYIKA MPAKA HII LEO
 
Natamani siku moja askari wa CCM wafanye kama walivyofanya kule Zanzibar, labda wenzetu huko mta-feel, kile tunacho feel, kupoteza ndugu zetu kwa sbabu chama cha makatili CCM, kiendelee kutawala kimabavu,zanzibar, ipo siku yao, hakuna refu lisilokuwa na mwisho kama ukoministi na ukoloni vimeondoka, nini CCM?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom