Mauaji Ya Kisasi Yaanzishwa Marekani

wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
2,932
4,541
Jumamosi Jioni Police Wawili Wa Kizungu Ktk Jiji La New York Wameuawa Kwa Kupigwa Risasi Na Kijana Mmarekani Mweusi Ambaye Mara Baada Ya Mauaji Alikimbia Na Kwenda Mafichoni Ambako Ametoa Taarifa Kuwa Alifanya Mauaji Hayo Kama Njia Ya Kulipa Kisasi Dhidi Ya Mauaji Ya Mmarekani Mweusi Eric Garner Aliyeuawa Na Police Mzungu Kwa Kukabwa Shingo Hadi Kufa Bila Huruma Pamoja Na Kulalamika Kote Kuwa Alikuwa Hawezi Kupumua Lakini Bado Muuaji Wake Alimkaba Hadi Akamuua,ajabu Jopo La Majaji Lilimuachia Huru Police Muuaji Yule Likidai Hana Hatia,tukio Hilo Lilitokea Wiki Chache Mara Baada Ya Tukio La Ferguson Ambako Pia Kijana Michael Brown Alipigwa Risasi 12 Na Police Mzungu Na Kisha Tena Police Huyo Kuachiwa Huru,muuaji Wa New York Akiwa Mafichoni Ambako FBI Wanamtafuta Kwa Udi Na Uvumba Amedai Mauaji Ya Wale Police Wawili Ni Mwanzo,mauaji Zaidi Yatafuata,wao Wameua Mmoja Sisi Tutakuwa Tunaua Wawili Wawili Ili Wakome Kutunyanyasa,na Kamwe Hawatatuweza Sisi Maana Kundi Letu Ni Kubwa Sana,mwisho Wa Kumnukuu.
 
B5WvqAwCcAA3eRH.jpg

Ismaaiyl Abdul Brinsley

B5WvqAwCEAIQo_h.jpg

Polisi waliouwawa

copshot.jpg

Muuaji baada ya kujipiga risasi

1. Polisi mmoja ni mzungu na mwingine ni mchina mwenye uraia wa Marekani ambae alizaliwa Marekani.

2. Alifenya mauaji hakutoa tamko lolote, yeye mwenyewe alijiua baada ya kufanya mauaji so maelezo yako si kweli. Alifanya kitendo kinachoitwa "Spree Killing ".. Spree Killer ni muuaji anayefanya mauaji ya zaidi ya mtu mhoja katika location mbili tofauti ndani ya siku moja. Alianza kwa kumpiga risasi ya tumbo mpenzi wake, katika eneo la Blatimore kisha akasafiri hadi Brooklyn na kufanya mauaji ya polisi hao wawili waliokuwa kwenye doria. ( HABARI NJEMA NI KWAMBA, MPENZI WAKE HAJAFA NA KUNA UWEZEKANO MKUBWA SANA ATAPONA )

3. Kuweka facts sawa, mauaji ya juzi yanahusishwa na kulipa kisasi kwa sababu muuaji kwa jina Ismaaiyl Abdul Brinsley (28) alikuwa memba wa genge la uhalifu lijulikanalo kama " Black Guerilla Family Gang" ambalo limeapa ku avenge vifo vya Eric Garner na Mike Brown.

Kuna siku niliwahi kumwambia EMT kwamba njia bora kwa binamu zetu kupambana na utawala wa kidhalimu wa kizungu ni through armed struggle. They kill one black man, you kill ten white men.

1. "The only solution for black people problems in the US is to exterminate all white people in the us"....Dr. Kamau Kambon
2. "If You find any good white people, kill them first before they turn bad " Malcolm X
 
marekani kuna silaha nyingi sana uraiani ambazo zipo kiholela sana mfano hakuna masharti magumu kama bongo katika umilikaji wa silaha....
 
Kuna siku niliwahi kumwambia EMT kwamba njia bora kwa binamu zetu kupambana na utawala wa kidhalimu wa kizungu ni through armed struggle. They kill one black man, you kill ten white men.

Kati ya hao aliowapiga risasi wazungu ni wangapi? Naambiwa polisi mmoja alikuwa Mchina.

Pia naambiwa kabla ya hapo alimpiga risasi ex-girlfriend wake Shaneka Thompson nyumbani kwake Maryland.

Huyu ex-girlfriend siyo mzungu bali mi mweuzi kama yeye, wewe na mimi.

Kwa maana nyingine alitaka ku-extinguish race tatu hapo, ikiwemo race yake au alikuwa na lengo lingine?

They killed one black man, but he killed one white man, one Chinese man, himself as a black man and attempted to kill one black woman.

Lakini tunaambiwa kuwa jamaa alikuwa na historia ya fujo na mental instability.

Whether ni kweli au ni cover up sijui, lakini I can't see how "They kill one black man, you kill ten white men" applies to this incident.

Labda useme target yake ilikuwa ni kuua polisi yoyote regardless of their race.

In fact kabla ya hilo tukio jamaa alikuwa anapost kwenye Instagram messages ambazo ni anti-police and anti-government kuhusiana na vifo vya Brown na Garner.
 
Kati ya hao aliowapiga risasi wazungu ni wangapi? Naambiwa polisi mmoja alikuwa Mchina.

Hakuna mzungu aliyeuliwa na huyo jamaa.

Officer Rafael Ramos siyo mzungu. Ni Mlatino mwenye asili ya Puerto Rico.

Watu wenye asili ya Puerto Rico wapo wengi NY.

Tatizo watu hawajui vizuri demographics za NY.

Muone auntie wa huyo officer akitoa tamko jana.

Huyo dada ni mzungu kweli?

Last edited by a moderator:
B5WvqAwCcAA3eRH.jpg

Ismaaiyl Abdul Brinsley

B5WvqAwCEAIQo_h.jpg

Polisi waliouwawa

copshot.jpg

Muuaji baada ya kujipiga risasi

1. Polisi mmoja ni mzungu na mwingine ni mchina mwenye uraia wa Marekani ambae alizaliwa Marekani.

Hapana, officer Rafael Ramos siyo mzungu. Ni Mlatino mwenye asili ya Puerto Rico.

Na kwa muonekano wake inaelekea kachanganya damu. Lakini siyo mzungu as in caucasian.

[/SIZE]

Naomba nichangie ili tuweze kueleweshana, nianze kwa swali na kulijibu mwenyewe, Mmarekani ni nani? Mmarekani ni mtu yeyote bila kujali rangi ambaye ana uraia halali wa kuishi Marekani, hamna race ambayo inafahamika kwamba ni ya Kimarekani, ndani ya Marekani kuna wamarekani weusi kwa rangi, kuna kila race ya kila taifa nchini Marekani na wote hao wanajiita Wamarekani, wapo wahindi, wachina, wajapani, wakorea, Waingereza, waitaliano, waarabu na wengineo wengi na hao wote kama wana uraia halali wanatambulikana kama wamarekani, kutokana na maelezo haya nasema waliouawa kwa kupigwa risasi wote ni wamarekani, nakuja kwenye hoja ya kulipiza kisasi binafsi sioni ulipizaji wowote wa kisasi kisaikolojia namwona muuaji huyu kama mtu aliyechoka kufikiri kwanza anampiga mpenziwe risasi on the way anawapiga askari hao risasi. Asingemshoot mpenzi wake ningeweza sema alikuwa analipiza kisasi, hayo ni mawazo yangu naomba kuwasilisha jukwaani
 
Yaani unaona sura na jina, bado unasema MZUNGU? Ehhhh, hata Mrangi atakuwa Mzungu sasa na apigwe risasi.
 
Hapana, officer Rafael Ramos siyo mzungu. Ni Mlatino mwenye asili ya Puerto Rico.

Na kwa muonekano wake inaelekea kachanganya damu. Lakini siyo mzungu as in caucasian.

[/SIZE]

Thanx for clarification kaka
 
Naomba nichangie ili tuweze kueleweshana, nianze kwa swali na kulijibu mwenyewe, Mmarekani ni nani? Mmarekani ni mtu yeyote bila kujali rangi ambaye ana uraia halali wa kuishi Marekani, hamna race ambayo inafahamika kwamba ni ya Kimarekani, ndani ya Marekani kuna wamarekani weusi kwa rangi, kuna kila race ya kila taifa nchini Marekani na wote hao wanajiita Wamarekani, wapo wahindi, wachina, wajapani, wakorea, Waingereza, waitaliano, waarabu na wengineo wengi na hao wote kama wana uraia halali wanatambulikana kama wamarekani, kutokana na maelezo haya nasema waliouawa kwa kupigwa risasi wote ni wamarekani, nakuja kwenye hoja ya kulipiza kisasi binafsi sioni ulipizaji wowote wa kisasi kisaikolojia namwona muuaji huyu kama mtu aliyechoka kufikiri kwanza anampiga mpenziwe risasi on the way anawapiga askari hao risasi. Asingemshoot mpenzi wake ningeweza sema alikuwa analipiza kisasi, hayo ni mawazo yangu naomba kuwasilisha jukwaani

Sawa, lakini hao mapolisi waliouwawa siyo wazungu kama baadhi ya watu wanavyodai.
 
Sasa wewe Mami, nakukaa huko Majuu miaka yote hiyo, na wewe si ukirudi nyumbani wanasema "Mzungu kaja?"

Hahahaa, mwenzio nilibahatika kuitwa Mzungu miaka ya 90 mwishoni :)

Sister Nyamizi , angalia huo weupe wako, utakuwa Mzungu sasa hivi.

Mami, adui ujinga bado hatujamshinda!
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe Mami, nakukaa huko Majuu miaka yote hiyo, na wewe si ukirudi nyumbani wanasema "Mzungu kaja?"

Hahahaa, mwenzio nilibahatika kuitwa Mzungu miaka ya 90 mwishoni :)

Sister Nyamizi , angalia huo weupe wako, utakuwa Mzungu sasa hivi.

Ahahahaahahaaaa wala hujakosea aisee. Nishaitwa mzungu mara lukuki!

Ujinga Tanzania bado sana kufutika.

Hata Marekani huitwa Ulaya ujue....au hujawahi sikia hilo?
 
Back
Top Bottom