Mauaji ya kiroho Kenya, Tanzania tuko hatarini

Unachanganya vitu viwili, kuna kanisa yani Church na kuna huduma yani Ministries.

Shida ipo kwenye hizi ministry.
Na shida inaanzia hapo. Aliyesajili huduma anapofanya kazi za kanisa na kukataa kuitwa huduma. Hata wanapoelekeza waamini utawaskia wakisema fika kanisani...
 
Tukio la tapeli wa kiroho Bwana Paul Mackenzie kuratibu mauaji ya watu zaidi ya 76 kwasasa, ambapo kwamjibu wa makadirio wa Idara ya upelelezi na maafa ya Kenya inasema wanaweza kufika 150 baadae. Kwanadharia ya kijasusi tukio hili ni Uzembe mkubwa wa idara ya Ujasusi Kenya, halina neno unaloweza kulitumia zaidi ya kusema ni Uzembe wa vyombo vya ulinzi na Usalama Kenya. Ni Kenya hiyohiyo yuko mgonjwa wa akili anajiita Mungu kwa sasa na amejaza wafuasi wanaomwamini. Lakini litufumbue kama taifa kurejea kwenye ushauri nilioutoa katika Kitabu cha Ujasusi kuhusu wajibu wa Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS). Kwenye kitabu nimeandika mengi, Kwaufupi nilisema kwamba:

Watu wakiona makanisa ya kikristu yakishamiri au wakiona misikiti na ibada za kiislamu zikishamiri, wasidhani ni kukua kwa imani flani katika nchi, bali ni uimara au udhaifu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Moja ya jukumu la vyombo vya ujasusi ulimwenguni ni kudhibiti na kuongoza mwenendo wa kiroho katika nchi, Nchi isiyotazama mambo ya kiimani kama nyenzo muhimu ya kiusalama, nchi hiyo iko hatarini.

Ukifika Moscow moja ya wajibu wa Shirika la Ujasusi la Urusi ni kudhibiti miitikio ya kimani katika nchi, na dini kuu ya Othodoksi inadhibitiwa kwa 100% na Shirika la Ujasusi la Urusi la FSB. Vivyo hivyo ukifika London, moja ya wajibu wa Shirika la Ujasusi la Uingereza la MI5 na hata MI6 ni kudhibiti miitikio ya kiroho, Dini kuu ya London ya Church of England (Anglican) hudhibitiwa na dola moja kwa moja. Rwanda jirani zetu tu hapo napo wameweka moazo na masharti magumu ya kutaka kubudu uholela. Lakini Tanzania, Kenya na Uganga ndiko kuna uholela wa kiimani, kila mhuni akilala na kuamka akisoma mstari mmoja wa bibli anafungua kijiwe na kutangaza ni Mchungaji/Nabii mara Kuhani ama anavuka zaidi na kujita Mungu.

Tanzania kama lilivyo taifa la wajinga, limejaza matapeli wa kiroho kila kona ya nchi hasa kwa dini ya kikristu, Kila ukitembea hatus kumi kuna kijiwe kinaitwa kanisa la mhuni flani, Ni Tanzania hiihii haijasahau mauaji ya juzi tu ya mmoja ya matapeli wa kiroho Boniface Mwamposa aliyewaua watu zaidi ya 30 tarehe 1 February 2020 kwamtindo aliouita kukanyaga mafuta. Huu ulikuwa ni uzembe mkubwa wa idara ya Usalama wa Taifa uliozaa maafa hayo, na badala yake alizawadiwa pongezi na heshima za kitaifa mbele ya utawala wa awamu ile. Lakini Tanzania hapahapa miaka ya nyuma kidogo 2003, kuna mhuni aliyekuwa kachoka maisha, aliwakusanya mamia ya watu, akawapeleka katika pori moja kule Segerea Ukonga akawashindisha njaa, kisha akawasomba hadi uwanja wa ndege, wakiwa hawana hati yoyote ya kusafiria wala nauli, wakaanza kulazimisha kutaka wapande ndege waende Iraq kuhubiri injili, kipindi hicho Iraq ilikuwa imevamiwa na Marekani. Polisi waliwazua, wakarudi kulekule pori la segerea, walikaa miezi kadhaa, njaa iliwachapa wakaanza kuondoka mmojammoja na wengine wakaanza kuwa vibaka na makahaba.

Uzembe wa Idara za Usalama katika nchi ya jirani ya Uganda uliendelea,Miaka ya nyuma kidogo nchini Uganda kwasababu tu ya uzembe wa idara ya Usalama ya Uganda, yuko kichaa mmoja aliyeitwa Joseph Kibweteere aliyezaliwa 16 Novemba 1932 na kutoweka 17 Machi 2000 hadi leo. Joseph Kibweteere alikuwa Mchungaji kiongozi wa Vuguvugu la Kurejeshwa kwa Amri Kumi za Mungu, kundi ambalo lilijitenga na Kanisa Katoliki nchini Uganda. Umaarufu wake uliibuka baada ya mwaka 2000 kuwachoma moto waumini wake 778 hadi kufa kabisa akiwaaminisha kuwa mwaka huo ni mwisho wa dunia.

Pengine nieleze jambo moja muhimu sana la kidini, Duniani ya Magharibi na Mashariki ya Kati, kuna dini kuu tatu zilizo katika maandishi ya kumbukumbu, ambazo ni Uyahudi, Ukristu, na Uislamu. Kisha kuna mnyumbuliko wa madhehebu kadhaa wa kadhaa, Lakini pia kuna dunia ya Mashariki ya mbali na Urusi, wao nao wa dini zao za Othodoksi na Hindu na Uchina pia. Dunia ya Ujamaa ina dini zao, na dunia ya ubepari nayo ina dini zao. Afrika hatuko kwenye hayo sisi ni fuata upepo tu tumepokea dini za majahazi ndizo hizi zinatusumbua tunauana na matapeli wanazitumia kujipatia utajiri kwa kigeni cha uhuru wa kuabudu.

Dini ya Uyahudi ambayo ni mojawapo kati ya dini za kale za binadamu, inayodhibitiwa na Shirika la Ujasusi la Israel la MOSSAD kwa viwango vyote. Uyahudi pia jina hilo lilienea baada ya makabila mengi ya Israeli kutoweka, hata wakabaki karibu watu wa kabila la Yuda tu. Uyahudi (Yuda) ni pia jina la kihistoria la sehemu ya kusini ya nchi ya Palestina au Israel.

Kwa jumla kuna namna mbili za kuangalia Uyahudi: ama kama dini au kama taifa. Namna zote mbili huchanganyikana na kutumiwa pamoja mara kwa mara. Kuna Wayahudi wanaojitazama raia wa nchi fulani na Uyahudi wao ni katika imani tu. Kuna Wayahudi wengine wanaosema hawafuati dini ya Kiyahudi wala hawaamini lakini wanajisikia kuwa Wayahudi kwa sababu ya ukoo na pia desturi za utamaduni wao. Wafuasi wa dini hiyo huitwa "Wayahudi" hata wasipokuwa na asili ya taifa hilo. Hata wakati ambapo idadi yao ilikuwa ndogo duniani, imani yao ilikuwa na athira kubwa. Wataalamu wengine huuita "dini mama" ya Ukristo na Uislamu. Siku hizi wako karibu milioni 21 duniani kote, hasa nchini Israel na Marekani.

Maoni yangu, Tufanye marekebisho ya kikatiba pale panaposema kila mtu ana uhuru wa kuabudu imani apendayo, tuongeze kuwa imani hiyo ipimwe kwanza na vyombo vya kusimania usajili wa makanisa nk. Kubwa zaidi tuzuie mtu kusajili kanisa binafsi. Kanisa kiwe chombo cha umma sio mtu binafsi. Kama ni chombo cha umma maana yake kikaguliwa mapato na matumizi na mamlaka za umma. Tuweke marufuku wa bidhaa yoyote kuuzwa kanisani iwe maji, vitambaa, Mafuta nk vyote hivi ili viuzwe, lazima vitambuliwe na TRA, na vilipiwe kodi. Kufanya hivyo tutazuia utitiri wa makanisa hatari ya wajasiliamali waliojazana kutapeli watu na kujitajirisha huku umma uliojaa kanisani ukiendelea kuwa masikini, kisha wachungaji wanawaambia waumini wenye misongo ya mawazo ati wanamapepo.

Na Yericko Nyerere
View attachment 2598934
YAAANI WATU WANAIHUNILI INJIRI YA YESU KRISTO MWOKOZI WA KILA KIUMBE UNAWAITA WAJINGA? KWELI? MUNGU ATAKUACHA KWELI, UKIKATAA MAKANISA YASITAPAKAE MAANA YAKE UTATAKA ZITAPAKAE NYUMBA ZA SHETANI. TUNAKEMEA NA KULAANI TUKIO HILO LA HAO WA KENYA ILA HALIWEZINAJISI UKRISTO IMANI KAMILI YA KWENDA MBINGUNI
 
Wewe ni mjinga mmojawapo..

MAKANISA NI UTAPELI.

Mungu hana kanisa wala dini wala andiko lolote..

Mungu ni dhana ya kufikirika.
 
Ibada ya njaa 🤣🤣 dah nimecheka sana
 
Ushawahi ona waislam wana huo upumbavu? Ushawahi sikia msikiti wa shekhe fulani?

Mnapotoa mada zenu msitake kubalance story, Uislam hauna huo upumbavu, always ni WAKRISTO ndio wanaaminishwa upumbavu.

Muslims always wanaamini kwa Mungu Mmoja (ALLAH S.W).

Hii mada isichanganywe na UISLAM.
Ukiambiwa ujitoe mhanga utakubali?
 
"NINYI MNA DINI YENU NA SISI TUNA DINI YETU".

Kama wa moto awe moto sio wavuguvugu, hii mada haikupaswa kuingizwa hata neno Uislam.

Miaka mingi sana, sisi tulikemea haya makanisa yasiyo na mbele wala nyumba hasa matapeli kutoka MBEYA, IRINGA, ARUSHA hayo maeneo yana wapumbavu wengi sana.
Vipi mwaka huu ulienda Uarabuni Maka na sijui Madina kumrushia shetani mawe na marungu..??

Hizi huwa ni akili au shida fulani kichwani??

Nyie hicho mnachoendaga kufanya huko huwa ni kitu gani eti? Hivi unaweza kumpiga shetani kwa mawe na marungu kweli?

Huyo shetani ana umbo na sura ya namna gani eti?
 
Kwenye Bandiko lako ONDOA UISLAM, USIWEKE UISLAM kwenye UPUMBAVU wenu. Jikemeeni wajinga wenyewe
kila mara dini zikitajwa mnasema ondoa uislam, huo uislam una utakatifu gani wakati ni dini kama zingine na una abrakadabra nyingi kama dini zingine? Wafia dini tulieni mkamuliwe majipu akili ziwakae sawa
 
Ushawahi ona waislam wana huo upumbavu? Ushawahi sikia msikiti wa shekhe fulani?

Mnapotoa mada zenu msitake kubalance story, Uislam hauna huo upumbavu, always ni WAKRISTO ndio wanaaminishwa upumbavu.

Muslims always wanaamini kwa Mungu Mmoja (ALLAH S.W).

Hii mada isichanganywe na UISLAM.
tulia we mfia dini, ni wapi uislam umetajwa? Mnakuwa mna kiherere mkisoma dini kwa ujumla, kwani huko kuna utakatifu sana?
 
Kuna mjinga Mmoja anadai eti hata akiwa shoga hivyo ndivyo mungu ametaka awe ..na nimhubiri sijui nabii eee jamani ukristo umekuwa kituko..sema hatusomi vitabu wandishi wengi wameongelea utapeli wa viongozi wa dini,mfano mzuri ni Wole Soyinka ktk tamthilia "The Trials of Brother Jero"mhusika mkuu Jeroboam (brother Jero) anawaita waumini wake kwa Siri eti my costumers, wateja wake.ni wakati Sasa serikali kuhakikisha Kila anaefungua kanisa awe ni vigezo ikiwemo elimu ya chuo kikuu ili kudhibiti hawa wahuni
unadhani elimu ya chuo kikuu ndio tija kufungua kanisa? Ujinga uko mwingi sana kuanzia kwenye dini kuu zinazoonekana ni za maana na zina akili nyingi. Hawa wengine wanaojiua kwa njaa wameiga mafundisho huko tofauti ni kwamba kiongozi wao kawafanyia uhalifu. Upuuzi wa dini ni uleule kukamata fahamu za watu na kuwadanganya
 
"NINYI MNA DINI YENU NA SISI TUNA DINI YETU".

Kama wa moto awe moto sio wavuguvugu, hii mada haikupaswa kuingizwa hata neno Uislam.

Miaka mingi sana, sisi tulikemea haya makanisa yasiyo na mbele wala nyumba hasa matapeli kutoka MBEYA, IRINGA, ARUSHA hayo maeneo yana wapumbavu wengi sana.
hata hapo ulipo unakoabudu nako kuna wapumbavu wengi
 
Hao wakenya ni kikundi kidogo sana, yamewakuta ya kuwakuta na imekuwa study case. Duniani kuna dini za kipuuzi zenye wafuasi wengi kama nzige zina mambo ya ajabu, kwa kuwa hayajawafika mabaya sio ishu kuzungumziwa ila nako kuna upuuzi mwingi tu huko. Tuombe Mungu aepushe balaa jingine baya tusije kuandika yatakayotokea kwa ujinga huu huu wa kuaminishwa ujinga. Maana kuna kitu huwa wanakifanya ni cha hatari wasipochukua tahadhari kitawagharimu maisha yao
 
Hapo sasa ndipo lawama zote kwa TISS na mamlaka. Hivi kweli mpumbavu mmoja anayejiita yesu wa tongareni sijui anaweza kuachwa na mamlaka kufanya upumbavu ulie? Kesho wakiskia amewazika watu kadhaa baada ya kuwaua tutashangaa nini.
unaenda mbali, umemsahau zumaridi anayejiita mungu? Bahati yake hayakutokea maafa kweye sinagogu lake angeshaa kuliko ilivyomtokea
 
Kwa Jiji la Mbeya hii ni aibu sana sana!kila kona kuna kanisa na mengine hayana usajili na Mamlaka zipo!

Mbunge wa Iringa jana kaongea Bungeni kuwa watu wetu hawana afya ya akili "utakuta Mama ndani ya pochi lake kabeba maji ya upako,chumvi ya baraka,mara kitambaa cha bahati..." Hizi ni dalili za watanzania wengi hawana afya ya akili,Jesca Mtavambangu Mbunge wa Iringa anasema!

Wakati haya yanatokea Mtume Mwamposa pale Mbeya maeneo ya Ifisi kama unaelekea Songwe Airport kajenga Bonge la Hotel yake binafsi!Wizi huu kwa masikini haukubaliki!

Naunga mkono hoja sana!
huyo mwanasiasa uliyemnukuu hayo maneno kaiga toka sehemu fulani, tayari yalikuwepo
 
Tukio la tapeli wa kiroho Bwana Paul Mackenzie kuratibu mauaji ya watu zaidi ya 76 kwasasa, ambapo kwamjibu wa makadirio wa Idara ya upelelezi na maafa ya Kenya inasema wanaweza kufika 150 baadae. Kwanadharia ya kijasusi tukio hili ni Uzembe mkubwa wa idara ya Ujasusi Kenya, halina neno unaloweza kulitumia zaidi ya kusema ni Uzembe wa vyombo vya ulinzi na Usalama Kenya. Ni Kenya hiyohiyo yuko mgonjwa wa akili anajiita Mungu kwa sasa na amejaza wafuasi wanaomwamini. Lakini litufumbue kama taifa kurejea kwenye ushauri nilioutoa katika Kitabu cha Ujasusi kuhusu wajibu wa Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS). Kwenye kitabu nimeandika mengi, Kwaufupi nilisema kwamba:

Watu wakiona makanisa ya kikristu yakishamiri au wakiona misikiti na ibada za kiislamu zikishamiri, wasidhani ni kukua kwa imani flani katika nchi, bali ni uimara au udhaifu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Moja ya jukumu la vyombo vya ujasusi ulimwenguni ni kudhibiti na kuongoza mwenendo wa kiroho katika nchi, Nchi isiyotazama mambo ya kiimani kama nyenzo muhimu ya kiusalama, nchi hiyo iko hatarini.

Ukifika Moscow moja ya wajibu wa Shirika la Ujasusi la Urusi ni kudhibiti miitikio ya kimani katika nchi, na dini kuu ya Othodoksi inadhibitiwa kwa 100% na Shirika la Ujasusi la Urusi la FSB. Vivyo hivyo ukifika London, moja ya wajibu wa Shirika la Ujasusi la Uingereza la MI5 na hata MI6 ni kudhibiti miitikio ya kiroho, Dini kuu ya London ya Church of England (Anglican) hudhibitiwa na dola moja kwa moja. Rwanda jirani zetu tu hapo napo wameweka moazo na masharti magumu ya kutaka kubudu uholela. Lakini Tanzania, Kenya na Uganga ndiko kuna uholela wa kiimani, kila mhuni akilala na kuamka akisoma mstari mmoja wa bibli anafungua kijiwe na kutangaza ni Mchungaji/Nabii mara Kuhani ama anavuka zaidi na kujita Mungu.

Tanzania kama lilivyo taifa la wajinga, limejaza matapeli wa kiroho kila kona ya nchi hasa kwa dini ya kikristu, Kila ukitembea hatus kumi kuna kijiwe kinaitwa kanisa la mhuni flani, Ni Tanzania hiihii haijasahau mauaji ya juzi tu ya mmoja ya matapeli wa kiroho Boniface Mwamposa aliyewaua watu zaidi ya 30 tarehe 1 February 2020 kwamtindo aliouita kukanyaga mafuta. Huu ulikuwa ni uzembe mkubwa wa idara ya Usalama wa Taifa uliozaa maafa hayo, na badala yake alizawadiwa pongezi na heshima za kitaifa mbele ya utawala wa awamu ile. Lakini Tanzania hapahapa miaka ya nyuma kidogo 2003, kuna mhuni aliyekuwa kachoka maisha, aliwakusanya mamia ya watu, akawapeleka katika pori moja kule Segerea Ukonga akawashindisha njaa, kisha akawasomba hadi uwanja wa ndege, wakiwa hawana hati yoyote ya kusafiria wala nauli, wakaanza kulazimisha kutaka wapande ndege waende Iraq kuhubiri injili, kipindi hicho Iraq ilikuwa imevamiwa na Marekani. Polisi waliwazua, wakarudi kulekule pori la segerea, walikaa miezi kadhaa, njaa iliwachapa wakaanza kuondoka mmojammoja na wengine wakaanza kuwa vibaka na makahaba.

Uzembe wa Idara za Usalama katika nchi ya jirani ya Uganda uliendelea,Miaka ya nyuma kidogo nchini Uganda kwasababu tu ya uzembe wa idara ya Usalama ya Uganda, yuko kichaa mmoja aliyeitwa Joseph Kibweteere aliyezaliwa 16 Novemba 1932 na kutoweka 17 Machi 2000 hadi leo. Joseph Kibweteere alikuwa Mchungaji kiongozi wa Vuguvugu la Kurejeshwa kwa Amri Kumi za Mungu, kundi ambalo lilijitenga na Kanisa Katoliki nchini Uganda. Umaarufu wake uliibuka baada ya mwaka 2000 kuwachoma moto waumini wake 778 hadi kufa kabisa akiwaaminisha kuwa mwaka huo ni mwisho wa dunia.

Pengine nieleze jambo moja muhimu sana la kidini, Duniani ya Magharibi na Mashariki ya Kati, kuna dini kuu tatu zilizo katika maandishi ya kumbukumbu, ambazo ni Uyahudi, Ukristu, na Uislamu. Kisha kuna mnyumbuliko wa madhehebu kadhaa wa kadhaa, Lakini pia kuna dunia ya Mashariki ya mbali na Urusi, wao nao wa dini zao za Othodoksi na Hindu na Uchina pia. Dunia ya Ujamaa ina dini zao, na dunia ya ubepari nayo ina dini zao. Afrika hatuko kwenye hayo sisi ni fuata upepo tu tumepokea dini za majahazi ndizo hizi zinatusumbua tunauana na matapeli wanazitumia kujipatia utajiri kwa kigeni cha uhuru wa kuabudu.

Dini ya Uyahudi ambayo ni mojawapo kati ya dini za kale za binadamu, inayodhibitiwa na Shirika la Ujasusi la Israel la MOSSAD kwa viwango vyote. Uyahudi pia jina hilo lilienea baada ya makabila mengi ya Israeli kutoweka, hata wakabaki karibu watu wa kabila la Yuda tu. Uyahudi (Yuda) ni pia jina la kihistoria la sehemu ya kusini ya nchi ya Palestina au Israel.

Kwa jumla kuna namna mbili za kuangalia Uyahudi: ama kama dini au kama taifa. Namna zote mbili huchanganyikana na kutumiwa pamoja mara kwa mara. Kuna Wayahudi wanaojitazama raia wa nchi fulani na Uyahudi wao ni katika imani tu. Kuna Wayahudi wengine wanaosema hawafuati dini ya Kiyahudi wala hawaamini lakini wanajisikia kuwa Wayahudi kwa sababu ya ukoo na pia desturi za utamaduni wao. Wafuasi wa dini hiyo huitwa "Wayahudi" hata wasipokuwa na asili ya taifa hilo. Hata wakati ambapo idadi yao ilikuwa ndogo duniani, imani yao ilikuwa na athira kubwa. Wataalamu wengine huuita "dini mama" ya Ukristo na Uislamu. Siku hizi wako karibu milioni 21 duniani kote, hasa nchini Israel na Marekani.

Maoni yangu, Tufanye marekebisho ya kikatiba pale panaposema kila mtu ana uhuru wa kuabudu imani apendayo, tuongeze kuwa imani hiyo ipimwe kwanza na vyombo vya kusimania usajili wa makanisa nk. Kubwa zaidi tuzuie mtu kusajili kanisa binafsi. Kanisa kiwe chombo cha umma sio mtu binafsi. Kama ni chombo cha umma maana yake kikaguliwa mapato na matumizi na mamlaka za umma. Tuweke marufuku wa bidhaa yoyote kuuzwa kanisani iwe maji, vitambaa, Mafuta nk vyote hivi ili viuzwe, lazima vitambuliwe na TRA, na vilipiwe kodi. Kufanya hivyo tutazuia utitiri wa makanisa hatari ya wajasiliamali waliojazana kutapeli watu na kujitajirisha huku umma uliojaa kanisani ukiendelea kuwa masikini, kisha wachungaji wanawaambia waumini wenye misongo ya mawazo ati wanamapepo.

Na Yericko Nyerere
View attachment 2598934
Hapa Tz tunachukulia poa sana hii Ishu ya kiroho
 
tulishawatolea comment, ni wale wale kama huyo mwendawazimu wa kenya. Hawana aibu, wachungaji wa kola hawa! Wachungaji gani wana deal na mambo ya ushabiki wa timu? Kuna mdau mmoja wa michezo, mtu mwenye heshima kubwa nchini akitoa hoja zake kwenye kipindi kimaja maarufu kinachorushwa na tv moja alitoa hoja kwamba yule mchungaji aliyejipatia umaarufu mitandaoni kwa staili yake ya maombezi kama anachekesha awe anaziombea timu za taifa zinapokwenda mashindanoni. Sasa kwa maombi yake yale si itakuwa vituko? Nani ataamini kwamba huyu mchungaji yuko serious?
 
Tuseme ukweli tu, hii tabia ya kukimbilia huku na kule kutafuta mafanikio na kutafuta namna ya kuondoa changamoto ngumu maishani imetokea kwa waganga wa kienyeji. Watu walikuwa wanaenda huko kudanganywa tu wanaishia kuchanjwa chale na kubebeshwa hirizi miilini mwao. Watu walifanyiwa michezo mibaya ikiwemo kutapeliwa. Hawa hawa waganga wa kienyeji wakajigeuza kuwa wahubiri ili kuwapata wateja wengi zaidi walipoona kwenye uganga wao wa awali kunadoda waka advance. Watu bado wanadanganyika sana kupata mafanikio. Mara pete, mara majini, mara freemason ni taabu tupu. Kupenda ushirikina madhara yake ndiyo hayo kuishia umautini. Watu hawatumii akili zao kujiletea mafanikio. Unakuta jitu limevaa mapete mengi ya kishirikina mpaka linatisha. Watu hawatulii kwenye imani moja ya Mungu
 
Yerricko bandiko lako ni zuri, na umeliwasilisha kwa umahiri mkubwa, je una uhakika gani hao watu kuwa hawajaenda mbinguni?
Huyo mchungaji wao mbona yupo anafakamia misosi kama hana akili nzuri ina maana haitaki mbingu? Hao ni sawa na wale wanaodanganywa kujitoa muhanga ili waende peponi.
 
Back
Top Bottom